Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Nyani Ngabu, nilikuwa najaribu kuitambua taaluma yake ya Sheria hapa, huenda nimepitiliza sana, nisamehe, maana majibu yako yanaonesha kuwa, kama ningekuwa karibu nawe ungenivamia kama kipanga anavyovivamia vifaranga vya kuku.

Masha kaharibu sana. Anatutia aibu vijana kwani tumepewa nafasi ya uongozi lakini tunazitumia vibaya.
 
.......aisee hii Kuhani obsessionate na wewe imekukamata......lol

Hehehehehe....aisee you are wrong again. I'm not obsessed...I'm infatuated.....fixated, rather...

I'm thinking of changing my name to Nyani Kuhani....or maybe KuNyani....what d'ya think?
 
Nyani Ngabu, nilikuwa najaribu kuitambua taaluma yake ya Sheria hapa, huenda nimepitiliza sana, nisamehe, maana majibu yako yanaonesha kuwa, kama ningekuwa karibu nawe ungenivamia kama kipanga anavyovivamia vifaranga vya kuku.

Masha kaharibu sana. Anatutia aibu vijana kwani tumepewa nafasi ya uongozi lakini tunazitumia vibaya.

Hamna tabu mjomba. Unajua kabla hujawa mwanasheria mahiri, you have to put in the work to be recognized as such.....

Watu kama Lawrence Tribe, Charles Ogletree, Brandeis....hao ndo wanasheria mahiri
 
Kwi!kwi!kwi!
Mwache Ogah aende kazini. Mimi leo nimetega baridi 17 degrees Fahrenheit.

Oh I see...you played hookie today huh....you are bad boy....bad naughty boy...just kidding man...don't take me too seriously
 
katika issue hii kuna alot of blackmailing na character assassination, na story nyingi ni za upande moja, technically/administrative wise , ni kitu cha ajabu kwamba kitu kitoke kwenye wizara yako bila waziri husika kujua, i.e katibu mkuu apeleke eg issue to the cabinet wakati waziri hajui.
kuhusu sagem kujua inavyo onekana baada ya hatua ya kwanza , ambapo alichujwa hakuwa na haki ya kuambia?
kama aliambiwa au alikuwa na haki hiyo then ndio sababu ya kulalamika.
sasa inakuja hatua hii nyingine was it proper for them kulalamika kwa waziri au kwa ppra, ndio suala la kuangalia, lakini pia suala wa katibu kiongozi kufanya vitu bila kuwahusisha au copy to minister muhusika sio suala zuri.maana alcho fanya katibu mkuu kiongozi amount to uchochezi au kuchonganisha watu ambayo hatima yake ni kuleta mfarakano katika kazi na jamii kwa jumla, kama inavyo onekana katika issue hii, ya watu walio pro masha and anti masha bila kuangalia issue yenyewe.
 
Lets stick to the issues now.

AUGUST:

Matokeo ya Evaluation Committee bado hayajatolewa rasmi, kwa maana hiyo ni kwamba, taarifa hizo mpaka sasa ni za siri. Waliofanya evaluation exercise walikula kiapo kutokutoa siri za mchakato huo. Kuna sheria inayowabana kama itagundulika kuwa wametoa siri.
Ili suala lifikishwe Cabinet, linahitaji kupitia ngazi mbili muhimu. Ya kwanza ni ktk Secretariat na, ya pili katika vikao vya makatibu wakuu. Baaada ya hapo, ndio Cabinet paper inaandaliwa na kupewa Waziri aipitie, atoe mapendekezo yake na baadae aiwasilishe ktk Cabinet. Hivyo basi, suala la Katibu Mkuu wa Wizara kumruka Waziri na kwenda Cabinet HALIPO HAPA. Katibu Mkuu sio mjumbe wa Balaza la Mawaziri.

Baada ya Tenda Bodi kumaliza kazi yake, huwa inapeleka taarifa za uchambuzi wake kwa Katibu Mkuu wa Wizara ambae kisheria ndio muhusika na masuala yote ya manunuzi na kiutendaji. Akikubaliana na taarifa hiyo, humuagiza Katibu wa tenda bodi kuwafahamisha waombaji matokeo ya zoezi husika. Katika zoezi hili, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani aliyehamishiwa Kilimo alilidhia mchakato uendelee, Masha akausimamisha na kumshauri Katibu Mkuu aende PPRA. Ikumbukwe ya kuwa, PPRA sio clearing house. Kazi yao kubwa ni kusuluhisha migogoro pale inapotokea ktk zoezi la manunuzi Serikalini. Sheria inaelekeza kuwa, Katibu Mkuu ataenda PPRA endapo tu hakubaliani na maamuzi ya Evaluation Committee au Tender Board. Ktk mchakato huu, hakuna sehemu hata moja inayoonesha Katibu Mkuu kutokukubaliana na Tenda Bodi yake, sasa aende PRA kufanya nini?
Sheria ya manunuzi inaelekeza tena kuwa, kama kutakuwa na malalamiko toka kwa mzabuni, basi malalamiko hayo yapelekwe kwa Katibu Mkuu wa Wizara, na kama hajaridhika, basi ayapeleke PPRA. Kipengele hiki kimewekwa ktk kila tenda document za Serikali. Nawashangaa Sagem kupeleka malalamiko yao kwa Waziri.
Kiutaratibu, Katibu Mkuu Kiongozi huwasiliana na Katibu Mkuu wa Wizara, na sio Waziri. Kila agizo analolipeleka Wizarani, ni wajibu wa Katibu Mkuu wa wizara kumfahamisha waziri wake, tena kwa dokezo, sasa Masha hapa analalamika nini? Nadhani hajui utaratibu wa Civil Servants commanding chain.

Nadhani nimekujibu kwa kina kidogo na umeelewa AUGUST.
 
nimekuelewa, lakini mbona huja ongele barua ya katibu kiongozi, pili mbona husemi kuhusu hatua ya kwanza kukamilika ndio waende kwenye hatua ya pili, ambayo ni fiancial evaluation, tatu katibu wa wizara alitakiwa kutoa taarifa au report kwa katibu mkuu kiongozi kwa ajili ya cabinet sio kwamba yeye ni member, kinyume cha hapo hii tutasema ni upotoshaji wa habari.
 
Last edited:
Masha mwanasheria mahiri? Puh..lease...umahiri huo kaupataje? Nini mchango wake ktk taaluma ya sheria? Unawajua wamasheria mahiri kweli wewe?

Masha...who the hell is Masha?

And what the hell are you doing here ? Oops, sorry.
 
Kinvaba. Wewe Katibu Mkuu nini? Au uliiishawahi kupitia huko? Asante kwa shule.

Kitendo cha Chief Secretary kutomhusisha waziri inawezekana kimetokana na kuogopa kuharibu tenda nzima kwa kumshirikisha mtu ambae ameishaonyesha ana interest! Kumhusisha kukengetia dosari zoezi zima na kutoa mwanya kwa yeyote atakayeshindwa kulalamika kuwa kuna mchezo mbaya umefanyika.

Mimi bado naamini kuwa huu mradi hauna maslahi yeyote kwa taifa. Bora ungeachiwa ufe.

Amandla..........
 
Last edited:
Lets stick to the issues now.

AUGUST:

Matokeo ya Evaluation Committee bado hayajatolewa rasmi, kwa maana hiyo ni kwamba, taarifa hizo mpaka sasa ni za siri. Waliofanya evaluation exercise walikula kiapo kutokutoa siri za mchakato huo. Kuna sheria inayowabana kama itagundulika kuwa wametoa siri.
Ili suala lifikishwe Cabinet, linahitaji kupitia ngazi mbili muhimu. Ya kwanza ni ktk Secretariat na, ya pili katika vikao vya makatibu wakuu. Baaada ya hapo, ndio Cabinet paper inaandaliwa na kupewa Waziri aipitie, atoe mapendekezo yake na baadae aiwasilishe ktk Cabinet. Hivyo basi, suala la Katibu Mkuu wa Wizara kumruka Waziri na kwenda Cabinet HALIPO HAPA. Katibu Mkuu sio mjumbe wa Balaza la Mawaziri.

Baada ya Tenda Bodi kumaliza kazi yake, huwa inapeleka taarifa za uchambuzi wake kwa Katibu Mkuu wa Wizara ambae kisheria ndio muhusika na masuala yote ya manunuzi na kiutendaji. Akikubaliana na taarifa hiyo, humuagiza Katibu wa tenda bodi kuwafahamisha waombaji matokeo ya zoezi husika. Katika zoezi hili, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani aliyehamishiwa Kilimo alilidhia mchakato uendelee, Masha akausimamisha na kumshauri Katibu Mkuu aende PPRA. Ikumbukwe ya kuwa, PPRA sio clearing house. Kazi yao kubwa ni kusuluhisha migogoro pale inapotokea ktk zoezi la manunuzi Serikalini. Sheria inaelekeza kuwa, Katibu Mkuu ataenda PPRA endapo tu hakubaliani na maamuzi ya Evaluation Committee au Tender Board. Ktk mchakato huu, hakuna sehemu hata moja inayoonesha Katibu Mkuu kutokukubaliana na Tenda Bodi yake, sasa aende PRA kufanya nini?
Sheria ya manunuzi inaelekeza tena kuwa, kama kutakuwa na malalamiko toka kwa mzabuni, basi malalamiko hayo yapelekwe kwa Katibu Mkuu wa Wizara, na kama hajaridhika, basi ayapeleke PPRA. Kipengele hiki kimewekwa ktk kila tenda document za Serikali. Nawashangaa Sagem kupeleka malalamiko yao kwa Waziri.
Kiutaratibu, Katibu Mkuu Kiongozi huwasiliana na Katibu Mkuu wa Wizara, na sio Waziri. Kila agizo analolipeleka Wizarani, ni wajibu wa Katibu Mkuu wa wizara kumfahamisha waziri wake, tena kwa dokezo, sasa Masha hapa analalamika nini? Nadhani hajui utaratibu wa Civil Servants commanding chain.

Nadhani nimekujibu kwa kina kidogo na umeelewa AUGUST.

Mkuu Kinvaba umeelezea vizuri sana Kuhusiana na commanding na reporting chain ya serikali. Kinachowezekana kuwa kimetokea ni kwamba, Sagem kwa uhusiano binafsi na Waziri, waliamua kumuelezea wasiwasi wao hasa baada ya kushindwa kufanya lobbying na kuhakikisha wanashinda hiyo tender. Inawezekana Waziri akawaahidi kufuatilia na kuhakikisha wanapata haki kama walivyodai. Kama hivyo ndivyo ilivyokuwa, inaweza kumaanisha kuwa Waziri si tu kwamba aliingilia utaratibu wa siri wa Procurement (ambayo imewekwa kisheria), bali pia ameharibu mchakato mzima na zoezi zima linakuwa halina maana tena.

Wakuu, naamini mengi hufanyika kwa kisingizio cha nia njema. Kwa hiyo hata hili litapewa sifa hiyo. Lakini haya ndio mambo yanayochochea matatizo tuliyonayo. Najua Waziri hana nafasi yoyote katika zoezi zima la kutafuta Contractor wa kazi hiyo (na yeye anajua). Ila amedharau utaratibu kwa hisia kuwa kulikuwa na uonevu (bila kudhani kuwa yeye anaweza kuwa ameonea Taifa zima kwa kuharibu utaratibu wa kisheria uliowekwa na Bunge).

Nadhani Bunge lenye nia njema litashighulikia suala hili kwa hekima na busara zinazostahili na kuliokoa Taifa kutoka kwa wanasiasa wanaovunja sheria makusudi.
 
Sio siri kuwa SAGEM wanajulikana kwa kupenyeza rupia, je ilikuwa ni busara kwa Mh. Masha kuchukua hatua aliyochukua hata kama ilikuwa kwa nia njema ? Hapa ndipo huyu Waziri Kijana na mwanansheria mahiri anapochemsha na inanifanya niamini kabisa kuwa huo wadhifa aliopewa kishikaji unamzidi kimo - hana uwezo.
 
Kinvaba. Wewe Katibu Mkuu nini? Au uliiishawahi kupitia huko? Asante kwa shule.

Kitendo cha Chief Secretary kutomhusisha waziri inawezekana na kuogopa kuharibu tenda nzima kwa kumshirikisha mtu ambae ameishaonyesha ana interest! Kumhusisha kukengetia dosari zoezi zima na kutoa mwanya kwa yeyote atakayeshindwa kulalamika kuwa kuna mchezo mbaya umefanyika.

Mimi bado naamini kuwa huu mradi hauna maslahi yeyote kwa taifa. Bora ungeachiwa ufe.

Amandla..........

cha muhimu hapa kama ukivyosema ni kwamba huu mradi hauna maslahi, yanayo lingana na hali yetu, tuna vitu vingine muhimu tunavyo takiwa kuwekeza au kufuatilia, kama kilimo, afya,elimu, barabara viwanda , umeme etc. kama nime-miss some other point in btn i'm sorry.
 
Ikumbukwe ya kuwa, PPRA sio clearing house. Kazi yao kubwa ni kusuluhisha migogoro pale inapotokea ktk zoezi la manunuzi Serikalini.

No! No! Kazi ya PPRA sio kusuruhisha migogoro pale inapotokea. Soma kazi na majukumu ya PPRA kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha PPRA, kumbuka pia kuna PPAB (Public Procurement Appeal Board) kwa ajili ya kusikiliza rufaa zitokanazo na contracts au manunuzi.

Source and more references please visit; www.ppra.go.tz

The objectives of the Public Procurement Regulatory Authority as per Section 6 of the Act.

1. Ensure the application of fair, competitive, transparent, non-discriminatory and value for money procurement standards and practices;

2. Harmonize the procurement policies, systems and practices of the Central Government, local governments and statutory bodies;

3. Set standards for the public procurement systems in the United Republic of Tanzania.

4. Monitor compliance of procuring entities; and In collaboration with relevant professional bodies build procurement capacity in the United Republic of Tanzania.

Functions
The functions of the Public Procurement Regulatory Authority as per Section 6 of the Act are as follows:

1. Advise central Government, local governments and statutory bodies on all procurement polices, principles and practices

2. Monitor and report on the performance of the public procurement systems in the United Republic of Tanzania and advise on desirable changes;

3. Set training standards, competence levels, certification requirements and professional development paths for procurement experts in consultation with relevant professional bodies and any other competent authorities

4. Prepare, update and issue authorized versions of the standardized tendering documents, procedural forms and any other attendant documents to procuring entities;

5. In collaboration with relevant professional bodies, ensure that any deviation from the use of the standardized tendering documents, procedural forms and any other attendant documents is effected only after prior written approval of the Authority;

6. Issue guidelines under Section 89 of the Act;

7. Organize and maintain a system for the publication of data on public procurement opportunities, awards and any other information of public interest as may be determined by the Authority;

8. Conduct periodic inspections of the records and proceedings of the procuring entities to ensure full and correct application of this Act.

9. Monitor the award and implementation of public contracts with a view to ensuring that:

a. Such contracts are awarded impartially and on merit;
b. The circumstances in which each contract is awarded or as the case may be, terminated, do not involve impropriety or irregularity;
c. Without prejudice to the functions of any public body in relation to any contract, the implementation of each such contract conforms to the terms thereof.;

10. Institute:

a. Procurement audits during the tender preparatory process
b.Contract audits in the course of the execution of an awarded tender; and

c. Performance audit after the completion of the contract in respect of any procurement as may be required;

11. Determine, develop, introduce, maintain and update related system - wide data -bases and technology;

12. Develop policies and maintain an operational plan on capacity building, both for institutional and human resource development;

13. Agree on a list, which shall be reviewed annually of works, services and supplies in common use by more than one procuring entity which may be subject to common procurement;

14. Establish and maintain institutional linkages with entities with professional and related interest in public procurement;

15. Facilitate the resolution of procurement complaints;

16. Administer and enforce compliance with all the provisions of this Act, regulations and guidelines issued under this Act;

17. Undertake research and surveys nationally and internationally on procurement matters; and

18. Undertake any activity that may be necessary for the execution of its functions
 
Back
Top Bottom