Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

ZalendoHalisi:
Kama unaamini kuwa there was ground for Sangem to appeal the decision of the tender board, kwa nini hawakufanya hivyo badala ya kwenda kwa waziri who is not part of the tendering process? You cannot use this as an excuse for Masha kuingilia legal proceedings that are set out in law and which he is not a part of! Do you know why this process is set up like this? Because it wants to avert political appointees ie. Ministers interfering with the daily decisions of running the ministry. Issuing IDs is something that a minster has nothing to do with. Na hata Masha katika barua yake amekiri.
Utamtetea lakini alifanya kosa kisheria na kikanuni. Good intentions don't count in this case. You will not convince anyone by trying to protest that he had good intentions. He was supposed to be on top of things and be aware what his role is. There are some serious questions that remain to be answered, and once the uncomfortable questions are posed, Masha will be at loss of word.

Susuviri,

Nakubaliana nawe kabisa hasa kwa hilo la mwisho kuwa "there are some serious questions remain to be answered". Pia nakubali kuwa good intentions siyo sole reason ya "kumtetea" (ingawa inaonekana nina mtetea ingawa I just know him by name na ninamwona kwenye picha tu na kwenye Utamu Blog).

Mimi ninacho jaribu kukieleza ni kuwa pamoja na yeye kukubali kuwa hana mamlaka - does that make the that has been taken - pre-qualification tendering clean? NO. Ikiwa kwnye pre qualification stage ya such a huge project kwenye top 10 yako huna hata mwenye track record within your region, I would personally have very serious doubts of the process.

Na ni kwa hiyo mantiki ndiyo maana naona sense kwa yeye ku-ulizia hilo sina lingine lolote lile zaidi ya hilo, na ninakubaliana nawe kafika kuhusu kuiheshimu sheria ingawa kuna wakati mwingine inabidi zivujwe kwa manufaa ya wengi. Kwa mfano huyo aliyeinyofoa document na kumfikishia Slaa!

ZalendoHalisi
 
Zalendo Halisi mkuu, heshima zote! You have made very clear your concerns which I think are genuine and should be taken into consideration in this debate. Lakini kumbuka hakuna kitu katika siasa kinachofanyika bila kuwa na mkono wa mtu. This is especially true in Tanzania. Masha hawezi kuwa mtoto hivyo asijue kuwa kuna watu wanaosubiri akosee. I don't think that this tender would ever satisfy everyone, because we are talking about too much money. Whoever wins the tender ni lazima hata kama siyo corrupt atakuwa under a lot of pressure kugawa pesa. That is the reality of Bongoland.
 
... let me just quickly point out, the PS post is technocratic not political unlike the ministerial post. The daily running of the ministry belongs to the PS, the minister is often not personally involved.

This is what I am talking about. Total misconception of the classic "Katibu ni mtendaji" thing.

Most Tanzanians I have heard will paint that same picture when asked to describe what a Katibu is. You had the Chairwoman elect of Umoja wa Wanawake, Sophia Simba, telling Mwanakijiji on the record "napanga jinsi ya kumsaidia Katibu Mkuu wangu ku run chama chetu." Her Chair position is "almost ceremonial." You just can't make that up it's so bizarre! Absolutely preposterous.

The minister is not personally involved in running the ministry, so what is he personally involved in all day, twiddle his thumbs and sit on his funnies drinking Africafe all day? I take exception.
 
Last edited:
1. UTANGULIZI

Wazo la kuanzisha Vitambulisho vya Taifa kwa Raia wa Tanzania na Raia wageni waishio nchini Tanzania lilizaliwa mwaka 1968 katika Kikao cha “Interstate Intelligence Gathering” kilicho-jumuisha wajumbe kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Uganda na Zambia. Kwa wakati huo nchi za Kenya na Zambia tayari zilikuwa na Vitambulisho vyao vya Taifa. Iliazimiwa kwamba ili kuimarisha mahusiano ya kiusalama yanayozingatia Utawala wa Sheria katika nchi hizo nne ni lazima nchi za Uganda na Tanzania nazo zikatoa Vitambulisho vya Taifa kwa Raia wao.

Kumekuwa na jitihada mbalimbali za Serikali kuhakikisha Watanzania na wageni wote wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa, lakini jitihada hizo hazikuweza kuzaa matunda yaliyotajariwa kwa kipindi kirefu kutokana na sababu mbalimbali. Mwaka 1986 Serikali ilitunga Sheria ya Vitambulisho ambayo haikutumika wala kutungiwa kanuni zake.

Ni ukweli ulio wazi kwamba kwa wakati huu kuna umuhimu mkubwa wa kuwa na Vitambulisho vya Taifa kulingana na mazingira tuliyonayo.

Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo nchi tano zimeungana na kukubaliana kwamba watu wa nchi hizo wanaweza kutembeleana bila bughudha pia kumeongeza umuhimu wa kuwa na Vitambulisho. Ikumbukwe kuwa Tanzania na Uganda ndizo nchi pekee katika Jumuiya hiyo ambazo hazina Vitambulisho vya Taifa.

Upembuzi yakinifu wa Vitambulisho vya Taifa ulikwishafanyika na matokeo ni kwamba Mradi unatekelezeka. Aidha taarifa hiyo imeainisha makadirio ya gharama za Mradi na namna mradi utakavyotekelezwa ambapo teknolojia ya “Smartcard” ndiyo itakayotumika kama ilivyokubaliwa na Baraza la Mawaziri katika kikao kilichokaa mjini Dodoma mwezi Februari, 2007.

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari ametia saini Hati ya kuidhinisha kuanzishwa kwa chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa kinachojulikana kama Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa au “National Identification Authority (NIDA)”. Hati hii imechapishwa katika Gazeti la Serikali, GN No.122 ya tarehe 01/08/2008.

Aidha katika Kikao chake cha tarehe 3 Februari, 2007 Baraza la Mawaziri lilitoa mwongozo kuwa iundwe Kamati ya Usimamizi (Steering Committee) ya Makatibu Wakuu, Wakuu wa Idara na Vitengo vinavyohusika na mambo muhimu kuhusu Vitambulisho vya Taifa. Kamati hii pamoja na mambo mengine itakuwa na jukumu la kutoa mwongozo na mwelekeo wa program za Mradi.

Baraza pia liliamua kuwa taarifa ya upembuzi yakinifu ya Kampuni ya Gotham International Limited (GIL) iwe ndio mwongozo wa utekelezaji wa Mradi na Kampuni hiyo iliteuliwa kuwa Mshauri mwelekezi wa Mradi.

Katika hatua nyingine, Serikali ilitoa mwongozo kuwa taarifa mbalimbali za utekelezaji wa mradi ikiwemo ile ya mshindi wa zabuni ya mkandarasi wa kutengeneza mfumo wa Vitambulisho vya Taifa ziwasilishwe katika Baraza la Mawaziri ili kupata ridhaa yake.

2. DHANA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA

Swala la mfumo wa Kitambulisho cha Taifa bado ni dhana ngeni miongoni mwa watu wengi hususani umuhimu wake kwa mwananchi, Taasisi mbalimbali na Serikali kwa ujumla. Hata wakati mwingine baadhi ya watu hudhani ya kwamba ni kitambulisho cha Uraia, au ni Kitambulisho kama vilivyo vitambulisho vingine vya kazi, au ni kipande cha karatasi chenye picha, jina la mhusika pamoja na anuani yake.

Dhana nzima ya mfumo wa Kitambulisho cha Taifa ni pana zaidi ya hapo. Pia ni vyema ieleweke kwamba kadi za Vitambulisho vya Taifa zitatolewa kwa watu wazima kuanzia miaka 18 na sio watoto wadogo kama inavyoelezwa.

Vitambulisho vya Taifa kulingana na Nchi mbalimbali mfano Angola, Afrika Kusini, Bostwana na Kenya, ambazo zimeweza kutengeneza Vitambulisho vyao vya Taifa hutengenezwa kutokana na taarifa zilizohifadhiwa kwenye daftari maalum. Daftari hilo hutunza kumbukumbu za mtu kuanzia alipozaliwa hadi mwisho wa uhai wake, huboreshwa kwa kupokea au kuongezwa taarifa za mara kwa mara za mhusika kutokana na matukio mbalimbali yanayomhusu mhusika. Taarifa hizo huhifadhiwa katika daftari moja, na mhusika hukabidhiwa kadi ambayo hutumika kama alama ya utambulisho. Aidha Taasisi nyingine zinaweza kutumia taarifa zilizohifadhiwa kwenye daftari hiyo kwa makubaliano maalum.

Wakati mwingine watu hutaja kitambulisho cha Uraia wakiwa na maana ya Kitambulisho cha Taifa. Ukweli ni kwamba Taasisi hii itahusika na kutengeneza Kitambulisho cha Taifa ambacho kitatolewa kwa Raia wa Tanzaia na watu wengine ambao sio Raia wa Tanzania.

3. UMUHIMU WA MFUMO WA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Mfumo wa Kitambulisho cha Taifa unaanzishwa kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na:-

  • Kutambua mtu au mhusika.
  • Kusaidia kumtambua mhusika anapohitaji kupatiwa huduma katika Taasisi mbalimbali mfano benki,taasisi za mikopo, huduma za afya n.k.
  • Kuunganisha mifumo mingine kwa lengo la kuwasiliana na kubadilishana taarifa muhimu ambazo zitalenga kuongeza ufanisi na kupunguza gharama za uendeshaji kuliko ilivyo hivi sasa.
  • Kumtambua mtu pale anapofanya uhalifu wa aina Fulani; hii itasaidia sana katika kupambana na uhalifu.
  • Kutambua wakwepaji wa kurejesha mikopo kutoka kwenye mabenki hasa pale wakopaji wanapochukua mikopo kutoka katika mabenki mbalimbali.
  • Kuweka kumbukumbu za matukio ya uhalifu katika daftari.
  • Kutambua walipa kodi, hii itasaidia kupambana na wakwepaji wa kulipa kodi.
  • Kumtambua mtu anapofanya biashara mbalimbali kwa kutumia majina tofauti.
  • Kuhakikisha kuwa mtu anapata stahili zake za jamii, kwa mfano kupata malipo ya pensheni, haki za matibabu , haki za kujiunga na shule ikiwa ni pamoja na stahili zozote ambazo Raia wa Tanzania anastahili. Hii itasaidia kuondoa watumishi hewa kwenye “payroll “ ya Serikali.
  • Kuboresha utendaji kazi Serikalini kwa kuwa na kumbukumbu sahihi za watumishi na malipo ya stahili zao; hasa pale wanapostaafu.
  • Kupunguza gharama za mwananchi kutokana na huduma mbalimbali anazozipata kutolewa na Taasisi moja.
  • Kurahisisha zoezi la kuhesabu watu/sensa.
4. MAENEO YANAYOTAKIWA KUBORESHWA ILI KUFANIKISHA MFUMO WA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Gharama za kutengeneza Vitambulisho hujumuisha gharama mbalimbali ikiwa ni pamoja na miundombinu yake, rasilimali watu, mafunzo na kuboresha maeneo muhimu yatakayokuwa yakishirikishwa katika utekelezaji wake mfano ni yafuatayo:-

  • RITA (Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini) – kuboresha mfumo wa Usajili wa vizazi na vifo.
  • TRA (Mamlaka ya Kodi) – Uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa leseni za uendeshaji wa magari.
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Wizara hii ndiyo msimamizi wa Serikali za Mitaa na ndio wenye taarifa zote za watu Mijini na Vijijini.
  • Polisi, kuboresha mfumo wa taarifa za udhibiti wa uhalifu.
  • Mifumo ya mishahara na ki-utumishi kwa kurahisisha namna ya kuwatambua watumishi.
  • Kuanzisha Mtandao wa Mawasiliano “Networking and Connectivity”.
  • Kujenga vituo vya usajili vya Wilaya (Registration Centres) na kujenga (Data Centre) Makao Makuu.
  • Kutoa elimu kwa Umma (Public Awareness) ili kuwawezesha kujua umuhimu wa dhana nzima ya Vitambulisho vya Taifa.
  • Kuanza zoezi la usajili wa watu kwa lengo la kupata taarifa muhimu za watu.
  • Taasisi za mifumo ya jamii kama NSSF, PPF, GEPF n.k zitaweza kupata taarifa za watu baada ya kuboresha mifumo yao. Kwa hiyo tunapozungumzia gharama za kuendesha shughuli za Vitambulisho vya Taifa hutumaanishi kadi tu bali ni jumla ya gharama zote za uendeshaji katika kutekeleza zoezi zima la mfumo wa Vitambulisho vya Taifa.
5. HATUA ZA UTEKELEZAJI

Utekelezaji wa Mradi umepangwa kuwa katika awamu mbili ambapo awamu kwanza ni maandalizi ya Mradi na awamu ya pili ni awamu ya utekelezaji wa Mradi wenyewe. Ifuatayo ni taarifa ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya maandalizi ya mradi:-

  • Jengo la ofisi limenunuliwa na kufanyiwa ukarabati pamoja na kuwekewa samani za ofisi
  • Hati ya kuanzisha Mamlaka (Establishment Instrument) tayari imesaniwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuchapishwa katika Gazeti la Serikali GN. 122 ya tarehe 01/08/2008. Mamlaka hiyo inajulikana kama “National Identification Authority” (NIDA) au Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Zabuni kwa utaratibu wa Pre- Qualification ilitangazwa na Makampuni 104 yalijitokeza kununua vitabu vya zabuni.
  • Makampuni 54 yalirudisha zabuni zao
  • Kamati ya Uchambuzi ilitumia mwezi mmoja kufanya tathimini na kupendekeza makampuni manane (8) yaingie katika hatua inayofuata.
  • Bodi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ilikutana na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Uchambuzi.
 
...

  • Kutambua mtu au mhusika.
  • Kusaidia kumtambua mhusika anapohitaji kupatiwa huduma katika Taasisi mbalimbali mfano benki,taasisi za mikopo, huduma za afya n.k.
  • Kuunganisha mifumo mingine kwa lengo la kuwasiliana na kubadilishana taarifa muhimu ambazo zitalenga kuongeza ufanisi na kupunguza gharama za uendeshaji kuliko ilivyo hivi sasa.
  • Kumtambua mtu pale anapofanya uhalifu wa aina Fulani; hii itasaidia sana katika kupambana na uhalifu.
  • Kutambua wakwepaji wa kurejesha mikopo kutoka kwenye mabenki hasa pale wakopaji wanapochukua mikopo kutoka katika mabenki mbalimbali.
  • Kuweka kumbukumbu za matukio ya uhalifu katika daftari.
  • Kutambua walipa kodi, hii itasaidia kupambana na wakwepaji wa kulipa kodi.
  • Kumtambua mtu anapofanya biashara mbalimbali kwa kutumia majina tofauti.
  • Kuhakikisha kuwa mtu anapata stahili zake za jamii, kwa mfano kupata malipo ya pensheni, haki za matibabu , haki za kujiunga na shule ikiwa ni pamoja na stahili zozote ambazo Raia wa Tanzania anastahili. Hii itasaidia kuondoa watumishi hewa kwenye “payroll “ ya Serikali.
  • Kuboresha utendaji kazi Serikalini kwa kuwa na kumbukumbu sahihi za watumishi na malipo ya stahili zao; hasa pale wanapostaafu.
  • Kupunguza gharama za mwananchi kutokana na huduma mbalimbali anazozipata kutolewa na Taasisi moja.
  • Kurahisisha zoezi la kuhesabu watu/sensa.
...

Nadhani hata TCRA watapata urahisi katika kuhimiza makampuni ya simu kufanyia usajili SIM card za wateja wao.
 
Zalendohalisi,

Barua ya Masha inasema kwamba SAGEM walitemwa kwa kuwa hawakuambatanisha nakala ya Joint Venture Agreement. Kama SAGEM walikuwa wanafanya kazi wao wenyewe bila kushirikiana na kampuni yoyote hakukuwa na haja ya kuambatanisha hiyo Joint Venture Agreement, ni kwa kuwa zabuni ilikuwa kwa makampuni yote ya ndani na nje yakiwa yenyewe ama kwa kushirikiana.

Ninachokiona hapo ni kimoja, hao jamaa wa SAGEM kuna mahali walichemsha kwamba watafanya kazi hiyo kwa kushirikiana na kampuni nyingine ya wazawa. Bodi ya Zabuni hawawezi kuwa wajinga kiasi cha kudai document hiyo wakati hakuna mahali popote ilipotajwa kwenye documents za maombi ya zabuni.

Hapo kuna maswali mengi sana ambayo tunatakiwa kujiuliza, je SAGEM walikuwa na joint venture na kampuni gani? Je, hiyo kampuni iko registered pale BRELA? Je, wakurugenzi wa Kampuni hiyo ni akina nani? Je, wakurugenzi wa hiyo kampuni wana uhusiano wowote na Masha ama mwana siasa yeyote?

Jamani tukumbuke kwamba wanaotuliza siku zote ni watanzania wenzetu hawa hawa tulio nao na tena wanakuja kutuambia walifanya hivyo kwa nia njema. Net Group Solution ilipoingia pale TANESCO ilibebwa na Ikulu. Wale makaburu walidai wana joint venture na kampuni ya mfukoni ambayo mmoja wa wakurugenzi ni shemeji wa Mkapa. Richmond ya Tanzania tuliambiwa ina joint venture na Richmond ya US na waka-win zabuni ya kufua umeme, joint venture ilikuwa ni business card. Leo kuna kampuni inaomba zabuni na inasema ina joint venture na hawaambatanishi nakala ya joint venture bado mnataka tukubali kwamba ni sawa?

Nina uhakika kwamba kama kwenye documents za maombi ya zabuni SAGEM hawakutaja chochote kuhusu joint venture, Masha angesema wazi kwenye barua ya kuwatetea SAGEM na Bodi ya Zabuni isingekuwa na sababu yoyote ya kuendelea na msimamo wake kwamba ilitenda haki na haioni kosa la kumtema SAGEM.
 
Mkuu Keil,

Kuna kitu kinaitwa "Cherry Picking" kwenye the whole utetezi wa Masha.... Situmii tena neno spinning, as it may be offensive to some... Only aspects zilizokua favourable kwa utetezi wake ndio zitazungumziwa. Wakati the core, ambayo ni waziri kukiuka kanuni na kuvuruga zoezi la manunuzi ON BEHALF of a single company, linawekwa aside.
 
Zalendohalisi,

Barua ya Masha inasema kwamba SAGEM walitemwa kwa kuwa hawakuambatanisha nakala ya Joint Venture Agreement. Kama SAGEM walikuwa wanafanya kazi wao wenyewe bila kushirikiana na kampuni yoyote hakukuwa na haja ya kuambatanisha hiyo Joint Venture Agreement, ni kwa kuwa zabuni ilikuwa kwa makampuni yote ya ndani na nje yakiwa yenyewe ama kwa kushirikiana.

Ninachokiona hapo ni kimoja, hao jamaa wa SAGEM kuna mahali walichemsha kwamba watafanya kazi hiyo kwa kushirikiana na kampuni nyingine ya wazawa. Bodi ya Zabuni hawawezi kuwa wajinga kiasi cha kudai document hiyo wakati hakuna mahali popote ilipotajwa kwenye documents za maombi ya zabuni.

Hapo kuna maswali mengi sana ambayo tunatakiwa kujiuliza, je SAGEM walikuwa na joint venture na kampuni gani? Je, hiyo kampuni iko registered pale BRELA? Je, wakurugenzi wa Kampuni hiyo ni akina nani? Je, wakurugenzi wa hiyo kampuni wana uhusiano wowote na Masha ama mwana siasa yeyote?

Jamani tukumbuke kwamba wanaotuliza siku zote ni watanzania wenzetu hawa hawa tulio nao na tena wanakuja kutuambia walifanya hivyo kwa nia njema. Net Group Solution ilipoingia pale TANESCO ilibebwa na Ikulu. Wale makaburu walidai wana joint venture na kampuni ya mfukoni ambayo mmoja wa wakurugenzi ni shemeji wa Mkapa. Richmond ya Tanzania tuliambiwa ina joint venture na Richmond ya US na waka-win zabuni ya kufua umeme, joint venture ilikuwa ni business card. Leo kuna kampuni inaomba zabuni na inasema ina joint venture na hawaambatanishi nakala ya joint venture bado mnataka tukubali kwamba ni sawa?

Nina uhakika kwamba kama kwenye documents za maombi ya zabuni SAGEM hawakutaja chochote kuhusu joint venture, Masha angesema wazi kwenye barua ya kuwatetea SAGEM na Bodi ya Zabuni isingekuwa na sababu yoyote ya kuendelea na msimamo wake kwamba ilitenda haki na haioni kosa la kumtema SAGEM.

Suala la Joint Agreement limesemwa lilikuwa ni mine deficiency na Both Parties, upande wa Waziri , pamoja na hiyo Board ya Tender, na kama hiyo haitoshelezi rejea PPRA act section 18 ina sema hiyo ni Voluntary.
Hilo la pili la makampuni kubebwa linawza kutatuliwa kwa ku-deal na Pulic limited companies, ambazo Data zake ziko-wazi, na mtu unaweza kuona directors wake pamoja na share holders wake ki-uwazi zaidi kuliko hivi sasa mambo yanavyo kwenda, au kuachana na kampuni zinazo kuwa registered in a questionable residence.Jersey, Mauritius etc
Halfu kuna suala la Audited Accounts za Five years, kampuni yenye joint agreement haiwezi kuwa nayo hiyo maana haikuwahi ku-exist kabla ya hapo, ila inaanzishwa kwa minajili ya hii tenda, hivyo wana rely kwa audited accounts za Main Company or dealer eg in this context ni SAGEM, sasa hayo mengine ni siri sijui ya nani? kwa nini wasi yaseme? na ku-publish hizo Accounts zao.
 
1. UTANGULIZI

Wazo la kuanzisha Vitambulisho vya Taifa kwa Raia wa Tanzania na Raia wageni waishio nchini Tanzania lilizaliwa mwaka 1968 katika Kikao cha “Interstate Intelligence Gathering” kilicho-jumuisha wajumbe kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Uganda na Zambia. Kwa wakati huo nchi za Kenya na Zambia tayari zilikuwa na Vitambulisho vyao vya Taifa. Iliazimiwa kwamba ili kuimarisha mahusiano ya kiusalama yanayozingatia Utawala wa Sheria katika nchi hizo nne ni lazima nchi za Uganda na Tanzania nazo zikatoa Vitambulisho vya Taifa kwa Raia wao.

Kumekuwa na jitihada mbalimbali za Serikali kuhakikisha Watanzania na wageni wote wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa, lakini jitihada hizo hazikuweza kuzaa matunda yaliyotajariwa kwa kipindi kirefu kutokana na sababu mbalimbali. Mwaka 1986 Serikali ilitunga Sheria ya Vitambulisho ambayo haikutumika wala kutungiwa kanuni zake.

Ni ukweli ulio wazi kwamba kwa wakati huu kuna umuhimu mkubwa wa kuwa na Vitambulisho vya Taifa kulingana na mazingira tuliyonayo.

Ikiwa serikali ina nia ya kutambua watu wake na wageni pia kitu cha kwanza ni kuwa na reliable Data Base, na ikiwezekana family tree, sasa kwa hilo sijui tumefikia wapi?
na hii data base inaweza ku-update kutokana mabadiliko yanayo tokea eg kusoma, kufungwa, anuani, ajira etc etc, mimi naona tuanze na hili baada ya miaka mitatu or so tukisha jiridhisha na reliability yake ndio twende hatua ya kutoa hicho kipande kitacho kuwa , jina lako na picha zako, na taarifa zako zinazo takikana kuwepo kwenye hicho kipande, wakati taarifa zingine in detail zipo kwenye Data base. Sasa excess to the main data base inaweza kuwa restricted to different users depending na requirments zako eg Polisi, Daktari, Uhamiaji, Muajiri, Bunge , daftari la wapiga kura etc etc Once our data base ikiwa reliable kitambulisho na key to it eg finger prints au sikuhizi macho/jicho then kitambilisho cha CCM, Chadema , CUF , cha kazi si naweza kumtambulisha Mtu? maana inforamtion itakayo wekwa kutoka kwenye reliable central data base iakuwa na basi information za mtu, ukitaka zaidi utaingia kwenye hiyo data base kutokana na mahitaji yako iwe Polisi, mtu wa uchaguzi , shule , pensheni etc etc. lakini kwa sababu watu wanataka kula ndi hivyo wanaweka a cart in front of the horse badala ya a horse in front of a cart
 
Last edited by a moderator:
Zalendohalisi,

............. Bodi ya Zabuni hawawezi kuwa wajinga kiasi cha kudai document hiyo wakati hakuna mahali popote ilipotajwa kwenye documents za maombi ya zabuni.............

Zalendohalisi,

..........Your concerns are debatable...........ume-raise a question of the track record....which is a very critical aspect ktk kumfikiria mtu katika bidding process........however umesema.............."track record in the region".........je katika one of vigezo vyao has it been stated "track record in the region?"

.........kuna some of the projects kweli zinahitaji hiyo unayosema "track record in the region"......kwa project hii i doubt

bado naendelea kusoma maelezo yako mengine....and i will be back
 
Suala la Joint Agreement limesemwa lilikuwa ni mine deficiency na Both Parties, upande wa Waziri , pamoja na hiyo Board ya Tender, na kama hiyo haitoshelezi rejea PPRA act section 18 ina sema hiyo ni Voluntary.
Hilo la pili la makampuni kubebwa linawza kutatuliwa kwa ku-deal na Pulic limited companies, ambazo Data zake ziko-wazi, na mtu unaweza kuona directors wake pamoja na share holders wake ki-uwazi zaidi kuliko hivi sasa mambo yanavyo kwenda, au kuachana na kampuni zinazo kuwa registered in a questionable residence.Jersey, Mauritius etc
Halfu kuna suala la Audited Accounts za Five years, kampuni yenye joint agreement haiwezi kuwa nayo hiyo maana haikuwahi ku-exist kabla ya hapo, ila inaanzishwa kwa minajili ya hii tenda, hivyo wana rely kwa audited accounts za Main Company or dealer eg in this context ni SAGEM, sasa hayo mengine ni siri sijui ya nani? kwa nini wasi yaseme? na ku-publish hizo Accounts zao.

Yes August.....

1. Endapo ktk submission yake ali-indicate kuwa atakuwa na JVA....basi alitakiwa kuonyesha hiyo intention.........

2. huwa kunakuwa na vigezo vinavyowekwa kwa ajili ya kutumia ku-evaluate......kama kigezo cha JVA kiliwekwa....then bidder huna jinsi bali ni ku-submit JVA

otherwise............Wanakamati watakuwa WAJINGA SANA....endapo watadai kitu ambacho hakikuwekwa ktk evaluation criteria........
 
Zalendo Halisi mkuu, heshima zote! You have made very clear your concerns which I think are genuine and should be taken into consideration in this debate. Lakini kumbuka hakuna kitu katika siasa kinachofanyika bila kuwa na mkono wa mtu. This is especially true in Tanzania. Masha hawezi kuwa mtoto hivyo asijue kuwa kuna watu wanaosubiri akosee. I don't think that this tender would ever satisfy everyone, because we are talking about too much money. Whoever wins the tender ni lazima hata kama siyo corrupt atakuwa under a lot of pressure kugawa pesa. That is the reality of Bongoland.

Mkuu Susuviri,

Nimekupata na nakubaliana nawe mia kwa tisini (110%) na ndiyo maana ninaposema na kutumia neno "good intentions" nina maana ya hilo ulifafanua kuwa, kwanza Masha angejua wazi na nadhani anafahamu hilo kuwa hilo ni "zengwe" limmepikwa angekuwa makini na smart to handle the situation. Pia wale wanaomwona intentions zake ni za kujinufaisha nao wauone upande mwingine wa shillingi. Kwani nani asipenda kukatiwa kidogo - hata mimi nitashindwa kuvumila, hata Mzee Slaa atavuta tu!

Tutakaopuwa na upeo wa kuona pande zote contructively then "utawala wa sheria" will hold ground. Tusubiri mengine maanake bongo haya ni ya kupita tu - unfortunately.

Thanks

ZalendoHalisi
 
Zalendohalisi,

Barua ya Masha inasema kwamba SAGEM walitemwa kwa kuwa hawakuambatanisha nakala ya Joint Venture Agreement. Kama SAGEM walikuwa wanafanya kazi wao wenyewe bila kushirikiana na kampuni yoyote hakukuwa na haja ya kuambatanisha hiyo Joint Venture Agreement, ni kwa kuwa zabuni ilikuwa kwa makampuni yote ya ndani na nje yakiwa yenyewe ama kwa kushirikiana.

Ninachokiona hapo ni kimoja, hao jamaa wa SAGEM kuna mahali walichemsha kwamba watafanya kazi hiyo kwa kushirikiana na kampuni nyingine ya wazawa. Bodi ya Zabuni hawawezi kuwa wajinga kiasi cha kudai document hiyo wakati hakuna mahali popote ilipotajwa kwenye documents za maombi ya zabuni.

Hapo kuna maswali mengi sana ambayo tunatakiwa kujiuliza, je SAGEM walikuwa na joint venture na kampuni gani? Je, hiyo kampuni iko registered pale BRELA? Je, wakurugenzi wa Kampuni hiyo ni akina nani? Je, wakurugenzi wa hiyo kampuni wana uhusiano wowote na Masha ama mwana siasa yeyote?

Jamani tukumbuke kwamba wanaotuliza siku zote ni watanzania wenzetu hawa hawa tulio nao na tena wanakuja kutuambia walifanya hivyo kwa nia njema. Net Group Solution ilipoingia pale TANESCO ilibebwa na Ikulu. Wale makaburu walidai wana joint venture na kampuni ya mfukoni ambayo mmoja wa wakurugenzi ni shemeji wa Mkapa. Richmond ya Tanzania tuliambiwa ina joint venture na Richmond ya US na waka-win zabuni ya kufua umeme, joint venture ilikuwa ni business card. Leo kuna kampuni inaomba zabuni na inasema ina joint venture na hawaambatanishi nakala ya joint venture bado mnataka tukubali kwamba ni sawa?

Nina uhakika kwamba kama kwenye documents za maombi ya zabuni SAGEM hawakutaja chochote kuhusu joint venture, Masha angesema wazi kwenye barua ya kuwatetea SAGEM na Bodi ya Zabuni isingekuwa na sababu yoyote ya kuendelea na msimamo wake kwamba ilitenda haki na haioni kosa la kumtema SAGEM.

Mkuu Keil,

I wish we had more people of your reasoning caliber; Nasikia kuwa documents za kampuni moja ya kitanzania ilikuwemo kwenye kabrasha la Sagem (nina ambiwa tayari wajanja wameshalichomoa huko kwenye tender committee na huenda likamfikia dr. Slaa na hata JF muda wowote). Nasikia Sagem walimtaja hiyo kampuni kam sub-contractor na wala siyo partner. Sasa issue ni hiyo, kamati inasema huyu ni partner na lazima uwe na agreement ya Joint Venture; Sagem wanasema huyu ni sub-contractor na kwa sub-contractor siyo lazima kuwa hiyo JV agreement. Nasikia Sagem wanayo policy ya kutotumia ma-partners baada ya scandal ya Nigeria walipolizwaa na local partner (ingawa eventually waliifanya project minus the local partner), kwa hivyo since then wakaamua kuwa watatumia ma sub-contractors and not partners.

Sasa wajanja wa mjini wanasema kuwa tender board walivyoona hilo ni la msingi ndiyo maana wakagwaya kwenda PPRA kwa vile kutokuwa na JV agreement siyo kigezo cha kumwengua mzabuni at this pre-qualification stage, kwa hivyo waka-utilize issue ya waziri kuingilia mchakato na kumwandikia CS. Kwa hivyo unaona wazi kuwa kila mwamba ngoma anavutia kwake. Tender comitte inajua imechemsha inajihami kwa kuingiliwa na waziri, waziri anajua hana mamlaka ya mojakwamoja therefore anataka PPRA wasuluhishe who are legally mandated to solve such disputes.

But all in all thanks for you open-minded "un-spinned" observation.

ZalendoHalisi
 
Zalendohalisi,

..........Your concerns are debatable...........ume-raise a question of the track record....which is a very critical aspect ktk kumfikiria mtu katika bidding process........however umesema.............."track record in the region".........je katika one of vigezo vyao has it been stated "track record in the region?"

.........kuna some of the projects kweli zinahitaji hiyo unayosema "track record in the region"......kwa project hii i doubt

bado naendelea kusoma maelezo yako mengine....and i will be back

Ogha,

Naambiwa hilo la region lipo based on the fact that data collection and validation will be the CRUCIAL aspect of the project, wala siyo the actually card production. Kwa hivyo it makes sense kwa contractor kuwa na uzoefu of doing that in the region - Sub-Sahara/Africa etc.

ZalendoHalisi
 
Pamoja na kumhold Masha kuwa accountable, hebu tujiulize Hivi Masha kutoa mapendekezo yake na mtizamo wake ni sawa sawa na kuingilia Mchakato wa Tenda?, je Masha alifanya kitu chochote kile cha dhahiri na siri chenye ushahidi wa kuonyesha kuwa anataka kusabotage mchakato mzima wa kumteua mshindi wa Tenda?, kama ni ndiyo ni kipi hicho kipi hicho kibaya alichokifanya?.

Pili Masha anakiri na kutambua kuwa hana Nguvu za kuzuia mchakato wa Utoaji tenda, lakini hakuna mahali katika barua aliposema hana nguvu za kutoa mawazo na mtizamo wake katika suala la tenda inayotokea wizarani kwake yeye kama waziri.

Tatu barua ya Masha kwa Waziri mkuu inaeleza kuwa "Sagem walilamika kwa Waziri ambaye ni Masha", kwa hiyo ni dhahiri wa kwanza kumfuata Mwenzie ni Sagem, na (kabla ya kujua motive ya Masha) ni dhahiri kosa hapa ni la Sagem kwa kulalamika kwa Waziri badala ya kufuata kanuni na utaratibu. baada ya kupewa malalamiko, Waziri akatoa maoni na mtizamo wake kwa Watendaji wakuu wa wizara .

4:Masha anaweza kuwa katoa mawazo mazuri au mabaya kwa mujibu alivyoona yeye , mpaka hapo mimi ninadhani siyo kosa mpaka ithibitike kwamba motive yake kweli ni kuibeba kampuni fulani, na pia kama maoni yake yaliambatana na kitendo au hatua za kuharibu mchakato wa zoezi.

Mpaka nijue Motive ya Masha ndo nitamhold accountable katika hii ishu, yawezekana mawazo na ushauri aliompa katibu siyo mzuri, na hilo linaweza kuwa defeated na mawazo mazuri zaidi, kwani wizarani Hawa debate?, na mwenye hoja nzito anashinda? sasa kwa nini tusiichukulie hii ishu kama debate na mitazamo ya kawaida wizarani, na pengine tukachukulia kwamba labda hoja ya waziri haikuwa na nguvu badala ya kuanza kumuona kwamba alitaka kula?
 
Last edited:
Ikiwa serikali ina nia ya kutambua watu wake na wageni pia kitu cha kwanza ni kuwa na reliable Data Base, na ikiwezekana family tree, sasa kwa hilo sijui tumefikia wapi?......
... Once our data base ikiwa reliable kitambulisho na key to it eg finger prints au sikuhizi macho/jicho then kitambilisho cha CCM, Chadema , CUF , cha kazi si naweza kumtambulisha Mtu? maana inforamtion itakayo wekwa kutoka kwenye reliable central data base iakuwa na basi information za mtu, ukitaka zaidi utaingia kwenye hiyo data base kutokana na mahitaji yako iwe Polisi, mtu wa uchaguzi , shule , pensheni etc etc. lakini kwa sababu watu wanataka kula ndi hivyo wanaweka a cart in front of the horse badala ya a horse in front of a cart

Mkuu August,

Heshima kwa upeo wako ambao hao Gotham International I wish wangekuwa nao. Unachozungumzia is the basis of all reliable "Civil Registries" ulimwenguni. Ndiyo maana nchi kama marekani hawana vitambulisho rasmi - ingawa kuna watu zaidi ya 300M mara kumi ya Tanzania - kwa vile kila anapozaliwa mtoto au mtu kufa, local courthouse kwenye kila kitongoji ina capture that information. Based on those local databases wanauwezo wa ku-kuidentify kirahisi. Ndiyo maana kwao drivers licence inatosha kukutambulisha. Matatizo pia wanayo as you will never have a perfect system lakini you can have a manageable and an acceptable one.

Sasa huku kwetu you put it very well wanalilia "SmartCard Technology" kwa vile tu wameziona Malaysia! Wangeanza na kuwa na hiyo "Civil Registry" toka kwenye kila kijiji, kata ,tarafa, wilaya, mkoa the compile a national one. Ukiwauliza watakuambia tuna RITA, rita yenyewe ziko wapi?

Nakubaliana nawe kabisa kuwa hili zoezi la kuto vitambulisho (the physical cards) lisitishwe hadi hapo kutakapo kuwepo na reliable "civil registry" database inayomhusisha kila mtanzania, mzawa na mgeni.

Thanks for you insight

Naomba pia nikumbushie Voter's registry ambayo ingeweza kuwa a very good source of information about identity. Alafu kuna driver's license... kama Marekani.
Anyway, hata mi sielewi kwa nini tumetenga pesa nyingi hivyo kwa kitu ambacho kiko straightforward.
 
Mkuu Susuviri,

Nimekupata na nakubaliana nawe mia kwa tisini (110%) na ndiyo maana ninaposema na kutumia neno "good intentions" nina maana ya hilo ulifafanua kuwa, kwanza Masha angejua wazi na nadhani anafahamu hilo kuwa hilo ni "zengwe" limmepikwa angekuwa makini na smart to handle the situation. Pia wale wanaomwona intentions zake ni za kujinufaisha nao wauone upande mwingine wa shillingi. Kwani nani asipenda kukatiwa kidogo - hata mimi nitashindwa kuvumila, hata Mzee Slaa atavuta tu!

Tutakaopuwa na upeo wa kuona pande zote contructively then "utawala wa sheria" will hold ground. Tusubiri mengine maanake bongo haya ni ya kupita tu - unfortunately.

Thanks

ZalendoHalisi

Mmmh Mkuu ZalendoHalisi.
Hapa nafikiri utakuwa unamkosea Dr. Slaa, naamini itakuwa jambo la BUSARA kama utaweza kumuomba radhi kupitia hapa hapa au kwa njia nyingine. Kama angekuwa ni mtu wa kuvuta hicho kidogo naamini mdomo wake ungekuwa kimya hadi sasa na tusingeanza kuona haya mambo ya BUGS kwenye room yake. Nafikiri kutoshindwa kwako kupokea kidogo isiwe sababu ya kum-judge Dr. Slaa mpiganaji wetu kupokea hicho ulichokimaanisha. Tafadhali Muombe radhi.
 
Naomba pia nikumbushie Voter's registry ambayo ingeweza kuwa a very good source of information about identity. Alafu kuna driver's license... kama Marekani.
Anyway, hata mi sielewi kwa nini tumetenga pesa nyingi hivyo kwa kitu ambacho kiko straightforward.

Ndugu yangu Susuviri

Wajinga ndo waliwao, au unakumbuka msemo Bongolala.

Malawi walilizwa and they ended up paying US 10 for one ID Card! Wewe Subiri utaambiwaa mwakani kwenye budget kuwa pesa zilizotengwa hazitoshi.

Nigeria ndo sasa wanajiweka vizuri "kuuboresha" mradi ambao ulikuwa umesha kamilika.

ZalendoHalisi
 
Mmmh Mkuu ZalendoHalisi.
Hapa nafikiri utakuwa unamkosea Dr. Slaa, naamini itakuwa jambo la BUSARA kama utaweza kumuomba radhi kupitia hapa hapa au kwa njia nyingine. Kama angekuwa ni mtu wa kuvuta hicho kidogo naamini mdomo wake ungekuwa kimya hadi sasa na tusingeanza kuona haya mambo ya BUGS kwenye room yake. Nafikiri kutoshindwa kwako kupokea kidogo isiwe sababu ya kum-judge Dr. Slaa mpiganaji wetu kupokea hicho ulichokimaanisha. Tafadhali Muombe radhi.

Indume,

Kama sikueleweka inabidi kumwomba Dr. Slaa radhi hadharani - kwangu hilo ni kawaida wal I never think twice kam anayehusika amekwazika - and I doing that now! Ila ninazungumzia kwenye contex ya kibinadamu na pia nikiwa na maana ya kuwa everyone has a price and not necessarily monetary.

ZalendoHalisi
 
Back
Top Bottom