Wanyonge wanafia mabwe pande wao wanakatikia S.Afrika
...sasa Mgimwa ndo umeondoka na salary nini?
mahututi ni wale wenzenu wanaotoka klm tu??? acha roho mbaya!
!
hivi mleta uzi unajua maana ya mahututi au unapost tu, hebu nenda muhimbili kaangalie watu mahututi ambao pia hawana hata matumaini ya kumwona daktari. Mahututi Afrika Kusini mbona poa tu na sio habari kabisa
Atapona tu hata mimi naumwa.
well said mkuubahati nzuri woote mwisho wa siku ni kuyaonja mauti hata kama ayakimbie vipi!!
boresheni hospitali zetu ili hata na sisi makabwela tupate hizo tiba basi na kuongeza hata kidogo matumaini ya kuishi. utasikia hatuna uwezo wa kununua t-scan.
ila kwa kuwagharimia hao mawaziri uwezo huo upo hata kama baraza lote la mawaziri likiuguwa ndani ya mwezi mmoja.
haya shime watanzania na tufanye kazi sasa kwa bidii kwani maisha ni kwa staili ya classes.
Tumwombee apone haraka ili aje afanye kazi ila kichwa cha habari yako si kizuri maana mtu kuwa mahtuti si sawa na mtu kuwa na hali mbaya.Hali ya waziri wa fedha,Dk.William Mgimwa imeelezwa kuwa ni mbaya na amelazwa katika hospitali ya Milpark nchini Afrika kusini tangu mwishoni mwa wiki iliyopita.
Habari hii imeripotiwa na Gazeti la Raia Mwema la tarehe 04/12/2013 ambalo limenukuu vyanzo kutoka serikalini vikidai hali ya waziri huyo ni mbaya.Pia, imeelezwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha,Dk.Likwelile, alikwenda Afrika Kusini siku ya Jumatatu iii kufuatilia hali ya waziri wake.
CHANZO:Raia Mwema.
Hivi muhimbili haiwezi kuwahudumia viongozi wetu! Hii nchi ni ngumu sana, hakuna uzalendo kabisa,MNAKIMBILIA KUJENGA DARAJA KIGAMBONI BADALA MNUNUE MASHINE ZA KISASA ZA KUTIBU WANANCHI!! hii ndo ccm!!
Mizaha kwenye mambo serious sio ustaarabu!
Kitakuwa ni kipapai cha maccm hicho...