Waziri mwingine aihujumu CHADEMA

Waziri mwingine aihujumu CHADEMA

Ok.
Mkuu, aliandika kwa kufupi sana kiasi kwamba iliniwia vigumu kuuelewa ujumbe wako.

Waandishi wetu wanachofanya ni bora habari halafu cha kusikitisha, unaweza ukakuta karibu magazeti yote yana habari moja na inakuwa kama wame copy& paste.

Polepole ndiyo mwendo. Naamini tutafika.
Thanks

Tamaa ya pesa aka bahasha za kaki zinadhalilisha taaluma ya uandishi wa habari
 
Back
Top Bottom