Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,024
- 1,616
Rais Felix Tshisekedi ameridhia Barua ya Kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Jean-Michel Sama Lukonde ikiwa ni Miaka Mitatu toka ateuliwe, hivyo kusababisha kuvunjwa kwa Serikali
Taarifa kutoka Ikulu ambayo haikuweka wazi sababu za Waziri huyo kujiuzulu imesema Rais ameagiza Serikali iliyovunjwa kuendelea na majukumu hadi pale Serikali mpya itakapoundwa
Lukonde aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Februari 2021, akichukua madaraka kutoka kwa Sylvestre Ilunga Ilunkamba, aliyejiuzulu baada ya Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani nae na Serikali yake
.........
The Prime Minister of the Democratic Republic of Congo Jean-Michel Sama Lukonde has resigned, he announced in a video shared on the presidency's social media platforms
late on Tuesday.
President Felix Tshisekedi accepted Mr Lukonde's resignation, the Reuters news agency reported, citing a statement from the president's office.
The statement added that President Tshisekedi had asked Mr Lukonde's government to continue with its duties until a new government is established.
In the DR Congo, the government is headed by the prime minister.
Mr Lukonde will now take up legislative duties, after he was voted to parliament in DR Congo's general elections last December.
Mr Lukonde had been appointed prime minister in 2021, succeeding ex-PM Sylvestre Ilunga Ilunkamba, who resigned after legislators passed a vote of no confidence against him and his government.
Source: BBC, REUTERS