Yeye alipopata taarifa kuwa kampuni ya Sagem imetolewa ktk mchakato, akamuita Katibu Mkuu wa wizara yake ambae sasa hivi kahamishiwa Kilimo, akamuuliza kwanini kampuni ya Sagem imeenguliwa? KM akamwambia kuwa hata yeye hajui mpaka akasome report ya Tenda Bodi. Alipoipitia report na kuridhika nayo, akamjulisha waziri wake kuwa, ameridhika nayo na, anaendelea na hatua inayofuata, ndipo Masha akaandika barua kwa waziri mkuu akimshitaki Katibu Mkuu Kiongozi.
Kilichotokea kwa Katibu Mkuu Kiongozi ni kwamba, aliomba apewe report ya utekelezaji ya mradi. Alipopelekewa, akmuagiza Katibu Mkuu Mambo ya Ndani aendelee, hapo ndio ilikuwa nongwa kwa Masha. Kumbuka ya kuwa, Katibu Mkuu Kiongozi ni Kiongozi wa watumishi wote Serikalini.
Hold it right there, stop, stop!
What do you mean "nongwa kwa Masha"?
Masha ni bosi wa Katibu Mkuu wa mambo ya Ndani, right? Sasa Luhanjo anawezaje kumuamuru Katibu Mkuu wa wizara amzunguke waziri wake halafu Waziri akiulizia aambiwe ana nongwa?
Kama huu mradi ulikuwa unashughulikwa na mambo ya ndani Masha has the right, and is right, in asking for the status and decisions made under his nose, right? You bet he does!
Why? Because any screw up that may occur on this deal, chochote kitakachoharibika katika kazi yeyote iliyofanywa na Wizara ya mambo ya Ndani ni Lawrence Masha ndio anakaeulizwa, sio Katibu Mkuu wa mambo ya Ndani wala katibu Mkuu wa Rais, Luhanjo, right? No question.
Luhanjo sio, na hawezi kuwa, "Kiongozi wa watumishi wote serikalini." Luhanjo sio bosi wa Pinda, sio bosi Karume, sio bosi wa Shein. Wala sio bosi wa Waziri wa mambo ya ndani. Vinginevyo Pinda asingekubali kupokea kesi iliyoletwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu Luhanjo, kama Luhanjo was the biggest kahuna in government.
Assuming, without concluding, that everything you said there is factual, then Masha is not completely on the hook here, na aliyeingilia mradi hapo inaoneka ni Luhanjo!!!