Waziri wa fedha Mahututi

Waziri wa fedha Mahututi

Huyu si ndo alikuwa anakomalia kodi za line za simu?
Mimi nasema aumwe tu. Tumechoka, ukijifanya mkaidi kuliko wengine utaumwa tu.

Kwa jinsi wanavyotufanyia, wakae hukohuko hosptl haina tofauti kati ya kuwepo na kutokuwepo kwao!
 
Tunamwombea apone haraka ili aje kujionea KODI YA LAINI ZA SIMU ilivyoiboresha HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI .

Hatuombei wengine magonjwa, ila yale wanayotufanyia, bora aishie huko huko. Tumechoka, nasema waugue tu manake kwenye ugonjwa hamna rushwa!!
 
acha kukariri mkuu, dr mvungi (r.i.p) akiwa south Africa iliripotiwa kuwa mahututi ......kilichofuata baadae ilikuwa ni pigo kwa tume nzima ya mabadiliko ya katiba na mpaka leo hatuna hakika pengo lake limezibwaje!!!
usijali mwigulu ataziba
 
na bado mtanzania anabebeshwa garama za katibu mkuu kwenda kumnjulia hali waziri wake Tanzania kuna mambo !!!
Kwani ulitaka nani abebeshwe hizo gharama?Kwenye issue ya ugonjwa usiweke siasa.Ungefurahia kusikia kiongozi wako tena waziri wa fedha anaomba mchango wa kwenda kupewa matibabu???
 
Pole yake, Mungu ampe nafuu......
 
Kwa mujibu wa Kinana nae ni mmojawapo wa "mawaziri Mizigo"
 
Kwani ulitaka nani abebeshwe hizo gharama?Kwenye issue ya ugonjwa usiweke siasa.Ungefurahia kusikia kiongozi wako tena waziri wa fedha anaomba mchango wa kwenda kupewa matibabu???
we vipi umesoma wapi waziri asitibiwe kwa fedha zetu? nilicho hoji ni katibu wake kwenda kumjulia hali wakati tuna balozi wetu huko SA angefanya kazi hiyo pia kumbuka muhimbili kuna wagonjwa hawana matibabu kabisa
 
Kwani ulitaka nani abebeshwe hizo gharama?Kwenye issue ya ugonjwa usiweke siasa.Ungefurahia kusikia kiongozi wako tena waziri wa fedha anaomba mchango wa kwenda kupewa matibabu???
Tumechoka,augue tu! Hana msaada wowote
 
Isijekuwa mitandao imeshaanza kufanya kazi,wakiwa na nia ya kutengeneza EPA nyingine kuelekea uchaguzi 2015
 
Back
Top Bottom