mugulinde
Member
- Jun 7, 2018
- 52
- 107
Kilimo ni muhimu sana katika uchumi wa viwanda, ukishindwa kuwekeza kwenye kilimo Taifa linaanguka, linakuwa ombaomba. Swala la mbolea siyo la Mkenda ni swala zima la nchi na mamlaka zake zote kuipa nguvu wizara ya kilimo ili Taifa lipone.Leo tunasema kuhusu kilimo ambacho kinaajili asilimia 70 ya watanzania
Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app