Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,170
- 175
Tunakuombea upone upesi mh.
Muwe nnaweka na pic jama wengine hatumfahamu
kha! Humfahamu waziri wako wa fedha? Hii shughuli. Inawezekana wewe ni mhamiaji haramu unayetakiwa urudi kwenu.
Isije kuwa maCCM wamempiga kipapai ili nafasi yake apewe Asha Rose Migiro...
View attachment 124748
acha kukariri mkuu, dr mvungi (r.i.p) akiwa south Africa iliripotiwa kuwa mahututi ......kilichofuata baadae ilikuwa ni pigo kwa tume nzima ya mabadiliko ya katiba na mpaka leo hatuna hakika pengo lake limezibwaje!!!
....kisha ujiuzuluTunakuombea upone upesi mh.
Hapo kwenye tarehe umetisha aisee...
Hali ya waziri wa fedha,Dk.William Mgimwa imeelezwa kuwa ni mbaya na amelazwa katika hospitali ya Milpark nchini Afrika kusini tangu mwishoni mwa wiki iliyopita.
Habari hii imeripotiwa na Gazeti la Raia Mwema la tarehe 04/12/2013 ambalo limenukuu vyanzo kutoka serikalini vikidai hali ya waziri huyo ni mbaya.Pia, imeelezwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha,Dk.Likwelile, alikwenda Afrika Kusini siku ya Jumatatu iii kufuatilia hali ya waziri wake.
CHANZO:Raia Mwema.
afe bwana
Hicho ndio kichwa cha habari kwenye gazeti lenyewe.Tumwombee apone haraka ili aje afanye kazi ila kichwa cha habari yako si kizuri maana mtu kuwa mahtuti si sawa na mtu kuwa na hali mbaya.
Kwani ulitaka nani abebeshwe hizo gharama?Kwenye issue ya ugonjwa usiweke siasa.Ungefurahia kusikia kiongozi wako tena waziri wa fedha anaomba mchango wa kwenda kupewa matibabu???
Tunakuombea upone upesi mh.