Wapelekwe watakapopelekwa ,hata wakifia huko, wakati wagonjwa wengi wanafia wodini kwa kukosa dawa za kawaida, wao wanapelekana nje ya nchii kulipa bili za mamilioni. Kuna nini huko hatuwezi leta hapa kwetu..... inamaana mtanzania wa kawaida akiumwa ugonjwa anaoumwa mgimwa, japo yeye sio waziri c atakufa? huu umbumbumbu wa viongozi wetu umetufikisha hapa, kazi ni kulipana posho na mishahara, baasi............wat a shamefull leaders? Mbona Mandela anatibiwa huko huko kwake.... hawa viongozi wetu walahawjifunzii kitu, alafu wanatulazimisha tuipende Tanzania..... kwa lip?