Waziri mwingine aihujumu CHADEMA

Waziri mwingine aihujumu CHADEMA

We ndugu mi nakuja kukukanyaga... si umesema "tukukanyage"..

Avatar gani hiyo ya kuomba tukukanyage??
 
Unawapa tuu kazi MOds kujua kwamba tunajadili na mtoto anayenyonya kwa mama yake,Mushumbusi anaendeshaje chadema, unadhani chadema ni sawa na CCM ambayo Jakaya KIkwete kama sultani na mwanawe Ridhiwani na mkewe Salma ndio wanaopanga nini kifanyike CCM ,Usithubutu kulinganisha CCM na chadema wakati CC ya CCM ni ya Baba Mama na Watoto chadema uliona wapi hiyo umemuona wapi Dr Mtei mke wa mbowe akiwa kwenye active politics,Mkwe wa Mbowe aliyeanzisha chama baada ya muda ameretire amebaki mzee wa chama acha hizo bwana
hahaha angalia hata unavyopata shida kuongea maana ukweli unakuguguna
 
Kama gazeti limeweza kuyataja majina ya washiriki wengine kwa nini linapata kigugumizi kulitaja jina na naibu waziri au wizara anayoisimamia.

Huu unakuwa ni uandishi wa habari katika mazingira ya kufikilika na siyo katika habari kamilifu.

Haya ndiyo magazeti ya Tanzania. No investigative journalism. Udaku tupu.
yanayoinvestigate mnayafungia hata mimi ningekuwa mhariri nisingetaja.
 
Kama mpanga njama hizi ni AMMIM , basi hawa vijana imekula kwao , hajawahi kufanikisha jambo lolote huyo , wametapeliwa .
 
Kuhusu kufadhiliwa hawa vijana ishara zinaonyesha kuwa ni kweli kwa sababu hawa hawana uwezo wa kuzunguka nchi yote wakieneza propaganda hizi. halafu kama ccm wanataka kujipima kwa nini watumie uwongo ili kwahadaa wananchi? na nyie mnaotumika kwa kuahidiwa vyeo na kazi poleni sana siku moja mtajua ccm ikikutumia kufanikaisha lengo lake, mtatupwa na hamtafahamika kama muliwahi kukisaidia na mtaonekana mnaweza kutumika na wengine hivyo hata ndani ya ccm hamfai. HAPO NDIPO MTAKAPOLIA NA KUSAGA MENO.
 
Hi single hailipi wenzenu wakisema kuna wizi wa EPA wanakuwa na nyaraka za kuthibitisha ,tumesema lete bank statement inayoonyesha milioni 140 zimetolewa na hazina matumizi

Kama ni Kibabu kachukua thibitisha alichukua wapi kwenye safe,bank, au alikabidhiwa na nani wapi alikochukua kwa sababu hatukuzaliwa na kuku tunajua mfumo wa matunzo ya fedha kwenye taasisi

Tulikuambia tueleze kama Kibabu ndie anaenda dirishani benk kuchukua fedha na kwamba anaenda nazo nyumbani
Tatizo MACCM ni kama mumechomekwa majiti kwenye nini sijui kama alivyofanyiwa Gaddafi kwa sababu you dont think
Kilichowashindwa na munavyoonekana mumechoka kiakili na kimkakati ni pale munapokuja na propaganda munayojua itawaongezea credit za kisiasa chadema hivi nyie political strategist wenu ndio akina KInana wezi na wasafirishaji wa Tembo ndio munadhani munaweza kumpaka matope KIbabu bila uthibitisho hatuendi hivyo bwana
narudia tena mwambieni arudishe hzo mil. 140,,, then huo mshahara wa mil 7 wakati makatibu wa mikoa hawana hata sent anautoa wapi slaa ni mchumia tumbo tu
 
Mtoto tu wewe mama mtoto analia anataka kunyonya huna hoja unajaza thread pasipo sababu kalale eeeh
hahaha babu kawashika kweli anafanya maovu kuliko ccm vijana mnambeba eti akiulizwa mnasema katumwa chadema hamna chama nyie jibuni hoja msiishie kurusha mashambulizi ebooo
 
Mhh tusio na chama tutajua tu nani wa kumpa kura 2015

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hilo gazeti lata exist vp wakati kuna tz daima?? mkuu akale wapi?? nimeshangazwa kusikia suala la redio ya chama linashughulikiwa na mama mbowe na mshumbusi hv CDM inaendeshwa kitaasisi au ni genge la kiukoo???

Genge la ukoo liko Magogoni,nyie wengine ni misukule tu.
 
Amimu simpendiiiiii

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
narudia tena mwambieni arudishe hzo mil. 140,,, then huo mshahara wa mil 7 wakati makatibu wa mikoa hawana hata sent anautoa wapi slaa ni mchumia tumbo tu

Kwani ulimpa wewe hizo hela?au ni umalaya wako wa vyama unakusumbua?
 
Ni muda mwafaka kwa CDM kuimaliza issue hii inayodaiwa kuwa ya ukanda/ukabila once and for all. Manake kila mara ndio weak spot ambayo CCM na wapinzani wengine na hata baadhi ya wanaCDM ndio wanaitumia. Kamati Kuu yao lazima itafute namna ya kuishughulikia hii issue. Maana hata msukuma mwenzetu Shibuda naye anataka kuuaminisha umma wa Tanzania kwamba CDM haikubaliki Lake Zone kitu ambacho ni uongo. Ila kwa afya ya CDM lazima wafanye kitu ili kutowapa nafasi wapinzani wao kuitumia hii weak spot
 
Back
Top Bottom