Tuna jeshi la Polisi ambalo Kazi yake ni kuchunguza Urongo na matokeo ya Uchunguzi wao lazima yawe Urongo.Ni jambo jema sana!
Mwana kulitafuta........
Ish! Sio kwamba iundwe tume huru kuchunguza haya marinjirinji ya ngosha na mashahidi wawe hao uliowataja kwan ndo wanufaika genuine wa matukio ya mwenda zake?Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, unda tume huru ya kuchunguza kifo cha JPM .
.Usisubiri hadi 2025 wananchi wanahoji na Hakuna majibu na majawabu sahihi kuhusu kifo cha JPM.
Mwenyekiti wa tume hiyo awe Dr Bashiru Ally Kakurwa na mke wa marehemu JPM awe mjumbe wa hiyo tume.
Yaani wanajifanya kama wako vizuri! Eti ulilipoti wapi, watu wakiwaona hamna maana wanakauka tu na maumivu yao!Wewe Simbachawene mwenyewe ulitulia kama maji ya mtungi usicheze na Hayati JPM....
Kila kona watu walifyata....itakuwa Mwingira....
Nchi ngumu sana hii...
Naona roho bado inakuuma sio?....kaa mbali na mimi...Wewe si ulisema Serikali ya sasa haiwezi kuhangaika na Mwingira sasa kiko wapi?!
Kwa lolote huniwezi-namaanisha!Naona roho bado inakuuma sio?....kaa mbali na mimi...
Suzy hii shughuli nzito....
Ben kapotea mmemkamta nani?"...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi."
"...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene.
"....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile namuagiza sasa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amwite na amuhoji kuhusu tuhuma hizo." Amesema Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Chanzo Millard Ayo.
Wakujumuishe na wewe, kwani inaonekana kuna kitu UNAKIJUA!Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, unda tume huru ya kuchunguza kifo cha JPM .
.Usisubiri hadi 2025 wananchi wanahoji na Hakuna majibu na majawabu sahihi kuhusu kifo cha JPM.
Mwenyekiti wa tume hiyo awe Dr Bashiru Ally Kakurwa na mke wa marehemu JPM awe mjumbe wa hiyo tume.
Bada kuongea ni ugaidi au turudi enzi za kusifu Kwa mapambio hata kama shingo imekanyagwa na Buti zito🤔.Chokochoko zimeanza
Na aliyekuwa mlinzi wake Pia ni mtu muhimuWakujumuishe na wewe, kwani inaonekana kuna kitu UNAKIJUA!