Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

Rushwa tupu, tena anawahonga viongozi wanaohusika na uchujaji huko wilayani.Kule kusini mbunge Stella manyanya anahonga mpaka mapikipiki kwa wajumbe Wa vikao vya uchujaji Wa wilaya ili achaguliwe yeye.Nimeamini ndani ya ccm rushwa haiwezi kwisha.
 
Kuna kipindi ilibadilishwa jina na kuitwa takrima, kama sikosei huko chamani ilitungiwa na sheria ya kuwalinda watoa takrima.

Kama sheria haijabadilishwa atakuwa anapita humo humo tu! Haka ka chama kananuka rushwa"
 
Rushwa tupu, tena anawahonga viongozi wanaohusika na uchujaji huko wilayani.Kule kusini mbunge Stella manyanya anahonga mpaka mapikipiki kwa wajumbe Wa vikao vya uchujaji Wa wilaya ili achaguliwe yeye.Nimeamini ndani ya ccm rushwa haiwezi kwisha.
Hatari
 
... Bali Wabunge wa Chadema wanahojiwa kwa michango halali wanayoitoa kwenye chama chao kutokana na Maagizo y Lijuakali !
 
Back
Top Bottom