Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Nadhani hujamwelewa rafiki yangu alikuwa anamaanisha nini. Siyo kwamba FMES anaogopwa hapa. Si hivyo hata kidogo. Sijui umemjua lini FMES lakini kama umemjua hivi karibuni sikulaumu hata kidogo.

Ona hata rafiki yangu YNIM alimalizia na "LOL".....did you even catch that?[/quote]

Nyani ngabu unawakilisha wazee wa wino Mwekundu?
 
Hold it right there, stop, stop!

What do you mean "nongwa kwa Masha"?

Masha ni bosi wa Katibu Mkuu wa mambo ya Ndani, right? Sasa Luhanjo anawezaje kumuamuru Katibu Mkuu wa wizara amzunguke waziri wake halafu Waziri akiulizia aambiwe ana nongwa?

Kama huu mradi ulikuwa unashughulikwa na mambo ya ndani Masha has the right, and is right, in asking for the status and decisions made under his nose, right? You bet he does!

Why? Because any screw up that may occur on this deal, chochote kitakachoharibika katika kazi yeyote iliyofanywa na Wizara ya mambo ya Ndani ni Lawrence Masha ndio anakaeulizwa, sio Katibu Mkuu wa mambo ya Ndani wala katibu Mkuu wa Rais, Luhanjo, right? No question.

Luhanjo sio, na hawezi kuwa, "Kiongozi wa watumishi wote serikalini." Luhanjo sio bosi wa Pinda, sio bosi Karume, sio bosi wa Shein. Wala sio bosi wa Waziri wa mambo ya ndani. Vinginevyo Pinda asingekubali kupokea kesi iliyoletwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu Luhanjo, kama Luhanjo was the biggest kahuna in government.

Assuming, without concluding, that everything you said there is factual, then Masha is not completely on the hook here, na aliyeingilia mradi hapo inaoneka ni Luhanjo!!!

Kuhani hapa umekosea. Mtendaji mkuu wa wizara ni Katibu Mkuu na si waziri. Ndiyo maana barua zote zinazoandikwa kwenda kwenye wizara zinakuwa addressed kwa Katibu Mkuu na si waziri. Na barua zote rasmi katika wizara zinaandikwa kwa niaba ya katibu Mkuu na si waziri. Mawaziri, waziri Mkuu na Rais si watumishi wa serikali ( civil servants) wao ni political appointees. Kiutendaji basi, bosi wa watumishi wote wa serikali ni Katibu Mkuu Kiongozi. Huyu ndiye bosi wa Katibu Mkuu na si waziri. Katibu Mkuu Kiongozi ni mshauri mkuu wa serikali kiutendaji. Kwa bahati mbaya kwa muda mrefu makatibu wakuu walikubali kufunikwa na mawaziri kiasi cha mawaziri kujisahau. Masha amempelekea malalamiko Pinda kwa sababu yule ndiye bosi wake. Pinda nae atamshauri Rais ambae ndiye bosi wa wote hawa. Mwenye makosa hapa ni waziri Masha na si Luhanjo. Ingawa inauma lakini yeye si Mtendaji Mkuu wa Wizara.
 
Again ktk post yangu ambayo ni dhahiri hukuielewa keyword ni "wajanja"...sikusema wanaomwogopa, upo hapo? Inaonekana hata hujui historia ya YNIM hapa JF, toka lini mie nikamwogopa mtu ktk kijiwe hiki? hata hao ulowataja wewe unawaogopa sijui yesu na nani...mimi siwaogopi!!! Wewe ni mjinga na sio critical thinker...yaani umemiss nilichokuwa na maanisha mpaka nakuonea huruma bwahahahahahaha!! Acha kukurupuka anko, tumia ubongo kufikiria na sio moyo wako!

Yesu ni mungu!!....unaamini hivyo dont'cha!? upuuzi mwingine huo kwa upande wako....LOL.

Hey dogo...happy thursday! Naona jana ulifanya graveyard shift na sasa ndo umetoka...Lol

Hebu achana naye huyo mkulima. Yaani jamaa ka miss pointi yako kichizi. If anything, mtu aliyetakiwa kuwa upset alikuwa FMES....Lol
 
Kuhani hapa umekosea. Mtendaji mkuu wa wizara ni Katibu Mkuu na si waziri. Ndiyo maana barua zote zinazoandikwa kwenda kwenye wizara zinakuwa addressed kwa Katibu Mkuu na si waziri. Na barua zote rasmi katika wizara zinaandikwa kwa niaba ya katibu Mkuu na si waziri. Mawaziri, waziri Mkuu na Rais si watumishi wa serikali ( civil servants) wao ni political appointees. Kiutendaji basi, bosi wa watumishi wote wa serikali ni Katibu Mkuu Kiongozi. Huyu ndiye bosi wa Katibu Mkuu na si waziri. Katibu Mkuu Kiongozi ni mshauri mkuu wa serikali kiutendaji. Kwa bahati mbaya kwa muda mrefu makatibu wakuu walikubali kufunikwa na mawaziri kiasi cha mawaziri kujisahau. Masha amempelekea malalamiko Pinda kwa sababu yule ndiye bosi wake. Pinda nae atamshauri Rais ambae ndiye bosi wa wote hawa. Mwenye makosa hapa ni waziri Masha na si Luhanjo. Ingawa inauma lakini yeye si Mtendaji Mkuu wa Wizara.

maelezo fasaha na sahihi kabisa, tupo pamoja Fundi. Tukishuka gazi za chini mfano jiji au Manispaa, Bossi wa watumishi wote katika wilaya/Manispaa/Jiji ni Mkurugenzi siyo Meya.
 
Kuhani hapa umekosea. Mtendaji mkuu wa wizara ni Katibu Mkuu na si waziri. Ndiyo maana barua zote zinazoandikwa kwenda kwenye wizara zinakuwa addressed kwa Katibu Mkuu na si waziri. Na barua zote rasmi katika wizara zinaandikwa kwa niaba ya katibu Mkuu na si waziri. Mawaziri, waziri Mkuu na Rais si watumishi wa serikali ( civil servants) wao ni political appointees. Kiutendaji basi, bosi wa watumishi wote wa serikali ni Katibu Mkuu Kiongozi. Huyu ndiye bosi wa Katibu Mkuu na si waziri. Katibu Mkuu Kiongozi ni mshauri mkuu wa serikali kiutendaji. Kwa bahati mbaya kwa muda mrefu makatibu wakuu walikubali kufunikwa na mawaziri kiasi cha mawaziri kujisahau. Masha amempelekea malalamiko Pinda kwa sababu yule ndiye bosi wake. Pinda nae atamshauri Rais ambae ndiye bosi wa wote hawa. Mwenye makosa hapa ni waziri Masha na si Luhanjo. Ingawa inauma lakini yeye si Mtendaji Mkuu wa Wizara.

Oh hell no! How can that be? Eti kakosea...since when anakosea....

Wewe ndio umekosea...
 
Waziri Masha mguu nje, mguu ndani

Mwandishi Wetu Februari 4, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo​

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Lawrance Masha, anaweza kulazimika kuchukua uamuzi wa kujiuzulu au kulazimishwa kujiuzulu, kama Bunge litaridhika kuwa ameingilia mchakato wa zabuni ya kumpata mchapishaji wa Vitambulisho vya Taifa, Raia Mwema imedokezwa.

Taarifa za hivi karibuni zaidi kuhusu suala hilo la Vitambulisho vya Taifa, zinasema ya kuwa Waziri Masha yupo katika mtanziko wa ama kujiuzulu kabla ya kushambuliwa kwa hoja kali za wabunge au kusubiri mashambulizi hayo ndani ya ukumbi wa Bunge, kama mjadala huo utapenyezwa bungeni.

Taarifa zinasema kwamba leo Jumatano, Waziri Masha ameitwa mbele ya Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge, inayoongozwa na Mbunge wa Muleba Kusini, Wilson Masilingi, inayokusudia kumhoji kwa kina kuhusu tuhuma za uingiliaji anaodaiwa kuufanya na kama Kamati hiyo itaridhika kuwa ameingilia mchakato huo, basi Kamati italazimika kuwasilisha suala hilo katika Kamati ya Uongozi ya Bunge, ambayo itapanga muda wa kulijadili.

Mfumo huo wa mahojiano unaomnyemelea Masha ni mithili ya ule uliotumika wakati wa uchunguzi wa kibunge wa kampuni ya kufua umeme ya Richmond.

Masilingi aliiambia Raia Mwema mjini Dodoma jana Jumanne kwamba ni kweli wamemwita Waziri Masha kwa mahojiano leo na kwamba baada ya hapo itafahamika suala hilo litachukua mkondo gani.

Kwa upande wake, Masha alithibitisha kuitwa na kamati hiyo ya Masilingi akisema amepewa taarifa ya kuitwa na atakwenda na kwamba asingeweza kuingia katika undani wa jambo hilo linalohusisha uvujaji wa nyaraka za siri.

Wiki iliyopita, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza bungeni kujibu maswali kuhusiana na Vitambulisho aliweka bayana kuwa kuna tatizo katika Wizara ya Mambo ya Ndani kwamba kuna nyaraka zimenyofolewa katika moja ya mafaili wizarani hapo.

Hata hivyo, alisema kunyofolewa kwa nyaraka hiyo si suala la msingi bali kwamba tatizo la msingi ni kuingiliwa kwa mchakato huo.

Pinda alimweleza Dk. Wilbroad Slaa, aliyekuwa amehoji mchakato wa Vitambulisho katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kuwa alikuwa amewahi mno kuuliza suala hilo kwa kuwa mchakato wa zabuni bado haujafika mwisho.

Akashauri kuwa ni vema mchakato ukafika mwisho na hapo ndipo Waziri Masha anaweza kubanwa vizuri kwamba ameingilia mchakato huo au la.

Hata hivyo, kuna uwezakano mkubwa kwa suala hilo kujadiliwa ndani ya Bunge kutokana na madai ya kuwapo kwa vielelezo thabiti vinavyomuhusisha Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo, ambaye anadaiwa kulalamikiwa na Waziri Masha kwamba amefanya uamuzi bila kumtaarifu yeye kama waziri wa wizara husika.

Waziri Masha anadaiwa kuandika barua kwa Waziri Mkuu Pinda akimlalamikia Luhanjo kuwa amefanya uamuzi kwa kumpa maagizo Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, bila ya yeye kutaarifiwa.

Baadhi ya wazoefu wa masuala ya Bunge wanaeleza kuwa huenda suala hili likafikia hatua ya kuundwa kwa Kamati Teule ya Bunge ambayo ina madaraka ya kuhoji watu katika mfumo wa kimahakama.

Katika utaratibu wa kawaida, anayeitwa kuhojiwa na Kamati Teule ya Bunge hulazimika kula kiapo na akibainika kudanganya anaweza kushitakiwa.
 
Oh hell no! How can that be? Eti kakosea...since when anakosea....

Wewe ndio umekosea...

Kwani lini yeye amejiita Mungu? Ni wale wenye chuki nae ndio wanaojaribu kumbandika hiyo label. Wanashindwa kupingana nae kwenye mada na mnabaki kurudisha yaliyopita. Ikishindikana hivyo, wanaingia kwenye shutuma binafsi. Kama vile wanavyojaribu kumfanyia Uwiano Maalum.

Hii si mara ya kwanza ya mimi na yeye kusimama upande tofauti. Na haitakuwa ya mwisho. Pamoja na hivyo, heshima yangu kwake inabaki pale pale.

Amandla........
 
- Baada ya kuwasikiliza wajumbe wa kamati niliamini kwamba Masha ni gulity, lakini jana baada ya kumsikliza Masha, nimepunguza kasi kidogo ingawa bado ninaamini kwa 80% kwamba ana something to na ufisadi wa vitambulisho, na bado ninaamini ni wakati muafaka kwake sasa kujiuzulu kwa faida yake binafsi na taifa pia. Sioni baada ya hizi vurugu zote akiendelea kuwa na moral authority ya kuwa waziri wa jamhuri, ninarudia tena kwamba yaliyosema yanatosha ndugu yangu Masha ni vyema akajiuzulu now.

- Katika siasa hakuna permanent truth, kwa hiyo siku zote tuna-swing na habari mpya, utetezi wa Masha na Spika, unaonyesha kuna sababu ya kusubiri uamuzi wa kamati ya bunge, ambapo historia iko wazi kuwa ndio huwa wakati wa kubadilisha ukweli, lakini hata ikitokea jamaa yangu Masha ameharibika sana ni vyema akajiuzulu na kutoa nafasi kwa rais kufanya mabadiliko, unajua sasa unamfikisha rais wetu kwenye mtihani mgumu sana kutokana na kufahamiana, wote wawili yaani rais na
Masha, huu ni wakati muafaka wa kufanya the right thing kwa taifa,

- Tabia ya kusahau niliyoandika jana na juzi sio yangu hata siku moja mkuu, huwa ni tabia ya wanaingia kwa ID nyingi, na unajua what I am talking about, mimi ninakumbuka kila neno nililowahi kulisema hapa hata nikiwa nimelala usingizini ukiniamsha nitakukumbusha nilichosema jana na juzi, licha ya mwaka jana, mwenye hilo tatizo lakusahau ya jana na juzi wewe mwenyewe unamjua vizuri sana angalia kwenye kioo, utamuona. Mama Rwakatare anahitaji hesima mkuu maana sio rahisi kuwalea watoto wa watu usiowajua kama wa kwako, na si kweli kwamba rais Kikwete haijamini.

- mkuu wangu huko pembeni nimekusikia, ila sasa taifa mbele najua kuwa ni lazima kupitia kwenye denial process, lakini with time utafika tu kwenye ukweli maana haubadiliki uko pale pale na mind you kuwa ninaweza kuuongeza at any of my time, naona Mods wameamua kukupa free pass, good for them lakini I reserve the right ku-strike back wakati wowote ule, fasten your belt!

Baharia FMES! Wazee wa meli, Bwa! ha! ha! ha!

Bravo Mkuu. There you are!!! Sijapata yaliyojiri huko kwenye kamati leo. Japo Spika alikataa media coverage na members kusema lolote wakati wa majadiliano haya, then tusubiri tu ukweli u njiani. Anyway, ni bahati mbaya kwa Rais na Baraza lake la Mawaziri la uswahiba!!!!!! Kwiki kwiki kwiki kwiki.
 
Kwani lini yeye amejiita Mungu? Ni wale wenye chuki nae ndio wanaojaribu kumbandika hiyo label. Wanashindwa kupingana nae kwenye mada na mnabaki kurudisha yaliyopita. Ikishindikana hivyo, wanaingia kwenye shutuma binafsi. Kama vile wanavyojaribu kumfanyia Uwiano Maalum.

Hii si mara ya kwanza ya mimi na yeye kusimama upande tofauti. Na haitakuwa ya mwisho. Pamoja na hivyo, heshima yangu kwake inabaki pale pale.

Amandla........

Kwani Mungu hakosei?
 
Kuna taarifa nimezipata sasa hivi kuwa PPRA wanajaribu... M/kiti wa Bodi ya PPRA na Masha.

PPRA ndio nini?

Swali: Sagem walipata wapi taarifa kuwa wameenguliwa wakati matokeo ya mchakato huo bado hayajatolewa rasmi?

Jibu: Habari zili leak.

Swali kwako:
Ni kweli walienguliwa au hawakuenguliwa?

Swali: Kwanini waziri Masha asiyapeleke maombi hayo kwa Katibu Mkuu ambae ndie anayetambulika kisheria? na hata ktk tenda document imeadikwa wazi kuwa, kama kutakuwa na malalamiko yeyote, basi yapelekwe kwa Katibu Mkuu, kwanini Sagem na Masha hawakufanya hivyo?

Jibu: Kwa sababu Luhanjo alishaingilia, umetuambia wewe mwenyewe kwamba Luhanjo akamuamuru Katibu Mkuu wa Masha aendelee tu, hivyo Masha asingeweza peleka kesi ya tumbili kwa ngedere.

Swali kwako:
Ni tender document au sheria ya Public Procurement ndio ina govern hapa?

Swali: Malalamiko hayo yalipelekwa kwa Masha kwa mdomo au maandishi? mbona mpaka sasa hajaitoa barua hiyo?

Jibu: Tipster wa SAGEM kampasha Masha habari.

Swali kwako: Wangelalamikaje kwa barua wakati wao hawajapewa barua?

Swali: Kwanini Sagem na Masha wasisubiri kulalamika pale barua ya kuwataarifu kuwa wameshindwa itakapowafikia? kwanini walalamike kabla ya muda?

Jibu: Kwa sababu ingetokea irreversible damage!

Swali kwako: Kwa nini Masha asijihusishe na mchepuo ambao uko chini ya Wizara yake bali akae tu aendelea mpaka asubiri damage itokee?

Mimi najua kuwa "political responsibility" anayoizungumzia Masha...

Unajuaje?
sio kusimamisha mchakato

Masha ana mamlaka ya kusimamisha mchakato? How did he do it?

na kuliingiza Taifa ktk aibu na hasara kubwa,

Hasara gani imetokea? Aibu kwa nani, kwa Gaddafi, au Obama?

yeye alipaswa, au kusubiri barua iwafikie Sagem au angewapeleka Sagem na malalamiko yao kwa Katibu Mkuu.

Kama unasema angebeba malalamiko ya SAGEM kupeleka wa Luhanjo ina maana unakubali ana haki ya kubeba malalamiko kupeleka somewhere. Kwa hiyo tatizo ni kwamba amepeleka malalamiko to the wrong authority, sio kwamba ameingilia? Unajichanganya.
 
Hold it right there, stop, stop!

What do you mean "nongwa kwa Masha"?

Masha ni bosi wa Katibu Mkuu wa mambo ya Ndani, right? Sasa Luhanjo anawezaje kumuamuru Katibu Mkuu wa wizara amzunguke waziri wake halafu Waziri akiulizia aambiwe ana nongwa?

Kama huu mradi ulikuwa unashughulikwa na mambo ya ndani Masha has the right, and is right, in asking for the status and decisions made under his nose, right? You bet he does!

Why? Because any screw up that may occur on this deal, chochote kitakachoharibika katika kazi yeyote iliyofanywa na Wizara ya mambo ya Ndani ni Lawrence Masha ndio anakaeulizwa, sio Katibu Mkuu wa mambo ya Ndani wala katibu Mkuu wa Rais, Luhanjo, right? No question.

Luhanjo sio, na hawezi kuwa, "Kiongozi wa watumishi wote serikalini." Luhanjo sio bosi wa Pinda, sio bosi Karume, sio bosi wa Shein. Wala sio bosi wa Waziri wa mambo ya ndani. Vinginevyo Pinda asingekubali kupokea kesi iliyoletwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu Luhanjo, kama Luhanjo was the biggest kahuna in government.

Assuming, without concluding, that everything you said there is factual, then Masha is not completely on the hook here, na aliyeingilia mradi hapo inaoneka ni Luhanjo!!!

Kuhani
Chief Secretary ndio the Top most post ndani ya Utumishi serikalini...........hebu tumuweke pembeni kidogo huyu Luhanjo...tutamrudia baadaye..........inaelekea hujui

1.Zoezi zima la procurement linavyokua
2.Mamlaka ya Katibu Mkuu Wizarani

Kwenye Project (zabuni) yoyote serikalini.......iwe Wizarani au Idarani(kutegemea na authority alizonazo mkuu wa Idara hiyo e.g TANROAD ni CEO wake)......the accounting Officer wa Wizara au Idara ndiye mhusika Mkuu wa huo/hiyo m/iradi........kwa maana nyingine ndio CLIENT.

hata kama zabuni iko Wizarani kwa Masha, ni KOSA kwake kuingilia the process ya procurement......tena kwa kuonyesha interest za moja ya kampuni iliyohusishwa ktk zoezi hilo.........in short Masha ni MTOVU WA NIDHAMU KAZINI

Unaposema masha has the right kujua status ya zoezi........lets assume he was right!.....questions come
1.Under interests of who
2.At what stage the status is being asked
3.je anamuuliza Katibu mkuu kama Katibu Mkuu au kama Chairman wa kamati ya Zabuni
4.kwanini a-kazanie one of the company irudishwe kwenye mchakato...hata baada ya kupewa hiyo status

uliposema........
..............Kama huu mradi ulikuwa unashughulikwa na mambo ya ndani Masha has the right, and is right, in asking for the status and decisions made under his nose, right? You bet he does!

Why? Because any screw up that may occur on this deal, chochote kitakachoharibika katika kazi yeyote iliyofanywa na Wizara ya mambo ya Ndani ni Lawrence Masha ndio anakaeulizwa, sio Katibu Mkuu wa mambo ya Ndani wala katibu Mkuu wa Rais, Luhanjo, right? No question..........

YOU ARE DEADLY WRONG........katibu Mkuu ndiye msemaji mkuu wa Wizara na ndiye answerable kwa all technical matters za Wizara na shughuliza kila siku za Wizara.......Permanent Secretary ni ACCOUNTING OFFICER wa Wizara......

......ngoja niendelea kupiga boxes....watoto wasije shinda na njaa bure
 
You are wrong Ogah....dead wrong

I'm with Ku Who on this one....seriously, I am
 
...ninarudia tena kwamba yaliyosema yanatosha ndugu yangu Masha ni vyema akajiuzulu now.

... hata ikitokea jamaa yangu Masha ameharibika sana ni vyema akajiuzulu na kutoa nafasi kwa rais kufanya mabadiliko,

...unajua sasa unamfikisha rais wetu kwenye mtihani mgumu sana

Mama Rwakatare anahitaji hesima mkuu maana sio rahisi kuwalea watoto wa watu usiowajua kama wa kwako, na si kweli kwamba rais Kikwete haijamini.

I reserve the right ku-strike back wakati wowote ule, fasten your belt!

Kwanza Mama Rwakatare anaingiaje humu, mbona ya Masha yanakuchanganya?

Pili, nijiandae unakuja kuni strike back, ina maana hapo juu hujajaribu ku strike hoja ila kuniweka tu tayari kuni strike back personally? Yanakuchanganya!
 
Uwiano Maalum is back, siondoki tena JF haya Baharia uko wapi!!!?
 
Kuhani, elewa yafuatayo:

Method ya Open Tender inampa nafasi bidder kuuliza sababu za kuenguliwa baada ya kupewa official notice toka kwa Client. Kwanini Sagem wasisubiri muda huo ufike ndio wapeleke malalamiko yao?

PPRA ni kifupi cha Public Procurement Regulatory Authority. Kazi yao ni kusuluhisha migogoro kati ya Bidder na Client. Katika sheria za manunuzi za mwaka 2004 ambazo zinatumika kumtafuta Contractor wa mradi huu. Hakuna hata sehemu moja inayomtamka Waziri ktk mchakato wa manunuzi. Masha ni mwanasheria, tena mahili, ina maana yeye halijui hili au alifanyamakusudi?

Serikali inaendeshwa kwa karatasi, hapa hatupo ktk kitchen party. Kama Sagem walimwambia Masha kwa mdomo, kwanini yeye aliyaweka kwa maandishi kwa Pinda?

Mpaka sasa hivi hatujui ni wangapi wameenguliwa na wangapi wamebaki. Hii bado ni siri ya Bodi ya Manunuzi ya Wizara ya Ndani ambayo ilikula kiapo kwa kazi hiyo.

Hakuna political responsibility ktk technical issues, huu ni uongo mtupu. Kuna haja gani ya kuwa na Makatibu Wakuu ktk wizara?

Nakukubali Ogah.... Umesema ukweli mtupu. Rafiki wa kweli ni yule anayemwambia ukweli rafiki yake. Hapa Masha kalikoroga, kumsaidia ni kumwambia ukweli tu.
 
Masha mwanasheria mahiri? Puh..lease...umahiri huo kaupataje? Nini mchango wake ktk taaluma ya sheria? Unawajua wamasheria mahiri kweli wewe?

Masha...who the hell is Masha?
 
Back
Top Bottom