Biden saizi anakubalika Kwa asilimia chini ya 40Bado serikali ya Marekani, Ujerumani, Poland na viherehere wengine
Amesha jiuzuru au badoBiden saizi anakubalika Kwa asilimia chini ya 40
Biden hawez jiuzulu hata kama approval yake itashuka mpaka 1%Amesha jiuzuru au bado
Jinga hilo achana naye.Kujiuzulu kwake kunahusiana vipi na Urusi au Gas?
Unajua sababu ya yeye kulazimishwa kujiuzulu?
yuko wapiIla jamaa nywele zake anavyoziweka huwa nacheka wakati mwengine
Hivi Sasa waamerika wamevurugwa hata wanauana Kwa bunduki kama animal wa mwituni,enzi za Mzee Trumpet,aliwaambia waamerika, America kwanza na walimwelewa kwelikweli.Na sikusikia waamerika wakiuana kama enzi hizi za Beberu Biden 🤔Biden hawez jiuzulu hata kama approval yake itashuka mpaka 1%
Sema 2024, Trump anakuja.
2028 , USA inaongozwa na Rais wa Kwanza Mwanamke "Ivanka Trump".
Hamna mlijualo , maana hata Siasa mnazo za "mama songa mbeleee,unaupiga mwingi".Jinga hilo achana naye.
Utazani tiyara ya ndege tausiIla jamaa nywele zake anavyoziweka huwa nacheka wakati mwengine
Sadik Khan atapumua kidogoDah Boris
huna akili.Mbowe anasubiri nini? Chama kometoka wabunge 200 hadi kubaki mmoja!
Wewe Jamaa muongo unadhani humu wote wajinga sio. Kwanza anajiuzulu uongozi wa Chama, Uwaziri Mkuu ataendelea nao kidogo mpaka chama kipatw kiongozi wa kusimama kwenye uchaguzi.Kufuatia Ongezeko la gharama za Maisha nchini humo hususani Mafuta na Gas kitu kilichopelekea Bidhaa na Maisha Kwa ujumla Kupanda...
Mkuu ina maana baraza la mawaziri la UK lina mawaziri wangapimawaziri 55 kujiuzulu
embu ficha ujinga wako bana .Wewe Jamaa muongo unadhani humu wote wajinga sio. Kwanza anajiuzulu uongozi wa Chama, Uwaziri Mkuu ataendelea nao kidogo mpaka chama kipatw kiongozi wa kusimama kwenye uchaguzi. Kilichomuondoa ni suala la ethics waingereza maadili wameyaweke mbele kabisa, hata kura ya kutokuwa na imani naye ni kwa sababu ya maadili. kawadanganye vijiweni
Vita ya Urusi itaondoka na viongozi wengi wa Ulaya huu ni mwanzo tu labda wajiongeze wajiondolee vikwazo walivyojiwekea kwa kumsusia mlishaji wao mkuuMiito inayomtaka ajiuzuru inakuja mwezi mmoja baada ya Waziri huyo mkuu kukabiliwa na hoja ya kutokuwa na imani naye ambapo 41% ya wabunge kutoka chama chake walipiga kura dhidi yake.