Waziri mwingine aihujumu CHADEMA

Waziri mwingine aihujumu CHADEMA

Siyo muda huo bado haupo kabisa. CCM itaondolewa na Watanzania wenyewe siku wakiichoka lakini siyo Chadema. Tanzania bado hatujapata chama cha upinzani makini ambacho kitawaunganisha Watanzania wote. Chadema ni chama cha kikanda hakina sifa ya kuingoza Tanzania.

Huna ujuacho wewe,ka-muulize mkuu wako KILAZA aka DHAIFU na chama chake wanakiogopa chama gani?,na wewe binafsi unatumikishwa kupambana na chama gani humu jf?,mnatamani hata leo CDM isambaratike lakini mmefeli.mtalala sana makaburini lakini gamba halita watoka.
 
INASIKITISHA SANA, IVI HII NDO ILE CCM NILIYOIFAHAMU KWELI, LEO CCM KAZIDIWA KTK SIASA BADALA YA KUTIMIZA AHADI ZAO KWA WATZ, WANAANZA KUWATUMIA VIJANA WA CDM WENYE TAMAA PIA MASKINI KUISALITI CHADEMA, MMEWAARIBIA FUTURE AKINA MWAMBAPA, JULIANA, PIA HABIB MCHANGE UYU CHADEMA ILIMPAISHA UKAKARIBIA KUWA MBUNGE LEO UNAJIINGIZA KT SIASA MAJITAKA ZA CCM MATOKEO CDM KAKUTIMUA, UTAONA JIMBO LA KIBAHA TOWN KUBENEA ANALICHUKUA WEWE UNANDELEA KUITEGEMEA WALLET YA MWANAUME MWENZAKO, NYIE NDO MWISHOE MNALAWIWA, KWA MPANGO HUU CCM WASHAKUA RAHISI KUSHINDWA ONA AINA HII YA MAPAMBANo, CCM KWISHNEY

Duu kumbe hawa wanaosha dadia magamba wanalishwa na kutegema POCHI za wengine?.....eeeeeeh! khatari hii yake wasije kutanishwa na sera za CAMEROON! ooooo kina RTZ kaeni chonjo na UTUMWA wenu msije naniiihiwa.
 
Siyo muda huo bado haupo kabisa. CCM itaondolewa na Watanzania wenyewe siku wakiichoka lakini siyo Chadema. Tanzania bado hatujapata chama cha upinzani makini ambacho kitawaunganisha Watanzania wote. Chadema ni chama cha kikanda hakina sifa ya kuingoza Tanzania.

i have now recognized ... this is a group Id .... who is using it now .... i dont know .... i am still under reactive experiment
 
Huna ujuacho wewe,ka-muulize mkuu wako KILAZA aka DHAIFU na chama chake wanakiogopa chama gani?,na wewe binafsi unatumikishwa kupambana na chama gani humu jf?,mnatamani hata leo CDM isambaratike lakini mmefeli.mtalala sana makaburini lakini gamba halita watoka.

Mkikaa huko kwenye vijiwe vyenu ndiyo mnadanganyana waulize viongozi wako ambao wamekutuma humu JF Mbowe na Dr Slaa, rais Kikwete aliwafanyaje kwenye chaguzi za rais.
 
Ukisoma habari hii kwa makin utagundua kuwa naibu waziri anayeongelewa hapa ni yule wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi bwana philip mulugo. soma paragraph ya mwisho kwenye habari hii ili upate kuujua ukweli wa mhusika.
 
FredKavishe,

Hivi kweli unaamini matatizo ya Bivicha yameletwa na Mwigulu Nchemba.

Kufukukwa hao vijana watatu mnaita masalia matatizo ndani ya Bavicha yatakuwa yameisha.

Bado hayatakua yameisha kabisa matatizo yapo kila sehemu mkuu.sema unayapunguza.
 
Last edited by a moderator:
Kilichoandikwa hapo kina ukweli 100%, mimi ni mwanaCCM(Niko kwenye system) ninajua huo mpango vizuri sana, kama mtu haamini basi ajipe muda kidogo ataona matokeo ya hicho kikao muda si mrefu.

Sisi tunaamua kuvujisha hizo siri kwa kuwa hatuungi mkono siasa za kijinga na kiwendawazimu zinazofanywa na baadhi ya viongozi wetu waandamizi wa CCM wa sasa.

Tupambane na CHADEMA kwa hoja bora za kisiasa na sio kwa siasa chafu za kuvuruga taifa letu.
 
MwanaCCM wa wapi wewe? Wewe ni Chadema mtupuuu! Pumba zako tafuta kwa kuzipeleka
Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Siyo muda huo bado haupo kabisa. CCM itaondolewa na Watanzania wenyewe siku wakiichoka lakini siyo Chadema. Tanzania bado hatujapata chama cha upinzani makini ambacho kitawaunganisha Watanzania wote. Chadema ni chama cha kikanda hakina sifa ya kuingoza Tanzania.
Mkuu Ritz, CCM ikishindwa bora turudishe utawala wa kijadi kuliko hiki chama cha wagangia njaa.
 
Kilichoandikwa hapo kina ukweli 100%, mimi ni mwanaCCM(Niko kwenye system) ninajua huo mpango vizuri sana, kama mtu haamini basi ajipe muda kidogo ataona matokeo ya hicho kikao muda si mrefu.

Sisi tunaamua kuvujisha hizo siri kwa kuwa hatuungi mkono siasa za kijinga na kiwendawazimu zinazofanywa na baadhi ya viongozi wetu waandamizi wa CCM wa sasa.

Tupambane na CHADEMA kwa hoja bora za kisiasa na sio kwa siasa chafu za kuvuruga taifa letu.
Rekebisha hapo kwenye red nadhani unamaanisha CDM
 
Kama gazeti limeweza kuyataja majina ya washiriki wengine kwa nini linapata kigugumizi kulitaja jina na naibu waziri au wizara anayoisimamia.

Huu unakuwa ni uandishi wa habari katika mazingira ya kufikilika na siyo katika habari kamilifu.

Haya ndiyo magazeti ya Tanzania. No investigative journalism. Udaku tupu.

Ndugu nikushauri upitie tena na utaliona jina la huyo naibu waziri. Limeandika ni Shigela!
 
Kama kuanzisha na kuendesha gazeti ni rahisi mwambie Babako aanzishe lake. Mtu mzima unaandika utadhani unatumia tundu ya kutolea ushuzi kufikiri!

Kujificha nyuma ya keyboard na kuanza kurusha maneno ya kikeume kwangu ni kama kupiga ngumi ukutani. Usifikili nikiwa kimya katika hali ya kistaarabu ukadhani sijui kutema matusi. Akili yako inahitaji kwanza kupelekwa jandoni ili ukirudi hapa janvini uwe tayari nubile.

-I'm sorry, I can't argue with imbecile and chauvinist fully of idiotic remarks,

-I wish, intellect could to free, but the price for benigheted like you is sky high na haishangazi mpaka sasa hujaweza kununua.

-I know you specialise in bootlicker. Stick with it kwa vile hiyo ndiyo itakupatia ujira wako wa kila siku. Haya mengine ni mambo ya wakubwa na huyawezi.

Ni ushauri tu. Take it or leave it
 
wakaribie 2 mbeya wakutane n kisiki mwambigija...
 
MwanaCCM wa wapi wewe? Wewe ni Chadema mtupuuu! Pumba zako tafuta kwa kuzipeleka
Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sina muda wa Kubishana na watu wenye akili ndogo.
Mimi silipwi posho na Lumumba wala siko hapa kutetea ujingaujinga.
Kama unabisha kamuulize bosi wako Nape kuwa mimi ni nani ndio utanijua vizuri.

*Narudia tena siungi mkono kabisa siasa za kiuwendawazimu zinafanywa sasa na chama changu cha CCM kupitia baadhi ya viongozi wake wa sasa.
 
Wakishamaliza ziara ya mbeya mie nitaomba twende na mawazo sehemu zilezile walizopita tukawaelezee wananchi kuhusu Prof Mwaikusi,Dr mwakyembe,Mwandosya,the late governor Mr kibona,Mwangosi and Ulimboka kama sehemu ya kuanzia kwani hawa nao walishugulikiwa na chadema,😎
 
Kila kukicha naona unazidi kupoteza mwelekeo ueleweki unaandika nini.

Huu ni upuuzi wa kupuuzwa! Tangu lini wewe unione nina mwelekeo? After all viazi kama wewe na mwenzako chama hamnipi shida
 
Last edited by a moderator:
Nimekuambia nenda kamshauri babako au kama hayupo hata baba wa kufikia mshauri uende nae kwa msajili wa magazeti msajili lenu. We unaona gazeti kuexist ni rahisi kama kuosha masaburi?! Nyambaf!

-Sikushangai kuwa na fikra kama hizi kwa sababu maisha yako yapo kwa hisani na mapenzi ya autarch ndani ya chama.

-siwezi kutegemea majibu mengine zaidi ya haya kwa sababu obsequious kwa wakubwa wako ndiyo determinant yako ndani ya chama.

-kwa majibu kama haya, nategemea chat yako inapanda kwenye macho ya master wako.

Keep it up. Intellect ni gharama

-
 
Back
Top Bottom