Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

...and that is just what i asked.
...you just had a nap again, or?!

Nah...i'm just discombobulated right now...my boss abruptly resigned on wednesday....and yesterday he took his life....
 
Acheni janja yenu ya kupindisha ukweli kwa kuweka maneno mazuri ktk mistari. Ninyi ndio munaokena sio washauri wazuri wa Masha, munamuangamiza rafiki yenu, nchi hii sasa hivi watu wameamka.

Mkali utadhani umekunywa juice ya pilipili. Hii inaonyesha kwamba the thing is not fair and it is all about seeing Masha resigning after failure to bring down Pinda.

At least Masha ameact bado mapema, tumejua ukweli kuliko mawaziri waliotangulia ambao hunyamaza hadi mambo yanaharibka per se.

Wakati Chenge anaiingiza TRC mkenge hamkujua haya ya PPRA, whatever you call it. Hebu mkomalieni huyu na wenzie kama wazalendo kweli mnaoijua administration system ya Tz govt inavyokwenda.
 
Nah...i'm just discombobulated right now...my boss abruptly resigned on wednesday....and yesterday he took his life....

.....daaaaym, sh*t happenz my soldier, may he RIP.
.....domestic issue or some credit crunch related matter?! You know i wud be sorry to hear ya company going under the hammer.
 
.....daaaaym, shit happenz my soldier, may he RIP.
.....domestic issue or some credit crunch related matter?! You know i wud be sorry to hear ya company going under the hammer.

no one knows...even his wife doesn't know....

and he left behind a four year old cute lil' princess....
 
Kuhani, kwa muibu wa sheria ya utumishi wa umma (Public Service Act) , Rais, Waziri mkuu na Mawaziri, Wabunge na wale wote ambao huchaguliwa kwa kupigiwa kura, sheria haiwatambui kuwa watumishi wa serikali. Bali ni viongozi wa kisiasa. Japokuwa tunaweza kusema kuwa nao ni watumishi wa umma. Ndio maana kuna sheria pia mahususi inayomhusu rais (Presidential Act). Otherwise, Chief Secretary ndiye mkuu wa atumishi wote wa umma kwa mujibu wa sheria ya watumishi wa umma.

Ngereja,

Je, Katibu Mkuu wa wizara anatumwa, anasimamiwa, anaongozwa na Waziri?

Ndio au hapana?
 
Nadhani watu wote humu ndani tunafanya makosa makubwa sana kumtuhumu Masha kuwa amekosea, kwa kulalamika kuhusu SAGEM.

Barua iko wazi kabisa, haina malalamiko kuhusu namna Bodi ya Tender ilivyofanya makosa wakati wa kupunguza makampuni from 51 to 21 halafu kutoka 21 mpaka 8.

Masha analalamika kwa nini SAGEM imetolewa, hiyo ndio ishu.

Sasa tunasahau kuwa Masha, Lowassa na Rostam ndio partners wa Sagem Tanzania, hivyo Masha analalamikia ulaji wake ahahaahahha

Masha yeye angeandika barua kama partner na sio Waziri wa MNN, ingekuwa justified kabisa, kwa hiyo advise MASHA UMEABUSE power na JIUZULU MAPEMA MKUU.
 
Mtindio,

Nadhani SI LAZIMA mtu atumie Winzip kufungua Zipped file. Ni ku-right click kisha ku-explore file na kuona kilichomo ndani.

Yes, you are right on this one.
Ndo maana nikasema kama inasumbua kwa baadhi ya wadau kukupata ni vyema ikawekwa kwenye PDF, au nayo watasema hawana viewer?

I have no further suggestions..
 
  1. Waziri kujaribu kutetea maslahi ya umma ni sawa kabisa, ila ingekua kiujumla na si kwa ajili ya kampuni moja. Katika bid evaluation njia rahisi kumbeba mtu ni kumpunguzia washindani....things like non-resposiveness etc.
  2. Sagem walilalamika... kwa hiyo walipata taarifa ya evaluation. Masha anasema mwamba sagem wamelalamikia evaluation...kwa hiyo Masha anajua kwamba sagem walipata (au aliwapa?) taarifa ambayo hwakupaswa kuipata.....

Now, Masha, before you go, where did Sagem get the information on an on-going bid evalaution?
 
I Dont like this Masha person, ila hapa namtetea.. siamini nisemacho.... barua yake kwa waziri mkuu haina issue yoyote zaidi ya kujirinda yeye mwenyewe na possile malalamiko ya wananchi na serikali.

sidhani ilitakiwa eti asubiri mpaka aandikiwe malalamiko na hiyo kampuni ili ndio aandike kwa waziri mkuu! je hiyo contract angepewa kampuni bubu alafu ingeshemsha si mngeuliza mbona hakuandika barua wakati kampuni nzuri zilivyotolewa????
 
Ambaye haoni kosa la Kijana mpaka sasa kamwe hataliona kwa sababu ameshaamua kutoliana na kwa vyovyote vile hawezi kuliona kwa sababu hataki kuliona hata kama analiona. Big up JF !!
 
Nyani Ngabu,

Tusichoke, tuendelee kulielewesha mpaka lielewe, inaonekana kua watu humu wana ubia au ndio waliompelekea Masha kampuni bomu la SAGEM, wakavuta kidogo dogo chao kwa kuwahakikishia watapata tenda, sasa yanawatokea puani, wanahaha. Rudisheni mulichochukua kwa Sagem, musitake kuwapa watanzania kampuni bomu iliyofukuzwa sehemu chungu nzima kwa makosa ya kutoweza kazi na rushwa. Hivi munaweza kutuambia ni nchi gani Sagem wameweza kufanya kazi ya mradi wa Vitambulisho vya Uraia?
 
Nadhani watu wote humu ndani tunafanya makosa makubwa sana kumtuhumu Masha kuwa amekosea, kwa kulalamika kuhusu SAGEM.

Barua iko wazi kabisa, haina malalamiko kuhusu namna Bodi ya Tender ilivyofanya makosa wakati wa kupunguza makampuni from 51 to 21 halafu kutoka 21 mpaka 8.

Masha analalamika kwa nini SAGEM imetolewa, hiyo ndio ishu.

Sasa tunasahau kuwa Masha, Lowassa na Rostam ndio partners wa Sagem Tanzania, hivyo Masha analalamikia ulaji wake ahahaahahha

Masha yeye angeandika barua kama partner na sio Waziri wa MNN, ingekuwa justified kabisa, kwa hiyo advise MASHA UMEABUSE power na JIUZULU MAPEMA MKUU.

The capacitor tendency to incapacitate has been incapacitated by its self capacity!!
 
Ngereja,

Katibu Mkuu wa Wizara huwa anaagizwa na Waziri na sio vinginevyo. Baada ya maagizo huyatekeleza kwa mujibu wa sheria na kanuni, sio vinginevyo.
 
Tanzania has a George Bush Policies , which always seems to catch many ministers and Goverment Officials. which is called whather your with us or Against us, thats is what we call catch 22.

Kwa lugha nyingine katibu mkuu alikuwa anawakilisha masirahi ya wakubwa
 
  1. Waziri kujaribu kutetea maslahi ya umma ni sawa kabisa, ila ingekua kiujumla na si kwa ajili ya kampuni moja. Katika bid evaluation njia rahisi kumbeba mtu ni kumpunguzia washindani....things like non-resposiveness etc.
  2. Sagem walilalamika... kwa hiyo walipata taarifa ya evaluation. Masha anasema mwamba sagem wamelalamikia evaluation...kwa hiyo Masha anajua kwamba sagem walipata (au aliwapa?) taarifa ambayo hwakupaswa kuipata.....

Now, Masha, before you go, where did Sagem get the information on an on-going bid evalaution?

...Good question and almost an unanswerable one in our current corporate responsibility status.
 
Last edited:
Sauti za umeme zitakuja hivi: bla bla bla bla bla.........Lau kwa hili bado hajawa guilty ......nimeongea nae kwa simu sasa hivi kasema kuna more dataz anazo anasubiri aitwe na mkulu.......bado nampa Lau benefit of dought....."

alafu Kuhani atajibu kireefu thread itaanza kuvurugika....then closed......

Jamani wenye kuweza kupembua mtuambie whats wrong kwa waziri kijana kuhusu hii SIRI SANA
 
Last edited:
Mheshimiwa Waziri, you have been screwed royally! And your disgrace has been witnessed publicly:
Currently Active Users Viewing This Thread: Susuviri, AJF, alekky, Asha Abdala, Baba Watatu, Baba_Enock, babuji, Balantanda, bill, calvinpower, Capitol Hill, cola, Companero, dash, Fatuma, Fisadinumber1, Guantanamo Bay, Haki.tupu, JJ, KatuleJ, kazidi, kelly01, Kichuguu, Kiranga, Kochokocho, Kokolo, lingusenguse, lotepe, Machiavelli, Madela Wa- Madilu, mageuzi halisi, manundu, materanus, MawazoMatatu, Mbu, MkamaP, Mkodoleaji, Mong'oo, Mosi-O-Tunya, mr kiroboto, Mr. Politician, mtimkavu, MTM, Mwanjelwa, Mzee Kibiongo, Ndele, ngereja, Nyambala, Pasco, Roya Roy, saikosisi, skasuku, Sober, Suki, Tabata-Kisiwani, tminde, TrueVoter, utu wangu, vstdar, Wakuja, Yebo Yebo, Zitto
namwona Mheshimniwa Zitto yupo hapa naye busy anadownload: hivi mheshimiwa Zitto, bunge limeshaisha session au unatinga na Blackberry? kwiwkikwikwiii!
 
...aithe shy eeh, umetoka kula mtori kwa minja muda thi mrefu nini?!
__________________
ujaona anavyohangaika na kutoa vinyma kwenye fisi..utapenda
 
Back
Top Bottom