Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 891
Saa ya ukombozi ni sasa. Uzi ule ule! Wataondoka tu! Hawawezi kuendelea kupokea hongo za rejareja tukae tukiwatazama tu!
You will be surprised by the extent of stupidity of human beings!
Saa ya ukombozi ni sasa. Uzi ule ule! Wataondoka tu! Hawawezi kuendelea kupokea hongo za rejareja tukae tukiwatazama tu!
1. Bla bla nyiiingi kama kawaida ya Mdanganyika, akijua kitu basi ndio ooh najua najua,
2. procurement procument, jurisdiction na ma PS, kama hujui nyamaza, inaonekana hujui etc etc Kisa kuna mtu alisema kama unajua sema basi.
3. Sio Kwamba alikuwa hajui bali ni katika kutuliza mzuka wa kujua. Yaani imekuwa kama kwenye kijiwe cha tangawizi.
4. What if Masha angenyamaza na hii process fake ikaendelea? Hii skewness ili kumbomoa Masha imezidi.
5. Punguzeni chuki na muangalie upande wa pili wa shilingi ili kuweka fair judgement.
1. ........don't argue kama hujui kitu.........this is very low from you......
2. nazidi kuthibitisha kuwa hujui/huna uzoefu wa procurement.........you are deadly wrong...........
3. ........watu kama nyingi ndio mnaotuingiza mkenge wa kama akina Lowassa na RDC.....because you pretend to know what you are doing.........kumbe hujui kitu................
4. Haya mambo hayaongozwi na feelings.......ni facts tu.....period
- Unajua tukifikia mahali tukaachana na National IDs kwa sababu ya kuogopana ufisadi, then ni vyema kuwakabidhi rasmi taifa hili mafisadi tunatakiwa kuongelea kufikishwa Kisutu kwa mafisadi wa huu mradi kama wapo na ushahidi upo,
Wakuu tunataka respect kwa the rule of law, sio fear of mafisadi.
- JF sometimes huwa inachanganya sana, kumbe ni lazima kua makini sana unaposoma hoja za members hapa,
- mkuu huu msimamo umeuchukua lini tena wa kumtetea Masha? I am lost! Kumbe ukimtetea wewe ni sawa ila ikiwa mimi ndio inakuwa tatizo na ushujaa mwingi? au? Bwa! ha! ha! ah!
- By the way, naomba kusema neno moja dogo sana, ni kwamba ninawaomba wananchi hapa JF tufike mahali tuelewe sababu ya kuwepo kwetu hapa JF, mimi ninaamini kwamba ni taifa na sio anything else, na ninaamini kwamba wananchi wote tulioko hapa JF tuna uchungu ulio sawa kwa taifa letu na besides hapa ni mahali pa mapambano ya fikra pia, lakini lengo ni kulisaidia na ili tulikomboe taifa letu kutoka mikononi mwa viongozi wachache waliotusaliti wananchi wa taifa hili Tanzania.
- Ninasikitishwa sana na baadhi yetu wananchi kushindwa kuelewa kwamba kila kitu kwenye maisha kina wakati wake na msimu wake, katika mapambano ya fikra za kisiasa kama ilivyo hapa JF, sio ajabu kuwepo na patashika za hapa na pale, lakini tatizo linakuja pale wengine wetu wanaposhindwa ku-let it go, kuna msimu wa kucheka na msimu wa kulia, lakini haiwezekani ikawa mkisha pitia msimu wa kulia tu basi iwe kila siku kurudia rudia yale yale ya msimu wa kulia, tunapoteza focus wakuu yaani taifa.
- Mambo mengi yanafanyika na kutupita wakati tunapoteza muda, hivi unajua sasa hivi ni marufuku kwa wafanyakazi wa serikali kufungua JF? Hivi unajua kua ni marufuku kwa wafanyakazi wa serikali kukutwa na kijarida cha Fikra za cheche? Hivi unajua mafisadi sasa wanakaribia kulishika taifa tena maana hapa kati kati walianza kuishiwa nguvu? Lakini finally nguvu zimeanza kuwarudia tena, huku sisi tukipoteza muda hapa kusifiana na kuchekana wakuu tuamke!
- Hivi ni nani anakuwa na sifa kubwa hapa JF, kwamba ni mchambuzi makini, kwamba ni bingwa this or that? Nani huyo ambaye wananchi wetu wa mijini na vijijini wamemsikia na kumjua kua ni mkombozi wao mkubwa? JF tulikuwa na sifa kubwa sana huko nyuma kwa sababu we were working together kwa manufaa ya taifa, kwenye kila hotuba ya rais in the first two years in power tulikuwa hatukosi kuwemo, akituita "watu wa internent" tulikuwa hatukosi kwenye hotuba za rais, mara ya mwisho tulitajwa kwenye hotuba yake bungeni mwaka jana, that was it hajarudia tena kututaja, WHY? ni kwa sababu tumeanza kukosa muelekeo, tumeanza kuwa mimi, mimi, mimi, na me myself and I, tumeanza kukalia ya jana tu yaani mambo ya Jumapili mpaka leo bado tuu, vipi wakuu tunarudi nyuma sasa amukeni twende mbele.
- Ndugu zangu lets get serious tena, hakuna wa kusifiwa hapa wakati taifa linadidimia huku bongo, acheni wananchi wa nje ya forums wasifie iwapo wanaguswa na kinachoendelea hapa, lakini haya ya kuvunjiana heshima na maneno mengi yasiyosaidia taifa sidhani kama yanaweza kutusadia kwenye long run, sawa hatuwezi kuzuia malumbano, lakini yakiisha yaishe tusonge mbele sio kukalia yale yale tu ya jana inakatisha taamaa wananchi walio serious wakuu, zamani tulikuwa tunasifiwa na magazeti na hata viongozi wetu, lakini sasa tumegeuka kutafuta sifa tu wenyewe tena sometimes kwa nguvu nguvu na ujanja ujanja as if wananchi wa vijijini wanafadika anything na hizi sifa, please lets work together wakuu, too much division hapa sasa,
- I mean hatuwezi wote kua na msimamo sawa, lakini ni lazima tuheshimiane kwamba lengo letu ni moja nalo ni kulikomboa taifa, tunakua na nguvu sana tukiwa pamoja, lakini sio tukigawanyika kama tulivyo sasa, we are losing this war na mafisadi wakuu, tulumbane lakini yakiisha yaishe yakija yaje, lakini yakipita yapite na tusonge mbele ndugu zangu, taarifa nilizoazipata leo kutoka Dodoma zinasikitisha sana wakuu, hebu tupunguze yasiyokuwa na faida kwa taifa na hasa wananchi wanaotuangalia sana hapa JF kama darasa la kuwakomboa kimawazo, maana ni wengi sana kuliko wengi wetu tunavyofikiri.
Haya ndugu zangu sana Fundi Mchundo, Kuhani, Uwiano Maalum, Nyani, Yoursnameismine, na wengineo wote tukaze buti sasa taifa linadidimia hili, ya jana ya jana, ya kesho ya kesho, lakini one day at a time.
Ahsante Wakuu wote, na Mungu Aibariki JF.
Baharia - FMES!
Zalendohalisi..............jaribu kuangalia ile document iliyowekwa na Invisible.......halafu tunaomba, maoni yako please.........
........hapa kuna mbinu za kijasusi zimetumika............kuna kila ina ya dalili kuwa Masha + SAGEM wamefanya makusudi kabisa (kuleta huu mvurugano).........ili zoezi zima lifutwe na kurudiwa......kwa kuwa walishaona nafasi yao ni ndogo mno kurudi tena kwenye mchakato...........kwa hiyo
1. Barua ya Masha kwa PM ni deffensive mechanism ili kulinda nafasi yake
2. Kurudiwa kwa zoezi zima kutaipa nafasi tena SAGEM kushiriki.........trust me na next time hawatafanya makosa ya kijinga........
MAPENDEKEZO:
1.Kwa kuwa SAGEM wamekuwa singled out na Mh Waziri......endapo hili zoezi litarudiwa hawa wasipewe nafasi ya kushiriki....kwa sababu ya kukiuka taratibu za ku-lodge complain......ktk initial process
2. Airisha mradi kwa sasa...tuna mambo mengine muhimu ambayo yana immediate impact ktk uchumi yanahitaji kufanyiwa kazi.......kama kilimo, miundombinu,.....channel that money huko.....
Nipo ndungu "wajina".Ndugu yangu ZalendoHalisi,
Upo?
Ahsante kwa mchango wako!
Quote:
Originally Posted by Uwiano Maalum
1. Bla bla nyiiingi kama kawaida ya Mdanganyika, akijua kitu basi ndio ooh najua najua,
2. procurement procument, jurisdiction na ma PS, kama hujui nyamaza, inaonekana hujui etc etc Kisa kuna mtu alisema kama unajua sema basi.
3. Sio Kwamba alikuwa hajui bali ni katika kutuliza mzuka wa kujua. Yaani imekuwa kama kwenye kijiwe cha tangawizi.
4. What if Masha angenyamaza na hii process fake ikaendelea? Hii skewness ili kumbomoa Masha imezidi.
5. Punguzeni chuki na muangalie upande wa pili wa shilingi ili kuweka fair judgement.
Quote: Uwiano Maalum
na wewe nae, hata masaa 24 hayajapita toka useme hayo hapo chini. Msimamo wangu hauhusu hapa. Wewe una yako na mimi nina yangu.
Nafiki, ongo na acha hizo.
Mkuu Zalendo,
What a 5 Star spin... Kweli mafisadi wamejipanga kuhit back.
1.
2.
- Hakuna noma mkuu, katika kulitetea taifa sometimes ni lazima kuulizana tunasimamia wapi, ahsante kwa kuweka wazi msimamo wako sasa kama ulivyosema mwenyewe kwamba wewe una yako katika kumtetea Masha inaeleweka na kukubalika, bwa! ha! ha! ha! JF bwana!
- Ni hilo tu mengine yote hayahusiki na niliyoyasema yote yanasimama pale pale kwamba taifa mbele zaidi, na sisi nyuma
Mkuu Zalendo,
What a 5 Star spin... Kweli mafisadi wamejipanga kuhit back. Hapa issue ni ukiukwaji wa taratibu za manunuzi ya wizara, na nafasi ya waziri iko wapi kwenye hio process, period!
Mambo ya Membe, sijui Mahita, Sijui Makatibu wakuu wa Awamu ya Pili,, yote ni kujaza post tu. Kwenye sheria good intentions are not enough, to abide by the law to the letter is what matters.
.....good intentions alone ARE NOT ENOUGH!
COUNTRY FIRST... MTU BAADAE...
Mkuu FMES,Mkuu Sober,
- Kwa kawaida huwa ninakuheshimu sana na you know that na hasa michango yako ya kuvunja mbavu, lakini hapa uko off the line hizi name calling badala tu ya kuweka hoja yako sio heshima hata kidogo mkuu,
- Na ninajua kuwa wewe una uwezo wa kujenga hoja nzito kuliko hizi za below the belt, Zalendohalisi ni mkuu wa siku nyingi sana hapa, infact tumeshirkiana naye sana behind the scene, wakati ule ndugu zetu wana-JF waliposhikwa na serikali, haya maneno yako sio heshima kabisa kwake na kwa sisi wengine pia, please back off na this kind of personal attacks!
Thanxs!