Waziri wa Kilimo Profesa Mkenda, unataka Rais Samia akubebeje?

Nakama mnatakama wewe mkenda na raisi wako mnataka kutuchezea ss wakulima mtatuona mmekazana kuzurula dar ,dodoma Basi hamna habari na wakulima ninakuapia nitaitisha maandamano nchi nzima kwa ajili ya mbolea
 
Mpumbavu wewe,kwanza Rais kawasaidia kwenye mahindi amenunua na bei zimepanda sasa,badala ya kuleta upuuzi wa vitisho vya mbu nje ya net kauze mahindi ununue mbolea.

Serikali haihusiki na kupanda bei za mbolea na kamwe haiwezi kuweka ruzuku,sio mara ya kwanza mbolea kupanda 2018 bei zilikuwa 90,000-110,000 na mlinunua .

By the way mama yuko kazini ,moto mtaupata msimu huu ila ujao mambo yatakuwa shwari👇

Screenshot_20211123-111536.png

Screenshot_20211123-111621.png

Screenshot_20211123-111217.png

Screenshot_20211117-134136.png
 
Nakama mnatakama wewe mkenda na raisi wako mnataka kutuchezea ss wakulima mtatuona mmekazana kuzurula dar ,dodoma Basi hamna habari na wakulima ninakuapia nitaitisha maandamano nchi nzima kwa ajili ya mbolea
Tutawaona wakati JF kwenyewe unatumia avatar
 
Hayo Makampuni hayazalishi sukari yanabakinkuahiza nje sasa s n bora tuagize wananchi wapate nafuu
Mpumbavu wewe,kwanza Rais kawasaidia kwenye mahindi amenunua na bei zimepanda sasa,badala ya kuleta upuuzi wa vitisho vya mbu nje ya net kauze mahindi ununue mbolea.

Serikali haihusiki na kupanda bei za mbolea na kamwe haiwezi kuweka ruzuku,sio mara ya kwanza mbolea kupanda 2018 bei zilikuwa 90,000-110,000 na mlinunua .

By the way mama yuko kazini ,moto mtaupata msimu huu ila ujao mambo yatakuwa shwari👇

View attachment 2026372

View attachment 2026373

View attachment 2026374

View attachment 2026375
 
Hii
Serikali isipoweka ruzuku ili kubeba sehemu ya gharama za mbolea,itasababisha majanga.ukienda Zambia bei iko chini,nasikia na huko Kenya pia.sasa mwananchi akiona hivyo,hawezi kuelewa,ni lazima atailaumu tu serikali.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hii ni hoja kubwa
Usije kushangaa Mkenda akasema hatoi vibali vya mbolea
 
Mawaziri wengine ni mizigo
Waziri mwadilifu ila sio mchapa kazi
 
Back
Top Bottom