Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

Wanyonge tuko vzr sana,Mtoa zawadi ya baiskeli yeye yuko zake kwny Ma V8.

Kweli huku ndiko Kigwangala aliwaambia ni 'TO THINK OUT OF THE BOX'.
 
Hii inatofauti gani na ya Morogoro?
Kwa Morogoro ni Mbunge katoa Rushwa, kwa Tabora ni β€œKutoa ni Moyo”?
TAKUKURU shame on you!
Double standards

Mkuu Takukuru imebaki kuwa taasisi ya kutumikia siasa chafu na sio kupambana na rushwa. Ukiona takukuru wanafuatilia rushwa, ujue wametumwa na wenye madaraka kuwakomoa mahasimu wao, sio zaidi ya hapo.
 
Sasa hiyo tuiite takrima ama rushwa?
Je amekaidi maagizo ya chama chakeyaliyotolewa na katibu mwenezi - polepole?

Je wangekuwa chadema ndo wanafanya hayo kipindi hiki kabla ya kampeni wangeonekanaje?
Si kila anayegawa rushwa ccm atakamatwa , wengine wana baraka za wakubwa , angalia rushwa alizogawa Tulia
 
IMG_20200614_145755.png
 
Back
Top Bottom