Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Nadhani hii haipishani saana na ile ya duka la dawa lisikae mita chache kutoka sehemu ya kuhudumia wagonjwa.
====
Hivi ni makusudi ama wanaamini wameishavunja vipande vya ngazi hakuna wa kutengeneza ngazi nyingine?
 
CEO au Bodi wako likizo kuzitoa hizo sababu.
Vijana wanaonewa bure!

IMG_0610.jpg

IMG_0611.jpg

Mkurugenzi idara ya mawasiliano Tanesco aliyekalia kuti kavu
 
Huyu mwamba alikua "overrated" sana,naanza kupata mashaka sana na uwezo wake,huenda labda alikua hajawahi pata kitengo kigumu tumjue uwezo wake. Hv kitengo cha habari ndio kinakata umeme? Ndio kinaharibu miundo mbinu ya umeme? Ndio kinachelewa kufanya matengenezo kwa wakati?
Huenda kuna kitu sijakielewa pengine...
 
Hivi kweli waziri Makamba umeshindwa kuelewa inshu rahisi tu kuwa wananchi wanataka umeme na sio taarifa za tanesco? Sasa idara ya habari na tatizo la kukatika umeme ndio wenye kutatua tatizo? No, hebu kajitafakari upya labda ulikuwa na msongo wa mawazo wakati unatoa maamuzi hayo.
 
Kwa ukatiaji huu wa umeme mbona hata mimi siwezi.wanitoe tu.yaani kila siku nikaoengee tu.
 
Tumechoka kuwasikiliza sasa akiletwa msemaji mwingine ndio umeme hautakatika .hivi nyie ndio kufikiri kwenu kumeishia hapo kwa maana hiyo tatizo la umeme ni msemaji wa Shiraka sawa bac wachukuliwe wa yanga na simba ama kweli wote tunaakili tofauti ni je tunafikirije
 

Attachments

  • VID-20220118-WA0002.mp4
    15.5 MB
Waziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!

Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...

Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
 

Attachments

  • twitter_20220120_101600.mp4
    77.2 KB
Kumbukumbu zangu zinaonesha Badra Masoud siyo msemaji wa Tanesco ... ni msemaji wa wizara ya Nishati na Madini.. aliteuliwa kwenda wizarani akitokea Tanesco
 
Anaetumia hiyo ID hana majibu sahihi. Kuna member aliuliza kuhusu mita za vyumbani vya kupanga za kujitegemea, Kiuhalisia zipo na zinauzwa ila Kajibiwa hazipo/Hawana na hawaziuzi.
Ni mm hapa mkuu ndio niliuliza kumbe aliniingiza chaka mpumbavu kabisa hana Adabu
 
Makamba anavyodai kitengo kimeshindwa kuitetea Tanesco ana maana gani? anataka kitengo kiwe kinazalisha propaganda au kifanyeje?

Navyojua hao watu wa idara ya habari wanatakiwa kupewa taarifa za majibu ya kero za wateja kutoka kwa wahusika (waziri, naibu wake, katibu mkuu nk) then wao ndio watangaze taarifa hizo kwa umma.

Sasa mfano wananchi wakiulizia ujio wa ile winchi ya tani 26 toka huko ilipoagizwa mbona mpaka leo kimya? Makamba anataka hao jamaa wa kitengo cha habari wajibu kitu gani kama hajawapa majibu?
Kwa hili winchi ya Tani 26 natamani Mungu amfufue Nyerere ama jpm basi aongee tuone.
Yaani tunafanywa vilaza mpaka basi.
Mbona before hayo Mambo hayakusikika na ujenzi ulikuwa unaenda kwa Kasi Sana jamani.
Ila saivi danadana.
Kukatika kwa umeme je nako tudanganywee Kama watoto.
Vijana wa mjini pigeni dili basi dunia site twapita.
Saivi najua haukosi 5bn ulizopiga tokea uingie.
Mara bodi ya matajiri ya tanesco sijui wapiga dili na huku mtu hata hajui voltage ni Nini ama ohm
 
Back
Top Bottom