..........assuming kweli Masha alikuwa na nia nzuri kwa Taifa........, yet kwa approach aliyotumia.......tena kwa singleout SAGEM.......ndio inamfanya aonekane bwege mtozeni kweli kweli kwani kajiweka kikaangoni........na sasa anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe...........tunashukuru tumepata taarifa.....however kijana Masha...............kalikoroga....period
Kuhani......
.....kuna mtu aliomba nimuleweshe kuhus hizi cabinet paper na maswala mengine........
kuhusu Luhanjo......just check his jurisdiction ya mawasiliano yake na ma-PS.........kama hujui sema uambiwe.........
.....Hata kama Waziri akishindwa kujibu baadhi ya maswali.........wakati wa Cabinet meeting.......watu walioshiriki (hata technical officers ikibidi) huitw akutoa ufafanuzi.......ni normal practice........wala hakuna kitu cha ajabu........
Pundamilia..............
.......Masha hajaoyesha mapungufu ya utendaji serikalini..............ila yeye ndio kaonyesha UDHAIFU katika utendaji wake............