Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,507
Hapa anaongelewa Mlugo? Maana ndiye aliyetamba kutaka kulirudisha jimbo la mbeya mjini mikononi mwa CCM!
Umefika wakati CHADEMA itabidi wafanye kazi ya ziada katika kupanua huduma ya utoaji wa taarifa kwa jamii. Maana habari kama hizi kamwe haziwezi kuandikwa na magazeti ya mwananchi, wala habari leo. Sasa itawabidi CHADEMA wasiendelee kulitegemea gazeti la Tanzania daima tu, bali waangalie uwezekano wa kuwa na gazeti la chama, na pia kuwa na redio plus television ya chama.
Nashangaa sana ni kwa vipi CHADEMA wanashindwa kufanya hili. Kwa ruzuku wanayopata, wakijipanga vizuri wanaweza kabisa kuwa na hivi vitu. Kitendo cha kukosa vyombo vyake vya habari, kutaiwezesha CCM kusambaza propaganda zake kirahisi na kuuhadaa umma wa watanzania, matokeo yake tutajikuta na 2015, tunashindwa kuchukua nchi.
Mkuu,
Kwa Tanzania pesa kwanza huduma baadaye.
Hivi katika akili za kawaida unafikili Mwenyekiti wa CHADEMA atakubalina na idea ya kuanzisha gazeti lenye propoganda za CHADEMA ili lifanye competition na gazeti lake ambalo linafanya hiyo kazi.
Thubutu, it'll never happen under his chairmanship.