HeartBreak
JF-Expert Member
- Apr 21, 2008
- 346
- 27
Get well soon waziri wetu
Huyu si ndo analazimisha kodi ya sim card huyu....
Bad news from south Africa.May I announce it?
Tunazungumzia uzima/uhai wake mkuu, hii ni tofauti kabisa na UCCM au mapungufu yake ya Kikazi.
Hali ya waziri wa
fedha,Dk.William Mgimwa imeelezwa kuwa ni mbaya na amelazwa katika
hospitali ya Milpark nchini Afrika kusini tangu mwishoni mwa wiki
iliyopita.
Habari hii imeripotiwa na Gazeti la Raia Mwema la tarehe 04/12/2013
ambalo limenukuu vyanzo kutoka serikalini vikidai hali ya waziri huyo ni
mbaya.Pia, imeelezwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha,Dk.Likwelile,
alikwenda Afrika Kusini siku ya Jumatatu iii kufuatilia hali ya waziri
wake.
CHANZO:Raia Mwema.
Una moyo.....!!!RIP in advance
Wewe ndo ziro kabisa,kwa nini asitibiwe muhimbili?Watanzania wote tukipelekwa ng'ambo hatuwezi kutosha. Tumia hata sehemu ndogo tu ya akili yako kufikiri.
Wao Wanafia ng'ambo,halafu wapiga kura wanalala chini muhimbili