Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,238
Akili yako Haina AkiliIli mama afanye Kazi yake vizuri ni lazima avunje kivuli cha Magu na hii ndio changamoto yake kubwa kwa sasa vinginevyo hilo genge litataka kumfanya kwamba yeye hana akili na Urais ameupata kwa hisani sasa hapo Kazi kwake.
Huwezi endesha nchi kwa kufuata genge la mtangulizi,kila Rais ana utashi wake,ndio maana Magu alienda kinyume na JK nk nk
Katiba inampa Rais uamzi huo ,so kwa maoni yangu lazima atimue genge la Chato lote na aweke watu wake royal