Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Mkuu Zalendo,
Nafkiri ulimalizia post yako na "i stand to be corrected". unless haukumean ulichokisema.

Mimi nikakwambia utetezi wako mwingi wa Masha umebase kwenye "good intentions" zake na sio kanuni au sheria ya manunuzi ya umma.

Ukirudi nyuma kuna watu wameainisha process ya manunuzi ya wizara, kama una muda pitia utazikuta. Kitendo cha Masha kutaka kublock zoezi zima na kuwa lianze upya na kujuimuisha makampuni yaliyotemwa ni kinyume cha taratibu, PERIOD!

Sasa kuamua kumpamba tu, ni hiari yako,... lakini sheria ni sheria na kanuni ni kanuni.

Mpaka kesho EL bado anapambwa sembuse Masha!

COUNTRY FIRST....HATIZAMWI MTU.
 
Unapenda sana kulianzisha, then ukipelekwa pelekwa unaanza kulia kwamba watu wanakuonea wivu. Unaanza kupika majungu kama kawa, kwamba nimeweka msimamo wangu, msimamo wangu ni upi ewe bwana mkubwa sana kama mengine uliyosema, tena ya uongo yanasimama pale pale?

Huo umbeambea wako na hear says ndio unaita dataz, shame on you! Vitu alivyoleta Invisible vyenye ushahidi ndio tunaita dataz FYI.

On top of that, hebu weka analysis yako inayohusiana na hiyo barua ya Masha kwenda kwa Waziri mkuu. Acha kutafuta malumbano hapa (ninazidi kuona unafiki na uongo pale unaposema taifa mbele wakati wewe unaliweka nyuma na kuhusudisha malumbano).

Quote:
Originally Posted by Uwiano Maalum

1. Bla bla nyiiingi kama kawaida ya Mdanganyika, akijua kitu basi ndio ooh najua najua,

2. procurement procument, jurisdiction na ma PS, kama hujui nyamaza, inaonekana hujui etc etc Kisa kuna mtu alisema kama unajua sema basi.

3. Sio Kwamba alikuwa hajui bali ni katika kutuliza mzuka wa kujua. Yaani imekuwa kama kwenye kijiwe cha tangawizi.

4. What if Masha angenyamaza na hii process fake ikaendelea? Hii skewness ili kumbomoa Masha imezidi.

5. Punguzeni chuki na muangalie upande wa pili wa shilingi ili kuweka fair judgement.

- Mkuu Uwiano Maalum, wewe ni ndugu yangu, sasa hizi quote zote mbili juu ni zako mwenyewe, hakuna neno hata moja la kwangu, unajua mara ya mwisho unakumbuka topic ya Kifo cha Balali, ulisema hivi "kama ni thanxs mbona Mwanakijiji anapata zaidi" Sasa this time umesema kama ni dataz ni zile za Invisible, sawa sawa mimi siweki neno this time, ninakutakia weeek end njema mkuu sana.

Thanxs!
 
Wewe baharia, wewe ndugu yangu toka lini? mbona unajikomba na kutafuta undugu? unataka nikushushie quotes zako hapa uone matatizo yako? Bahati mbaya sana sitaki kabisa ndugu mnafiki na muongo kama wewe. Siwezi undugu na wewe, sitaweza na sitaki bwana mkubwa.

Topic ya kifo cha Balali, nimeisoma, hebu weka hapa kuquotation kuhusu mwanakijiji kupewa thanks. Weka hapa hata post moja ambayo nimeipost kule. Jamaa ni mwongo wewe, ndio unawakilisha wazee gani vile?

Huwezi kudigest information, umezoea kuhadithia hear says , hata kama ni za uongo. Wewe hujali authenticity ya information, ili mradi umeambiwa basi unazimwaga zima zima bila hata kutumia common sense.

Sikia, tena sikiliza kwa makini, wewe umezoea kunywa madesa, hujali hata ni kasa....unakunywa one to one. Acha ukilaza.

Huna cha kuandika nyamaza, unapenda league, kanyaga twende mazee umelianza limalize.
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana makampuni ya maana hata siku moja hayajisumbui na open tenda za hapa kwetu. Wakisoma mtiririko wa hali, imani yao inakuwa confirmed. Waziri anaingilia tenda process, barua za siri ziko mtandaoni n.k. n.k.

Mimi bado sijaona mahali ambapo K.M. au K.M.K amemvunjia heshima Waziri. Ukweli ni kwamba wamefanya (haswa KM) jitihada kubwa kum-entertain. KM alipoelezwa na Waziri wasiwasi wake kuhusu mchakato, hakumtupia nje wala kuhoji nani amemwambia. Badala yake alienda kwa wahusika na kuwauliza kulikoni. Hao wakampa maelezo ambayo aliona yamejibu hoja ya Waziri. Akamweleza hivyo Waziri. Lakini inaelekea alichotaka Waziri ni si kusikilizwa tu kwa hoja yake bali ni kutekeleza alivyotaka yeye. Lakini hii ni vigumu kwa technocrats maana siku ya siku wao hawawezi kujitetea kuwa walikuwa wanalinda maslahi ya taifa. Wao watapimwa kwa utaalamu wao na ufuataji wao wa kanuni zinazotawala utaratibu wa tenda. Pale ambapo Waziri anaweza kuruka kimanga na kusema yeye si mtaalamu na wala hahusiki bali alifanya kwa nia njema, utetezi huu kwa watendaji haupo.

Naamini kwa kuona hili ( upande mmoja presha kutoka kwa Waziri wake na upande mwingine msimamo wa watendaji wake), ndio maana KM akalipeleka kwa KMK kwa ushauri zaidi. Na yeye akamshauri kulingana na kanuni zinazoongoza utumishi wa umma. Waziri kwa kulipeleka kwa Waziri Mkuu ndio amelikuza. Yeye angesubiri mpaka mchakato ungekamilika. Lazima kabla ya kutangaza mshindi angekabidhiwa taarifa ya zoezi zima. Hapo ndipo kama bado angekuwa hajaridhika angeelekeza suala lipelekwe kwenye baraza la mawaziri kwa uamuzi. Huko kama ingeonekana kuwa kuna upindaji wa makusudi umefanyika na waliopewa dhamana, basi wahusika wangechukuliwa hatua. Kwa kufanya alivyofanya, ametia dosari zoezi zima.
 
Quote: Uwiano Maaalum

4. What if Masha angenyamaza na hii process fake ikaendelea? Hii skewness ili kumbomoa Masha imezidi.

5. Punguzeni chuki na muangalie upande wa pili wa shilingi ili kuweka fair judgement.

Wewe baharia, wewe ndugu yangu toka lini? mbona unajikomba na kutafuta undugu? unataka nikushushie quotes zako hapa uone matatizo yako? Bahati mbaya sana sitaki kabisa ndugu mnafiki na muongo kama wewe. Siwezi undugu na wewe, sitaweza na sitaki bwana mkubwa.

Topic ya kifo cha Balali, nimeisoma, hebu weka hapa kuquotation kuhusu mwanakijiji kupewa thanks. Weka hapa hata post moja ambayo nimeipost kule. Jamaa ni mwongo wewe, ndio unawakilisha wazee gani vile?

Huwezi kudigest information, umezoea kuhadithia hear says , hata kama ni za uongo. Wewe hujali authenticity ya information, ili mradi umeambiwa basi unazimwaga zima zima bila hata kutumia common sense.

Sikia, tena sikiliza kwa makini, wewe umezoea kunywa madesa, hujali hata ni kasa....unakunywa one to one. Acha ukilaza.

Huna cha kuandika nyamaza, unapenda league, kanyaga twende mazee umelianza limalize.

- So far sijaona hoja ya kulisaidia taifa mkuu zaidi tu ya maneno ya choooni, ya unafiki na uongo sina sababu kwa sasa kuyarudia, ni wewe sasa unayemtetea Masha sio mimi hilo tu ndio la muhimu na unasema kwamba wewe una sababu nzito za kumtetea Masha mimi sina maana huwa sina common sense, ahsante sana ni clear kuwa una common sense kubwa sana mkuu wangu, maana mpaka unaweza kumtetea Masha,

- Lakini punguza matusi ya nguoni maana yakizidi yatajibiwa, kama huna hoja tulia mkuu, lakini nilitaka kukuuliza tu vipi tena kumtetea Masha, na unasema wewe una common sense kuliko mimi, sawa nimekubali kwamba ndio sababu ilikuwa makosa mimi kumtetea Masha, lakini it okay kwako wewe mkuu mwenye big common sense!

- Umesema dataz zangu ni za uongo, lakini tena unakubali kwua huwa ninapewa lakini sizichambui, that is wasup mkuu, anyways sina mpango wa maneno ya choooni this week end kwa namaliza kwamba kama nimekuelewa kumbe hukutaka kumtetea Masha na mimi, ulitaka umtete peke yako, haya nimekuachia mkuu!
Thanxs!
 
Anyway FMES thanks for watching my back. Long time bro!

- Mkuu Zalendohalisi, tupo pamoja mkuu, ninashukuru sana kwa kurudi kwako maana kunaongeza sauti za reasoning na balance hapa JF na sio utani mkuu nimekuwa ninakutafuta sana toka wakati ule, sasa nimefarijika na kurudi wkako mkuu, saafi sana na tupo wote.

Respect!
 
- So far sijaona hoja ya kulisaidia taifa mkuu zaidi tu ya maneno ya choooni, ya unafiki na uongo sina sababu kwa sasa kuyarudia, ni wewe sasa unayemtetea Masha sio mimi hilo tu ndio la muhimu na unasema kwamba wewe una sababu nzito za kumtetea Masha mimi sina maana huwa sina common sense, ahsante sana ni clear kuwa una common sense kubwa sana mkuu wangu, maana mpaka unaweza kumtetea Masha,

- Lakini punguza matusi ya nguoni maana yakizidi yatajibiwa, kama huna hoja tulia mkuu, lakini nilitaka kukuuliza tu vipi tena kumtetea Masha, na unasema wewe una common sense kuliko mimi, sawa nimekubali kwamba ndio sababu ilikuwa makosa mimi kumtetea Masha, lakini it okay kwako wewe mkuu mwenye big common sense!

- Umesema dataz zangu ni za uongo, lakini tena unakubali kwua huwa ninapewa lakini sizichambui, that is wasup mkuu, anyways sina mpango wa maneno ya choooni this week end kwa namaliza kwamba kama nimekuelewa kumbe hukutaka kumtetea Masha na mimi, ulitaka umtete peke yako, haya nimekuachia mkuu!

Weka hapa analysis yako ya barua ya Masha kwa Waziri Mkuu tuone hizo common sense zako.

Unauliza uliza nini hapa muongo mkubwa na mnafiki. Unamtetea Masha without any basis, yaani unataka kulisha kasa na kuitikiwa ndio mzee.

Namtetea Masha baada ya kusoma barua yake aliyomwandikia Waziri Mkuu. That was my choice and views. Wewe umeisoma umepatamo nini, even a sentence! Unaleta umbea hapa halafu unataka nikubali kula desa lako kasa, tena kwa kulazimisha.

No proof or research, no right to speak. You should know this better, say no to umbea. Kama unamtetea Masha mtetee kivyako vyako, usiniletee sarcasm hapa.

All you are bringing here is typically irrelevant and pure nonsense. You better learn to be flexible on issues, and never to discuss things which you have no proof of.

You better find someone else for personal attacks. Umeanza mwenyewe na sasa umeanza kulialia, kwamba unatukanwa matusi ya nguoni! Bwa! ha! ha! ha!a, ndio FMES huyo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Zalendo,
Nafkiri ulimalizia post yako na "i stand to be corrected". unless haukumean ulichokisema.

Mimi nikakwambia utetezi wako mwingi wa Masha umebase kwenye "good intentions" zake na sio kanuni au sheria ya manunuzi ya umma.

Ukirudi nyuma kuna watu wameainisha process ya manunuzi ya wizara, kama una muda pitia utazikuta. Kitendo cha Masha kutaka kublock zoezi zima na kuwa lianze upya na kujuimuisha makampuni yaliyotemwa ni kinyume cha taratibu, PERIOD!

Sasa kuamua kumpamba tu, ni hiari yako,... lakini sheria ni sheria na kanuni ni kanuni.

Mpaka kesho EL bado anapambwa sembuse Masha!

COUNTRY FIRST....HATIZAMWI MTU.

Sober,

Usijali ndugu yangu I meant what I wrote " I always stand to be corrected" in the real sense, sasa kama wewe uliona uni-correct RUKSA; Kwa vile wewe uliliona hivyo, hilo linishia hapo kwa vile sina haja ya kukuelewa otherwise, so let us move on.

Nakubaliana nawe kwa hili moja tu - "sheria ni sheria na kanuni ni kanuni". Hapo tupo wote - ILA lipo tatizo moja ninaloliona na ambalo linajitokeza muda mwingi katika utendaji wa serikali yetu. Ni pale sheria inapotumiwa ku-replace common sense". Personally naamini fika kuwa sheria zetu nyiingi hasa za ununuzi wa uma yamewekwa makusudi kutowapa watendaji uwezo wa kuamua kwa misingi ya hali halisi na wala siyo kwa misingi ya kuiendeleza nchi.

Nilitoa mfano mfanao wa AFIS pale Polisi ambao walipewa watu ambao hawana experiance ya hiyo kazai hata huko India wanakotoka the only installation they had was in Comoro of all the places halafu kwa sababu za "kiusalama" we are stuck with a system that is not working for 5 yearws now!

Kama common sense ingetumika badala "sheria na kanuni" ambazo zina loopholes kibao ambazo wajanja wanazitumia ikujinufaisha na kuendelea mabilioni yanapotes kwa matumizi mabaya ya hizo "sheria na kanuni". All I am saying is that pamoja na sheria na kanuni kutumika that is NOT the ONLY rationale to do things in some situations . Kweli unataka kuniambia kuwa hapa kwetu kuna utawala wa "sheria na kanuni"; GIVE ME A BREAK!

A live and disgusting ni hili; Siyo siri kuwa tuna matatizo makubwa sasa hivi ya umeme; kuna mitambo ya "Richmond" ambayo inaweza kutupatia 100MW sasa hivi. Kwa sababu hiyo mitambo inahusika na "Richmond" "sheria na kanuni" zinatubana na kutuambia kuwa ni afadhali tukae gizani kuliko kuvunja sheria za manunuzi zinazosema kuwa, serikali hairuhusiwi kununua vifaa second-hand , wakati huo hatuna pesa za kununua mitambo mipya. Mimi hilo haliniingi kabisaa. Mimi nigeshauri Tanesco waingie mkata mpya na wenye mitambo, call them whatever name you like, na mkataba huo ukubalike na pande zote na uwe reasonable ili makali ya mgao yapungue. For me is simply a matter of common sense. Je tunafaidika na nini kwa kutoitumia hiyo mitambo au tunamkomoa nania au ndiyo yale ya masikini jeuri?

Najua wengine watasema kuwa ukianza na moja mengine yatafuatiza. We could deal with each situation on its own merits. Lakini sioni rationale ya kutumia "sheria na kanuni" katika mambo/jambo ambalo lina umuhimu wake.

Masha kwa kuona kuwa kampuni 13 ambazo ni among the best in the business world-wide zinaenguliwa na kunyimwa nafasi hata ya kuleta technical proposal zao ; mind you hii phase ilikwa ya makampuni kueleza uwezo wao katika shughuli za ID Cards, uwezo wa kifedha na kadahalika. Masha akatumia nafasi yake kama wazairi anayesimamia mradi kushauri kuwa kwa nini katika phase hii ya kutaka kupata proposal za technology na costing hayo makamuni 13 yaliyoenguliwa kwa sababu non-technical waruhusiwe kushiriki katika kuleta proposal zao! Mimi kwangu it makes sense na ukizingatia kati ya hizo kampuni kuwa world leaders katika mambo ya biometrics na smart card technologies.

This is my humble opinion and if we have reached a point where common sense is replaced by the so called "sheria na kanuni" wakati hizo sheria na kanuni hazithamaniwi kabisa, BASI iko kazi tutakula "sheria na kanuni".

BTW: Huyo aliye likisha barua aliyoandika Masha je alifuata "kanuni na sheria" za ofisi kwake au alitumia "common sense" na "good intention" au kuna double standards wakati mwingine ?

ZalendoHalisi

BTW
Soma kama una muda.

http://www.findbiometrics.com/press-release/602

http://www.electronicstalk.com/news/sge/sge108.html

http://palapye.wordpress.com/2008/07/14/botswana-police-choose-sagem-securites-new-generation-afis

http://www.secureidnews.com/2008/04/25/sagem-securite-to-provide-voter-registration-system-to-guinea

http://www.securitysystemsnewseurop...OUwA/Sagem wins fingerprint ID order in Kenya

http://www.thirdfactor.com/2009/02/06/morphotop-certified-by-fbi

http://secprodonline.com/articles/2...ard-at-global-border-security-conference.aspx

http://www.secureidnews.com/2008/02...ch-on-card-algorithms-shows-sagem-as-superior

[media]http://www.morpho.com/multi_biometrics/PDF/SAGEM_FINAL.pdf[/media]
[media]http://www.nimc.gov.ng/downloads/adverts/RFP_for_System_Integration_Services.pdf[/media]
 
Zalendohalisi,
What you are saying might be true and I do not have a reason to doubt you. But my question is: If Masha knew that the deal going down was rotten was there no other way or avenues for him as a Minister to expose the rot in the deal without breaking the law?
 
Ogah, je umenipata brother, that is my personal opinion and I stand to be corrected!

ZalendoHalisi

Mkuu ZalendoHalisi,

Ahsante sana kwa maelezoyako. Mimi nimekuelewa na tuko pamoja, ni lazima hapa pafuliwe tuwajue ambao wako behind hii tender committe.

Masha, kuitwa waziri bila ya kutekeleza wajibu wako kikamilifu ni kazi bure, endelea kuwaelimisha wasiojua hadi kieleweke.
 
..hivi hakuna uwezekano kwamba, Laurian Masha, pamoja na matatizo[kutaka kumfilisi Mengi, ulevi, marital problems, kukimbia jkt,...] yake, ana nia njema kwa taifa letu ktk suala hili?

..OK, tunasema SAGEM wana rekodi chafu ya kuhonga huko Nigeria. je tunayafahamu hayo makampuni mengine yaliyoomba kazi na rekodi zao?

..halafu hizi habari za kwenye magazeti zinazomkandia Masha na SAGEM, hivi hakuna uwezekano zinatoka kwa wapambe wa hayo makampuni mengine yaliyoomba kazi?

..MJADALA HUU UMEKUWA WA UPANDE MMOJA KUPITA KIASI. MAZINGIRA HAYO YANANITIA WASIWASI SANA.
 
Hi Sober,

Ni kipi kilicho kiukwa hapa honestly, tender has not been awarded nor even the documents of the actually tender are not even in place. Masha kama waziri nayo haki kutoa maoni yake kuhusu yanayotendeka ndani ya wizara yake. And that what he has done and that is the conclusion iliyofikiwa Dodoma and that is the end of the story. Hayo ya kujaza post ni yako lakini things do not happen in isolation, huwa akuna precedence na correlation of facts.

Mind you mwishoni nimesema that's waht I know and that's my perspective of which I have a right to. Sasa kama najaza post that's your view an uko swa kwa mtazamo wako and I respect that !

"COUNTRY FIRST MTU BAADAE"....... UTOPIA kama huamini muulize huyo John McCain yalimfikisha wapi.

ZalendoHalisi

Kwa maneno yake Masha anasema " sina mamlaka wala madaraka kisheria kuingilia zoezi hili " Wewe unakuja na hadithi zinazohitaji imani na kusema unayosema ku-justify alichofanya Masha.

Umeelezwa vyema kuwa good intention is necessary but not sufficient condition to be right,you need to know how to play by the rules and to respect the law.
He may have good intetion as you ask us to beleave but the law is not into his side.And other possibility is that, may be he has personal interest with SAGEM and still again the law is not into his side.
 
Last edited:
Mkuu ZalendoHalisi,

Ahsante sana kwa maelezoyako. Mimi nimekuelewa na tuko pamoja, ni lazima hapa pafuliwe tuwajue ambao wako behind hii tender committe.

Masha, kuitwa waziri bila ya kutekeleza wajibu wako kikamilifu ni kazi bure, endelea kuwaelimisha wasiojua hadi kieleweke.

Kakueleimisha wewe eenhe!?

Yeye mwenyewe Masha anakiri kuwa hana mamlaka wala madaraka kisheria kufanya alijofanya ,kisha unasubiri mtu aje kukueleimisha nini!Spinning !?Speculation!?Exaggeration!?What behind the curtain who care ?We need guy to respect the law ,we dont need to cry again so early before our tears in Richmond case hasn't even dry yet.Richomond was just like this !
 
Hivi jina halisi la huyu Masha ni lipi? Lawrence Masha? Laurian Masha? Lau Masha? Which is which?
 
Zalendohalisi,
What you are saying might be true and I do not have a reason to doubt you. But my question is: If Masha knew that the deal going down was rotten was there no other way or avenues for him as a Minister to expose the rot in the deal without breaking the law?

Ndugu Jasusi;

Masha suggested to the tender committee to let the PPRA which is the entity entrusted to settle such disputes look a the issue na akakubali ku-abide with their decision. Lakini jamaa wa kamati ya zabuni wakiongozwa na katibu mkuu na CEO wa ID Cards project wakaamua kupeleka ripoti yao moja kwa moja kwa Luhanjo bila kuipitisha kwa Masha (waziri) inavyotakiwa. Luhanjo ndiye akamtaarifu Masha kuwa je yuko tayari kuripoti maendeleo ya mradi ndipo naye ikabidi amwandikie barua Pinda kuelezea upande wake.

Swala la kujiuliza ni kuwa kwa nini hawa jamaa wa tender board ya wizara walikataa kuihusiha PPRA ambacho ndicho chombo kinachowasimamia. If they can give us an answer then we can blame Masha's actions. Shida yetu waswahali ni kuwa hatukubali kuwa open-minded. Ni sawa na kwenda kushitaki mahakamani kuwa jamaa kakuibia simu bila ya kufungua kesi polisi!

Pia ndugu Jasusi baada ya kusoma posti yako, nikaamua kufanya "U-Jasusi" wa kuiziangalia kwa undani document mbili zilizotumiwa kutangaza hiyo tender. Kwanza ni ile ya "Invitation for Pre-qualification" ambayo nimeimbatanisha hapa kwa wale wanaopenda kuwa open minded. Kwenye hiyo document ya Invitation for Pre-Qualification na nukuu haya yafuatayo:

Pre-qualification will be conducted through the procedures specified in Regulation 15 of the Public Procurement (Goods, Works, Non-Consultant Services and Disposal of Public Assets by Tender) Regulations, 2005 – Government Notice 97 of 15th April 2005, and is open to all firms and voluntarily formed joint ventures.

The key word here is voluntary formed joint ventures, sasa Masha anaposema kuwa swala la Sagem kutokuwa na joint venture document is irrelevant kafanya kosa gani ? Au mie ndo sielewi umombo? Si ina maana kuwa hilo la joint venture siyo lazima!

Hapo juu kuna hiyo Regulation 15 ya Public Procurement ... nayo pia nimei-attach kwa wanopend kuisoma, nayo nanukuu kipengele hiki:

15.-(1) A tender board may require pre-qualification of large or complex contracts or turnkey contracts or build, own and transfer contracts to ensure, in advance of tendering, that invitations to tender are confined to capable firms.

(2) For suppliers of goods or equipment, pre-qualification may be required where quality and/or performance is of primary importance and/ or suppliers' back up and maintenance services are critical.

Key issues kwenye stage ya pre-qualification ni quality, performance and suppliers abilities to maintain and backup the system. SIYO MAMBO YA DOCUMENT ZA JOINT VENTURE.

Na haya je?:
(14) Applications received for pre-qualification shall be analysed by the procuring entity, using the criteria for qualification explicitly stated in the invitation to pre-qualify and an evaluation report shall be prepared recommending a list of firms to be considered as pre-qualified.

Na haya je jamani, kweli kwa waziri kusema kuwa tender board yake imechemsha ni kwa vile anipendelea Sagem?

(15) The evaluation report shall be submitted to the tender board for approval and shall indicate the criteria used as well as the justification for the choice made, in respect of the pre-qualified and the non-prequalified firms.

(16) Pre-qualification shall not be used to limit the number of suppliers, contractors, service providers on a shortlist or pre-qualification list so that all firms found capable of performing the contract satisfactorily in accordance with the approved pre-qualification criteria shall be pre-qualified.

(17) All suppliers, contractors, service providers or buyers who pre-qualify to take part in a tender shall be invited to do so unless disqualified subsequently further to Regulation 10.

(1 A joint venture of firms may pre-qualify by combining the capabilities and past experience of each of them and firms which have been individually pre-qualified may form a joint venture in order to submit a tender and firms which have been pre-qualified as partners in a joint venture shall not be allowed to submit individual tenders.

Hi number 18 ndiyo kama Sagem wangeitumi kuishitaki serikali kwa kuenguliwa kinyemela tungelizwa.

Jasusi sina zaidi nadhani Masha anavipointi vya kujitetea kwa msimamo wake.

ZalendoHalisi
 
Attachments

(18) A joint venture of firms may pre-qualify by combining the capabilities and past experience of each of them and firms which have been individually pre-qualified may form a joint venture in order to submit a tender and firms which have been pre-qualified as partners in a joint venture shall not be allowed to submit individual tenders.

Hi number 18 ndiyo kama Sagem wangeitumi kuishitaki serikali kwa kuenguliwa kinyemela tungelizwa.
Jasusi sina zaidi nadhani Masha anavipointi vya kujitetea kwa msimamo wake.

ZalendoHalisi

ZalendoHalisi:
Kama unaamini kuwa there was ground for Sangem to appeal the decision of the tender board, kwa nini hawakufanya hivyo badala ya kwenda kwa waziri who is not part of the tendering process? You cannot use this as an excuse for Masha kuingilia legal proceedings that are set out in law and which he is not a part of! Do you know why this process is set up like this? Because it wants to avert political appointees ie. Ministers interfering with the daily decisions of running the ministry. Issuing IDs is something that a minster has nothing to do with. Na hata Masha katika barua yake amekiri.
Utamtetea lakini alifanya kosa kisheria na kikanuni. Good intentions don't count in this case. You will not convince anyone by trying to protest that he had good intentions. He was supposed to be on top of things and be aware what his role is. There are some serious questions that remain to be answered, and once the uncomfortable questions are posed, Masha will be at loss of word.
 
Kwa maneno yake Masha anasema " sina mamlaka wala madaraka kisheria kuingilia zoezi hili " Wewe unakuja na hadithi zinazohitaji imani na kusema unayosema ku-justify alichofanya Masha.

Umeelezwa vyema kuwa good intention is necessary but not sufficient condition to be right,you need to know how to play by the rules and to respect the law.
He may have good intetion as you ask us to beleave but the law is not into his side.And other possibility is that, may be he has personal interest with SAGEM and still again the law is not into his side.

Sawa kabisa usemalo - achana na hilo la good intentions- ila unasahau kuwa wewe mwenyewe una ashiria kuwa hata hizo rules na laws zina deficiency au siyo? Na kama ndivyo then what next!

Masha alichosema ni kuwa amelalamikiwa wazabuni na angeshauri PPRA walingalie hilo jambo kama yeye kafanya kosa - PPRA ambayo kwa "sheria na kanuni" unazoziamini ndo ultimate boses wa tender committee zoote nchini zaidi ya Luhanjo! Hebu niambie kama wanafuata "sheria na kanuni" mbona waligwaya kwenda kwa wataalamu wa sheria za procurement - PPRA au nao wana lao?

That is my opinion and this is yours. You don't have to agree with mine as I still believe in what I am talking about. So respect my position as I do respect yours and we move on.

Thanks

Zalendo Halisi
 
Kuhani,
Kwa muda mrefu Makatibu wakuu wa Kiongozi wanajiona kuwa wao ni next baada ya rais. Hili sasa limekuwa ni kama tatizo la kurithishana. Mara nyingi Katibu Kiongozi hufanya maamuzi au kutoa maelekezo yaliyo nje ya kazi zake. Nakumbuka mzozo kati ya Waziri wa Mambo ya Ndani (Mrema) na CS (Rupia) juu ya kupatiwa hatia ya ukazi daraja 'A' kwa Chavda. CS Rupia ndiye aliyekuwa key player katika suala la kumbeba Chavda kupitia watendaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani. Hali ilikwenda na kuwa mbaya kiasi cha Kumfanya Mrema aonekane kama Waziri boya huku mambo yakipita baina ya CS na PS wa mambo ya ndani. Nadiriki kusema kuwa Masha amejaribu walau kutumia wakati huu kubainisha mapungufu yaliyopo katika utendaji ndani serikali.
Katika hili CS ninahisi ndiyo key player kwani yeye ndiye mhimili mkubwa wa ajira za wale wote waliopo katika tender committe. Umafia ulikuwa unaendelea na huenda Masha alikwishaugundua na hakusita kuweka mambo katika macho ya watu. Sidhani sana kama katika hali hii Masha atapenda akubali kuendelea kuitwa waziri wa Mambo ya Ndani 'jina' asiyeweza kulinda na kutetea maslahi ya taifa na hasa akiwa ndiye Waziri Mwenye dhamana.

Pundamilia,

Kwa hiyo ndugu yangu unanambia hizi power grab kati ya Chief Secretary, the Minister, and Principal Secretary hazikuanza leo wala jana? Of course!

Utaratibu wa kazi ya Katibu Mkuu Kiongozi uko fuzzy. On the one hand kuna wachangiaji wengine wanasema siku zote makatibu wakuu walikuwa "wanafunikwa" na mawaziri waliozoea vibaya. On the other, you have this Masha situation ambapo Waziri ndio anakataa "kufunikwa," anaangalia kazi yake kama ni dhamana ya mwisho juu ya kazi zote za Wizara, anajaribu ku push back against this backdoor paper dealing between the secretaries at Ikulu and one right under his nose. Sasa sidhani kama tunaweza kusema kwa uhakika nani kamuingilia mwenzake, lakini suffice is to say that hii itifaki ina mushkeli na inachanganya wengi.

Katibu Mkuu Kiongozi, inadaiwa, ni mkuu, ni bosi, wa watumishi wa Umma. Definition za "mtumishi wa umma" zimetolewa nyingi humu. Moja imesema ni wote ambao sio "political appointees" au wabunge. Kwa nadharia hiyo, Mkuu wa Majeshi ya ulinzi, ambae sio mwanasiasa, sio Mbunge, na yeye bosi wake ni Chief Secretary! Au kuna exception kwamba mwanajeshi sio mtumishi wa umma? Na Mkuu wa TISS je? Au ma-spy nao wako exempted from this model? Jaji Mkuu nae anaripoti kwa Chief Secretary? Au the judiciary iko excepted? I mean, at some point you gonna have to say somebody come up with a newer definition of Mtumishi wa Umma, cause this just ain't working, it's got too many exceptions, don't ya think? Ungependa kusikia defition yangu ya "Mtumishi wa Umma"? Mtu yeyote anaepokea paycheck ya serikali ni mtumishi wa umma. Every last one of them! Which makes Chief Secretary the boss of everybody! Outta whack, ain't it? Ndo maana nasema Luhanjo si bosi wa mtu!

Nadhani Masha ameeleza vizuri sana role ya Chief Secretary: "Ninatambua kwamba Katibu Mkuu Kiongozi anayo mamlaka na madaraka makubwa ya kuingilia maamuzi ndani ya Wizara yoyote pale anapoona maagizo ya Baraza la Mawaziri hayatekelezwi."

Kwangu mimi hapo maana yake huyu Chief Secretary anaweza kuingilia chochote kile kinachofanywa na yeyote yule, katika wakati wowote ule akifuatilia maagizo ya Barazala la Mawaziri. Including ya Waziri. Lakini hii haimaanishi ni bosi wa Waziri au Katibu Mkuu. Ila, "...ingefaa Waziri ahusishwe kwa kuwa mwisho wa siku mimi ndiye nitakaewajibika kwa maamuzi yoyote ambayo yatafanyika Wizarani kwangu pasipokujali kwamba maamuzi hayo yalipata baraka za Katibu Mkuu Kiongozi au hapana."

Waziri anasema Katibu Mkuu Kiongozi hawezi akamvuta chemba Katibu wa Wizara. Wizara ni lazima iwe ukurasa mmoja katika kutekeleza maagizo ya kuingiliwa na Katibu Mkuu Kiongozi. Mkuu wa Utumishi wa Umma sio Mkuu wa watumishi wa umma. Tusichanganye.

Nadhani Waziri Masha hakukosea kukataa kufanywa second banana wa Katibu Mkuu Kiongozi, Luhanjo.
 
Last edited:
Back
Top Bottom