TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Nadhani hii haipishani saana na ile ya duka la dawa lisikae mita chache kutoka sehemu ya kuhudumia wagonjwa.Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
====
Hivi ni makusudi ama wanaamini wameishavunja vipande vya ngazi hakuna wa kutengeneza ngazi nyingine?