Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,970
- 10,462
Imeandikwa tutatafuta kwa JASHO, sio kwa uchunguImeandikwa mwanaume atatafuta kwa uchungu na mwana mke atazaa kwa uchungu.
Imeandikwa tutatafuta kwa JASHO, sio kwa uchunguImeandikwa mwanaume atatafuta kwa uchungu na mwana mke atazaa kwa uchungu.
Na hili joto ndo kabisa Dar tutarukwa akili wote😂😂😂Ndo maana sitaki kuishi dar.ni kuja kuchugua mzigo kula Bata kidogo na kutembea mbele watu karibia wote wamedata data
Tamko la Beijing! ''Haki sawa kwa wote liheshimiwe!!!'' Ok! waungwana!! Hayaa basi Me hatuna hiana tumekubali, km ni ivo wanawake nanyie muwe na haki ya kutuwowa basi!! muwajibike juu yetu!Imeandikwa mwanaume atatafuta kwa uchungu na mwana mke atazaa kwa uchungu.
Ajikite kuleta maendeleo mambo ya mapenzi awaachie wenyewe, kwani alikuwepo wanapotongozana?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salama, Amos Makalla amesema pamoja na kupokea kero za wanawake wanaokutana na unyanyasaji wa kijinsia wapo wanaume wanaohitaji msaada kutokana na changamoto za aina hiyo.
Akizungumza Alhamisi Novemba 25, 2021 wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, Makala amesema sasa hivi wanaume wamekuwa na malalamiko dhidi ya wanawake wenye fedha.
“Nilikuwa na ziara ya kusikiliza kero za wananchi, asilimia 30 ya kero 927 nilizopokea zinatokana na changamoto za ukatili na unyanyasaji wa kijinsia."
“Kwenye kero nilizozikuta wapo wanaume wanaonyanyaswa. Kuna wanawake wana fedha wanahitaji tu wanaume wa kuwaoa, hivyo anaweza kumpa kitu mwanaume na kumnyang’anya punde wakiachana,” amesema Makalla.
Mkuu huyo wa mkoa ameongeza, “Nimeyaona hayo wale wanaume marioo waliozoea kitonga wanakuja ofisini kulalamika kuwa walipewa mali na wanawake lakini wakanyang’anywa.
“Sasa swali linakuja hii sio ukatili? Naona kuna mjadala mpana katika hili suala la unyanyasaji wa kijinsia ndio mana mjadala mzuri wenye lengo la kuboresha sheria za ndoa,”.
Mwananchi
Wenye hekima (wanaume) msaidieni RC wa Dar naona kapungukiwa hekima japo ni mwanaume.
Hizo kero anazijua sana ila kazikwepa kisha kakimbilia kwa hao kina marioo, kwa kweli Dar haina kiongozi kabisaMakalla asianze kufanya mambo kama Makonda kazi itamshinda!!! Wananchi wana kero za maana zaidi za kuzishuhurikia zaidi ya hao marioo; kwa mfano kuna barabara zimefungwa na wenye fedha kule JANGWANI BEACH ambazo husababisha mafuriko wakati wa masika na hilo limefanya viwanja vingi visiendelezwe!!! Hizi ndio kero Makalla anatakiwa azitatue kuwasaidia wananchi!!
Kweli kabisa....siku hizi kuna ongezeko la watu kuchanganyikiwa...Kwa hiyo hao wanaume makala anataka kuwatetea kwa namna gani ....
Najaribu kuwaza sipati jibu...