Shelisheli
Senior Member
- May 13, 2011
- 178
- 27
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Harison Mwakyembe amejikuta katika wakati mgumu katika ziara yake ya kushtukiza alyoifanya katika kituo cha mabasi Mwenge.
Waziri huyo alifika maeneo hayo na kuanza kuamrisha madereva wa mabasi yanayofanya safari za Makumbusho-Bagamoyo waondoe mabus hayo kwa sababu sio mahali stahili.
Aliwaamrisha wayapeleke mcus hayo katika kituo cha Makumbusho kama ambavyo imeandkwa kwenye magari yao.
Ndipo madereva, makondakta pamoja na wapga debe walipomjia juu na kumwambia kuwa serikali imefanya ufisadi wa kuuza eneo la makumbusho ambako hvi sasa panajengwa Ghorofa.
Madereva hao waliskika wakisema kuwa wamechoshwa na ubabaishaji unaofanywa na serikali ya CCM.
Madereva hao walisema kuwa hawaondoki eneo hlo hadi hapo watakapopatiwa eneo jngne ambalo linatakiwa.
"Haiwezekani kila siku tunalipia ushuru hapa halafu leo unakuja kusema kuwa si sahii. Hakikisheni kuwa kituo cha makumbusho kinarekebishwa ndipo sisi tuende huko" Aliskika mmojawapo wa madereva hao.
Palitokea mzozo mkali wa maneno baina ya Waziri Mwakyembe na vijana hao wanaofanya kazi katika daladala hzo.
Mwishoni kabisa waziri Mwakyembe alisikika akisema "Suala la eneo la Makumbusho nimelisikia na nitalifanyia kazi"
mwishoni ikabidi awpe number za simu ili awasiliane nao ndpo akaamua kuondoka kwa aibu bila kuacha maagzo yoyote
My Take: Napenda viongozi wasipende kufanya ziara ya kushtukiza bila kufanya uchunguzi kwanza kupitia wawakilishi.
Chanzo Cha Habari ni Mimi mwenyewe nilikuwepo eneo la tukio..
cheap popularity! Kwani matatizo yako Mwenge tu? The whole country hakuna kituo kisichokuwa na matatizo. Sasa waziri atavitembelea vyote? Ameona aende Mwenge kwasababu kutakuwa na mwangwi mkubwa! Kama waziri angetoa strategies za ku-improve huduma ktk vituo kutokana na uhitaji, na akafuatilia utekelezaji wake. Kama kweli alikuwa na nia ya dhati, tunategemea imediately effects za ziara yake hiyo ikiwa nipamoja na kuwajibisha wote waliozembea wajibu wao.