Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

Screenshot_20220623-103845.png
 
Mkuu, Bosi Johnson hajaamua kujiuzulu mwenyewe alikuwa akikataa kuhusu jambo hilo. Taarifa zasema asubuhi hii amepelekewa barua....
Kama unafatilia Siasa za Uingereza... Toka juzi mpaka Leo Mawaziri wa SERIKALI wake zaidi ya 50 wamejiuzulu .

Na BoJo mwanzo akihutubia Bunge, alisema hatojiuzulu.

Kitu kilichofanya Mawaziri wengine walobaki kumwandikia barua ya wao kujiuzulu na kumtaka naye pia kujiuzulu.
 
Ila Michael Gove yule jamaa ni Milchawi kabisa. Vipi jamaa yako Dominic Raab ndo next pm nini?.

Naona Cummings ni full shangwe karma is a bitch
Yaonyesha walojiuzulu wote ndo wataounda serikali mpya.

Michael Gove ni mshikaji ila ni "body double".

Dominic Cummings lazima afurahi kwani ni yeye ndie alieanza kampeni ya kumuondoa Boris Johnson.

Weye mtu kakusaidia kufika hapo ulipo halafu wamtosa kiaina, hatokubali.

Dominic Raab ndie naibu waziri mkuu pamoja na waziri wa mambo ya ndani bi Priti Patel.

Hivyo bwana Raab huenda akashika nafasi kwa muda hadi atapotueliwa kiongozi mwingine.
 
Speculation is mounting that Boris Johnson ‘will quit today’ with several reports suggesting a resignation letter has been drafted.

The BBC’s political editor Chris Mason says the embattled prime minister has finally agreed to go after another torrid morning that saw several cabinet ministers quit.

No 10 has not confirmed the reports, but the PM is expected to make a statement within hours.

It is understood he will plough on with the top job until a new party leader is chosen over summer.
It marks a huge turn of events after Mr Johnson vowed to stay on yesterday, saying quitting would ‘not be responsible’ because of the huge mandate he won at the 2019 General Election.
He refused to go even after a delegation of cabinet allies marched into his office saying the game is up and they no longer support him.

Mr Johnson lashed out last night by sacking ‘treacherous’ Cabinet rival Michael Gove and pledging to ‘outline a new economic programme of tax cuts, deregulation and the benefits of Brexit’.
But this morning he was hit with another raft of resignations, including new Education Secretary Michelle Donelan, who was only appointed two days ago.

Even newly appointed Chancellor Nadhim Zahawi turned on him, writing a blistering letter saying he should ‘leave with dignity’.

The extraordinary statement said the country ‘deserves a government that is not only stable, but which acts with integrity’.

The prime minister’s resignation is expected to come before lunch time, according to the BBC.

A No 10 source said Mr Johnson spoke to Sir Graham Brady, chairman of the Conservative 1922 Committee, to inform him of his decision.

‘The Prime Minister has spoken to Graham Brady and agreed to stand down in time for a new leader to be in place by the conference,’ they said.
 

Attachments

  • Screenshot_20220707-113305_Chrome.jpg
    Screenshot_20220707-113305_Chrome.jpg
    158.4 KB · Views: 3
Kama unafatilia Siasa za Uingereza... Toka juzi mpaka Leo Mawaziri wa SERIKALI wake zaidi ya 50 wamejiuzulu .

Na BoJo mwanzo akihutubia Bunge, alisema hatojiuzulu.

Kitu kilichofanya Mawaziri wengine walobaki kumwandikia barua ya wao kujiuzulu na kumtaka naye pia kujiuzulu.
Siasa za Uingereza nazifuatilia kwa miaka mingi sana na nazifahamu.

Leo asubuhi hii Boris Johnson amepewa barua asaini kwani taifa lilikuwa (kiusalama) laekea kubaya.

Kama hufahamu taarifa ni kwamba hadi baba yake mzazi, kama na dada yake wote walitumwa usiku wa jana kumshawishi aondoke.

Nadhani utaelewa.
 
Wee cheki Bungeni walivyo , wanapiga makofi kwenye mambo ya kijinga tu.

Na Hawa viti maalumu Ndo kabisaaa Vitunguu Maji .
Hakika nakuambia, nchi hii ingeweza kusonga mbele kwa haraka kidogo kama tusingekuwa na Bunge, Wakuu wa wilaya. Nafasi zote za kazi mpaka Waziri zingekuwa za kitaaluma na sio uteuzi na zaidi LINGETOKEA GONJWA MAALUM likawaua wote wenye kadi ya KIJANI na wanaojiita WAPINZANI wao.
 
Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukalia kuti kavu kwa masaa 24 yalopita hatimae leo mchana atatangaza kujiuzulu baada ya mawaziri 55 kujiuzulu nafasi zao na serikali kushindwa kujiendesha...
Nimekuwa nikiwaambia Way Ukraine wa buza na Mabeberu wa ulaya na America kuwa wanachoshabikia na wanacho kifanya na kujiona wamiliki wa dunia,itakula kwao next ni Beberu mkuu Biden,Mwamba anaendelea kuikomboa Dunia.Hongera Nzee Putin🏃🏃🏃🏃🏋️.Endelea kuwatwisha vitu vizito😃😃
 
Back
Top Bottom