Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

...aithe shy eeh, umetoka kula mtori kwa minja muda thi mrefu nini?!
__________________
ujaona anavyohangaika na kutoa vinyma kwenye fisi..utapenda

oya vipi tena mkuu, mbona tuna gezana maandishi?!
 
- Mkuu Zalendohalisi, mbona ulipotea sana bros kulikoni?

- Tunasema hivi jina la ndugu Lau limechafuka sana ni distraction kwa mkuu wa kaya na taifa kwa ujumla, cha muhimu ni vyema akakaa pembeni tu na wakati muafaka ni sasa.
- "Nilikuwa nimetoka kidogo kunywa chai", lakini nipo ndungu yangu. Namshukuru Mungu kaniweka hai hadi leo. Nimekuwa observer kwa muda mrefu kutokana na majukumu ya kimaisha ila bado nipo.

- Hili la Masha watu watakuja elewa in the long run though Tanzania Mambo ni mpito; ilikuwa EPA watu wakasema hovyo, akaja Mramba na Yona magazeti yakauzwa, yakaja ya Mgonja basi tena, yakaja ya Twin Towers basi nahene lolo. Sasa ya Masha yamepikwa watu tunayavamia.

Masha ana matatizo yake kama kila moja wetu alivyo nayo, ila kwa hili yupo sawa mia kwa mia and he will be vindicated on this. Ukweli upo na "dataz" za ku-substantiate kauli yangu zipo. Shida ni moja tumezoea kufanya analysis zetu with half baked information na kufikia conclusion based on those, pia huwa tunapenda kuelewa habari with a preconceived notion kwa mfano unaomsikia mtu anasema "PPRA wamemsafisha jina Masha, na hivyo inabidi wawajibishwe". Sasa unashangaa wawajibishwe kwa misingi ipi, je umeangalia hizo "dataz" zenyewe au umesoma Majira na Alasiri? . Ndiyo maana tunalizwa kila siku.

Lets wait and see how this one plays on, and that's why most of the times I relish being an observer.
 
Kuhani,

Wew endelea tu, achana na style za darasani hapa. Kama una hoja wewe chomoka nayo tu. Maswali kama tupo darasani sio wakati wake sasa.
 
Watu wanaona maluelue hapa! Sijui wamekula kiporo leo asubuhi? MWenye excuse is my dear friend Nyani!
 
...kwa sababu ulishamtaka Irene Uyowa na kusema kuwa unatengeneza maburungutu kisha utamzukia Kelly01 ili aanze kukuita uncle! Vipi tena mkuu, au unataka kurudi kwenye maswala ya avatar yako iliyokuwa inaonesha sindiria tena ili tuweze kuhakiki?!

SteveD......usisahau kuwa hii ni dessert ya mtu.....lol
 
SteveD......usisahau kuwa hii ni dessert ya mtu.....lol

...sawa ogah, naona hao ma-sponge pudding na la'creme wake wamenielewa ndiyo maana wamenistahi, labda kwa hii comment, hawachelewi kuiwakia... si unajua jinsi vile wanavyoandamana na kuja doubledouble kama wanagombania kipira cha tenesi golini?! 🙂
 
Last edited:
Kuhani,

Wewe endelea tu, achana na style za darasani hapa. Kama una hoja wewe chomoka nayo tu. Maswali kama tupo darasani sio wakati wake sasa.

Tuko wapi, "kwenye kitchen party"?

Nimemuuliza Ngereje kama Katibu Mkuu anaongozwa na Waziri halafu wewe unamjibu Ngereje! Kakwambia hajui, au ni yeye ndio aliuliza?
 
- "Nilikuwa nimetoka kidogo kunywa chai", lakini nipo ndungu yangu. Namshukuru Mungu kaniweka hai hadi leo. Nimekuwa observer kwa muda mrefu kutokana na majukumu ya kimaisha ila bado nipo.

- Hili la Masha watu watakuja elewa in the long run though Tanzania Mambo ni mpito; ilikuwa EPA watu wakasema hovyo, akaja Mramba na Yona magazeti yakauzwa, yakaja ya Mgonja basi tena, yakaja ya Twin Towers basi nahene lolo. Sasa ya Masha yamepikwa watu tunayavamia.

Masha ana matatizo yake kama kila moja wetu alivyo nayo, ila kwa hili yupo sawa mia kwa mia and he will be vindicated on this. Ukweli upo na "dataz" za ku-substantiate kauli yangu zipo. Shida ni moja tumezoea kufanya analysis zetu with half baked information na kufikia conclusion based on those, pia huwa tunapenda kuelewa habari with a preconceived notion kwa mfano unaomsikia mtu anasema "PPRA wamemsafisha jina Masha, na hivyo inabidi wawajibishwe". Sasa unashangaa wawajibishwe kwa misingi ipi, je umeangalia hizo "dataz" zenyewe au umesoma Majira na Alasiri? . Ndiyo maana tunalizwa kila siku.

Lets wait and see how this one plays on, and that's why most of the times I relish being an observer.

Zalendohalisi..............jaribu kuangalia ile document iliyowekwa na Invisible.......halafu tunaomba, maoni yako please.........
 
Hold it right there, stop, stop!

What do you mean "nongwa kwa Masha"?

Masha ni bosi wa Katibu Mkuu wa mambo ya Ndani, right? Sasa Luhanjo anawezaje kumuamuru Katibu Mkuu wa wizara amzunguke waziri wake halafu Waziri akiulizia aambiwe ana nongwa?

Kama huu mradi ulikuwa unashughulikwa na mambo ya ndani Masha has the right, and is right, in asking for the status and decisions made under his nose, right? You bet he does!

Why? Because any screw up that may occur on this deal, chochote kitakachoharibika katika kazi yeyote iliyofanywa na Wizara ya mambo ya Ndani ni Lawrence Masha ndio anakaeulizwa, sio Katibu Mkuu wa mambo ya Ndani wala katibu Mkuu wa Rais, Luhanjo, right? No question.

Luhanjo sio, na hawezi kuwa, "Kiongozi wa watumishi wote serikalini." Luhanjo sio bosi wa Pinda, sio bosi Karume, sio bosi wa Shein. Wala sio bosi wa Waziri wa mambo ya ndani. Vinginevyo Pinda asingekubali kupokea kesi iliyoletwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu Luhanjo, kama Luhanjo was the biggest kahuna in government.

Assuming, without concluding, that everything you said there is factual, then Masha is not completely on the hook here, na aliyeingilia mradi hapo inaoneka ni Luhanjo!!!

Unajua nini Kuhani, haya uliyoyapoint hapa jana, ndio haya haya Masha anayalalamikia kwenye barua. Same exact things. Precisely the same.

Hapa Masha ana uhalalali wa kulalamika. Hata ningekuwa mimi ndio Waziri nisingekubali upumbavu huu wa kuwa by passed accidentally, ignorantly au purposely na hawa makatibu wakuu (Katibu Mkuu wa wizara na Katibu Mkuu kiongozi).
 
Toa sababu.......hapa ni home of great thinkers bwana.....

Kuhani upo?

Mbona haunitaji Yo Yo?

Great thinker nipo hapa. Na solution ni moja tu NCHI IUZWE na kila raia apewe chake, kama kutengeza ID atatengeza kimpango wake.
 
Mkuu unataka chafua hali ya hewa teh teh teh

Hapana mkuu wangu..

Hili wazo langu ni zuri sana, ni kwamba tu hujaliangalia ktk three dimension. I'm actually planning to write a book on this ..

Ugumu wake ni sio feasible sana, but to death & to the best of my knowledge IT IS THE ONLY WAY OUT.
 
...kwa sababu ulishamtaka Irene Uyowa na kusema kuwa unatengeneza maburungutu kisha utamzukia Kelly01 ili aanze kukuita uncle! Vipi tena mkuu, au unataka kurudi kwenye maswala ya avatar yako iliyokuwa inaonesha sindiria tena ili tuweze kuhakiki?!

Uh!....Kelly01 whaat?..
 
Unajua nini Kuhani, haya uliyoyapoint hapa jana, ndio haya haya Masha anayalalamikia kwenye barua. Same exact things. Precisely the same.

Hapa Masha ana uhalalali wa kulalamika. Hata ningekuwa mimi ndio Waziri nisingekubali upumbavu huu wa kuwa by passed accidentally, ignorantly au purposely na hawa makatibu wakuu (Katibu Mkuu wa wizara na Katibu Mkuu kiongozi).

go sit down
 
Toa sababu.......hapa ni home of great thinkers bwana.....

Kuhani upo?

Looks like Kuhani is the most challenging person in here...maana you all greasing all over him...what's up!???....

Once wise man told me ukitaka mtu akuheshimu na kukuogopa inabidi usiwe slake onyesha what you got...challenge them to the point kwamba whatever they do wanakuwa wanakuwaza wewe....i think that is happening here with the so called Kuhani hahahahaha!...
 
You spotted right Kelly, Kuhani is a juggernaut. The thread has lost direction.
 
Back
Top Bottom