Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia

Andre-Pierre

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
328
1,209
Kama ilivyokuwa kwa Nguza Samike katibu binafsi wa Rais Magufuli na sasa tuna Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia.

Huyu ndiye mtendaji wa shughuli zote binafsi za Rais Samia katika masuala ya utawala na serikali.

Huyu ndiye mwandishi wa hotuba za Rais, hivyo Rais siku akipatia credit ziende kwa huyu mwamba na akiskosea pia ni hivyohivyo.

Kwasasa viongozi wengi hasa wabunge wamekuwa wakimpost huyu jamaa kupitia mitandao yao ya kijamii ili tu kuweka mazingira yao ya kisiasa vizuri.

Mwenye CV anaweza kuleta ili tunjue kwa undani.
IMG_9970.jpeg
IMG_9968.jpeg
IMG_9971.jpeg
 
Kwa hiyo na wewe mtoa mada umemposti huyo jamaa ili na wewe uonekane kama wafanyavyo hao viongozi wengine, na hasa Wabunge?

Hii nchi sasa tunaelekea kubaya. Maana hata kama una sifa, ila tu kama hujulikani kwa watu wa karibu na mteule; ndiyo basi tena! Kwa hali hii mturudishie tu ile Rasimu yetu ya Katiba ya Jaji Warioba. Too much is harmful.
 
Ni kweli huyu mwamba toka Bi mkubwa achukue utawala nimeona watu wengi wakijipendekeza kwake kuanzia wasanii, wabunge, mawaziri, na watumishi wengine kuna siku magoti anamsifia huyu jamaa halafu kampost. Biblia inasema ukitaka kuelti meza kuu ya bwana ni lazima upitie kwake kristo so he is Monte cristo, por vafor. Au ndama anajiita Akayesu huyu ndio akayesu sio wa zama hizi za joto, maji machafu na yaisoyotoka, porojo nyingi za mwenezi, umeme wa mchongo, maharage kilo 3600, sukari kilo 5000.
 
Back
Top Bottom