Hiyo Lumumba naikumbuka ukiitaja wewe; kwa elimu yangu Nape hawezi kuwa bosi wangu hata siku moja; wachilia Nape hata bosi wake Nape; watu wenye njaa kama wewe hawaniumizi na wala hawataniumiza kichwa; mimi nipo saaafi kimaisha namshukuru sana Mungu; wewe ni mtu wa kutegemea viposho mtaa wa TogoSina muda wa Kubishana na watu wenye akili ndogo.
Mimi silipwi posho na Lumumba wala siko hapa kutetea ujingaujinga.
Kama unabisha kamuulize bosi wako Nape kuwa mimi ni nani ndio utanijua vizuri.
*Narudia tena siungi mkono kabisa siasa za kiuwendawazimu zinafanywa sasa na chama changu cha CCM kupitia baadhi ya viongozi wake wa sasa.
; njaaa yako tafuta pa kuupeleka.
Chama
Gongo la mboto DSM
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums