Waziri mwingine aihujumu CHADEMA

Waziri mwingine aihujumu CHADEMA

Mkikaa huko kwenye vijiwe vyenu ndiyo mnadanganyana waulize viongozi wako ambao wamekutuma humu JF Mbowe na Dr Slaa, rais Kikwete aliwafanyaje kwenye chaguzi za rais.
Wewe KILAZA kweli hebu leta TAKWIMU hapa Je JK alipata kura ngapi za URAIS na Dr Slaa alipata ngapi? Msiwe mabingwa wa kukariri mambo
 
Mkuu,
Kwa Tanzania pesa kwanza huduma baadaye.

Hivi katika akili za kawaida unafikili Mwenyekiti wa CHADEMA atakubalina na idea ya kuanzisha gazeti lenye propoganda za CHADEMA ili lifanye competition na gazeti lake ambalo linafanya hiyo kazi.

Thubutu, it'll never happen under his chairmanship.
Nafikiri utakuwa ni upuuzi tu kuogopa kuanzisha gazeti la chadema ambalo litaandika habari za kiuchunguzi kama za Mwanahalisi, kwani Mwanahali na Raia mwema yapo na yanaandika habari zenye mlengo wa CHADEMA na bado Tanzania daima linauza? At a time Mwananchi pia lilikuwa linaandika kwa mlengo wa CHADEMA kabla halijarubuniwa, yet gazeti la Tanzania daima liliendelea kuuza. Utakuwa ni wehu, na ubinafsi usio na maana iwapo Mbowe ataendelea kuweka kigingi uanzishwaji wa media za chama. Kwa kawaida, uwepo wa media za chadema ungesaidia sana kuongeza mapato pia, ukiachilia mbali utoaji wa taarifa. Why cant they do so?
CC. John Mnyika, Zitto, Mwita Maranya, Crashwise
 
Last edited by a moderator:
Ni muda mwafaka kwa CDM kuimaliza issue hii inayodaiwa kuwa ya ukanda/ukabila once and for all. Manake kila mara ndio weak spot ambayo CCM na wapinzani wengine na hata baadhi ya wanaCDM ndio wanaitumia. Kamati Kuu yao lazima itafute namna ya kuishughulikia hii issue. Maana hata msukuma mwenzetu Shibuda naye anataka kuuaminisha umma wa Tanzania kwamba CDM haikubaliki Lake Zone kitu ambacho ni uongo. Ila kwa afya ya CDM lazima wafanye kitu ili kutowapa nafasi wapinzani wao kuitumia hii weak spot

chacha wangwe kabla ya kifo chake alisema chadema kuna ubaguzi wa kikanda, shonza amesema hivyo hivyo,mwampamba na wenzke hivyo hivyo, shibuda pia na hata wengine pia.lisemwalo lipo
 
Nafikiri utakuwa ni upuuzi tu kuogopa kuanzisha gazeti la chadema ambalo litaandika habari za kiuchunguzi kama za Mwanahalisi, kwani Mwanahali na Raia mwema yapo na yanaandika habari zenye mlengo wa CHADEMA na bado Tanzania daima linauza? At a time Mwananchi pia lilikuwa linaandika kwa mlengo wa CHADEMA kabla halijarubuniwa, yet gazeti la Tanzania daima liliendelea kuuza. Utakuwa ni wehu, na ubinafsi usio na maana iwapo Mbowe ataendelea kuweka kigingi uanzishwaji wa media za chama. Kwa kawaida, uwepo wa media za chadema ungesaidia sana kuongeza mapato pia, ukiachilia mbali utoaji wa taarifa. Why cant they do so?
CC. John Mnyika, Zitto, Mwita Maranya, Crashwise

kumbe mnapenda media zinazoandika chuki uchochezi na uongo sio hizi zinazoandika ukweli
 
Last edited by a moderator:
Huu ushuzi kwako ndio point? Babako alifadhiliwa na nani ujanani mwake? manake hilo la kufadhiliwa limekukaa mithili ya masaburi! utanisababishia ban bure

Kwenye ukoo wangu fadhila nasoma kwenye magazeti na ndio sababu nasikitika sana ninapoona vijana wa Chadema mnaishi kwa kufadhiliwa; siiogopi ban kwa kukueleza ukweli. Hivi hata wewe mwenye ID zaidi ya 3 unajifanya unaoogopa ban kama si ulaghai ni kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kushabikia CCM lazima uwe na moyo wa maiti.

tukizidiwa hoja hizi ndio lugha zetu, labda nikukumbushe mkuu, mada hapa ni dokta wa ukweli kukwapua mil 140 za chama, wenyewe wanataka zirudi
 
Chadema inajihujumu yenyewe kwa kufunika matatizo badala ya kuyashughulikia, msitafute mchawi mara mwigulu mara shigela mara nape, jitazameni nyie kwanza kabla hamjawanyooshea wengine vidole
 
tukizidiwa hoja hizi ndio lugha zetu, labda nikukumbushe mkuu, mada hapa ni dokta wa ukweli kukwapua mil 140 za chama, wenyewe wanataka zirudi

huo upuuzi wa masalia ulishakosa nguvu ... hichi ulichoandika ni upumbavu endelevu
 
Kushabikia Chadema lazima uvute bangi
Kushabikia CCM ni lazima uwe umekosa moyo wa uzalendo, unasukumwa na ubinafsi tu. Unaangalia namna ambavyo CCM itakusaidia uishi maisha yenye unafuu kuliko wengine. CCM wamejaa wabinafsi na wala rushwa, wasioyajali maisha ya masikini. Ndiyo maana kwa miaka hamsini ya utawala wa CCM, Tanzania yenye rasilimali na utajiri wa kila aina, ndiyo inaongoza kwa kupokea misaada, na bado hali ya maisha ya watanzania ni mbaya kuliko majirani zetu wengi wasio na misaada.

Kama umepita maeneo ya namtumbo, Iramba, baadhi ya maeneo ya Mpwapwa au Tunduru huko uone hali ya maisha ya watanzania, halafu njoo uangalie maisha ya viongozi wa nchi, then ujiulize kama kweli kuna equal distribution ya resources under CCM? Na hao wenye maisha ya hali ya chini kabisa ndiyo walipa kodi wakubwa kupitia mazao yao na kila aina ya service wanayoipata ikiwemo kununua chumvi. Ni ushenzi kabisa, kuwa shabiki wa CCM ilihali watu wanakufa kwa njaa.

Kwa mtu mwenye akili timamu anayeshuhudia kwa macho yake makontena ya mchanga wenye madini yakipakiwa kwenda ulaya huku wakisingizia wamebeba mchanga, na viongozi wanaona, hawezi kushabikia CCM. Mtu mwenye akili nzuri anayeona namna makampuni ya kigeni yanavyotengeneza mashimo kwenye machimbo ya madini halafu nchi inapata mrahaba wa asilimia 3 hawezi kuisifia CCM. Mtu anayefikiri kwa ubongo anayeona namna ambavyo tembo wanauawa huku wanyama wengine wekiibwa na wageni bila ya serikali kujua, hawezi kamwe kuisifia CCM. Na mtu mwenye akili nzuri anayeona namna ambavyo watu wachache wanafaidi keki ya nchi kiasi cha kuficha hela kwenye mabenki ya ugenini, huku wengine wakikosa hata uwezo wa kununua panado, katu hawezi kuishabikia CCM.

Ni vichaa, wehu, mataahira au wenye mtindio wa ubongo pekee ndo wataishabikia CCM. Huo ndo ukweli usiopingika. Kama wewe ni mtu mwenye reasoning nzuri kwa hakika huwezi ishabikia CCM.
 
Chadema inajihujumu yenyewe kwa kufunika matatizo badala ya kuyashughulikia, msitafute mchawi mara mwigulu mara shigela mara nape, jitazameni nyie kwanza kabla hamjawanyooshea wengine vidole
wape hao mkuu munyangaa
 
tukizidiwa hoja hizi ndio lugha zetu, labda nikukumbushe mkuu, mada hapa ni dokta wa ukweli kukwapua mil 140 za chama, wenyewe wanataka zirudi
Ina maana hata kusoma hujui? Sasa haya umeandikaje? Au umeandikiwa. Kichwa cha habari hii kinasema "waziri mwingine aihujumu CHADEMA". sasa wewe hiyo habari ya Dokta wa ukweli amekwapua milioni 140 umeitoa wapi. Kama hicho ndo unachotaka kijadiliwe, anzishwa thread yako. Siyo kwenye thread za wenzako.
 
Wakishamaliza ziara ya mbeya mie nitaomba twende na mawazo sehemu zilezile walizopita tukawaelezee wananchi kuhusu Prof Mwaikusi,Dr mwakyembe,Mwandosya,the late governor Mr kibona,Mwangosi and Ulimboka kama sehemu ya kuanzia kwani hawa nao walishugulikiwa na chadema,😎

True.......
 
kumbe mnapenda media zinazoandika chuki uchochezi na uongo sio hizi zinazoandika ukweli
Inayoandika ukweli ni ipi? Uhuru na Habari leo? Au majira? umeona katika mifano niliyotoa nimeweka gazeti la mwanahalisi na raia mwema. Niambie ni habari gani za uchochezi zilizoandikwa na haya magazeti, kama si ulimbukeni wa viongizi wa nchi kutotaka kuambiwa ukweli? Tukiongelea mlengo wa CHADEMA hapa tunamaana magazeti yenye kusema ukweli halisi kwa wananchi na si magazeti yenye wahariri wanaotafuta ukuu wa wilaya. Tunataka media ambazo zinacheza kwenye zero ground.
 
mtu mwenyewe umeshajiita Mzito Kabwela kweli mimi chama nipoteze muda wangu kujibizana na Kabwela? Ni afadhali mara 1000 nikibizana na pimbi labda atakuwa na mwelekeo; wewe toka povu la mdomo; chadema ikulu ni nyumba ya mkwe mtaisoma kwenye magazeti; sisi tunamwaga sera kwa vitendo; shukuru JF unapata hata muda wa kujibizana na chama mkulima kama wewe tungekutana wapi? Dar unaishi kwa ufadhili mjomba; hivi kwa akili zako hiyo Bavicha is kutakuwa kuna wafu; manaake sioni kitu kwenye ubongo wako; njaa imekutawala mpaka chai mtaa wa Togo!!

Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mkuu chama,

Naona huyo kabwela analazimisha kujuana na watu aame kwanza Kimara kwa shemeji.
 
Last edited by a moderator:
Wewe KILAZA kweli hebu leta TAKWIMU hapa Je JK alipata kura ngapi za URAIS na Dr Slaa alipata ngapi? Msiwe mabingwa wa kukariri mambo

Weka takwimu za kura za Dr Slaa.
 
Back
Top Bottom