alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 5,692
- 12,186
Yupo sawa tu, ratiba aliyopangiwa ndio inamfanya awe kimya. Kumbe nae kuna mambo anapangiwa ratiba.Kasemaje jessy
Yupo sawa tu, ratiba aliyopangiwa ndio inamfanya awe kimya. Kumbe nae kuna mambo anapangiwa ratiba.Kasemaje jessy
Labda aibuke ben ndio tutashangaaIla naomba msibadili maneno yenu siku JPM akiibuka ..... siku hiyo TUTAWAKERA!
Asipoibuka je?!Ila naomba msibadili maneno yenu siku JPM akiibuka ..... siku hiyo TUTAWAKERA!
Mtaongea mpaka kilugha, msemaji wa Ikulu ni RC Mbeya kweli CCM awamu hii mko kama mmekunywa Ulanzi uliochachaAtakuwa anajitokeza mara ngapi maana uzushi kwa wengine ni kama uji na mgonjwa, yaani kila tetesi za Chahali anajitokeza...., Tetesi za Mange anajitokeza, tetesi za Kigogo anajitokeza kukanusha, tetesi za Lissu Mr. Mzungu anajitokeza kukanusha, Robert Amsterdam, Mnyika, Maria Sarungi, .....wewe!
Hatupingi kuugua wala kufa, binadamu kaumbiwa hayo mambo mawili, shida ni pale kila siku tunaambiwa mtu kafa na kesho mtu anaonekana mzima bukheri wa afya, kibaya zaidi mtoa matangazo ni yule yule kila msimu! Inafika sehemu tunaamua kumpa ahueni mleta habari za misiba ajisikie vizuri!Sasa kwanini mnapinga sana juu ya kuugua au kufa kwa huyo mtu??
SawaMimi sio mwanafamilia, lakini wapo watu ambao ni wanafamilia, nina ukaribu nao. ( kibarua wao)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwishoni nimepaelewa sana!Mimi hata siangalii hili jambo kama la kusutana...
Usikimbie vitaInamaana hata Lissu anatuingiza Kingi sasa ni bora tujali kuhusu maisha yetu huyu mzee huenda keshanunua Pegasus anatuchora tu mimi najitoa kwenye huu mkumbo....
Kassimu au katelephoni yupoyupo tu kama lopolopoYakitokea yakutokea huyu Kasim atawaambia nini watu
Naona Kama una wasiwasi na mashaka makubwa, Rais yupo okay mkuu na vipi utafanyaje!?Asipoibuka je?!
Nani?Pamoja na kujenga mabarabara yote mnataka afe
Ni mzima ndio maana nimesema "rumors has it "Madam,
Just believe he is okey!
Soon you will see Him
Hujui chochote kuhusu taasisi ya uraisiYupo sawa tu, ratiba aliyopangiwa ndio inamfanya awe kimya. Kumbe nae kuna mambo anapangiwa ratiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unayo hoja mkuuKazi za rais za kila siku ni kujitokeza, wala hahitaji kumjibu mtu.
Akifanya ziara kajitokeza...