Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

Si kila anayegawa rushwa ccm atakamatwa , wengine wana baraka za wakubwa , angalia rushwa alizogawa Tulia

Sehemu kubwa ya wana CCM kuanzia juu hadi chini wanatoa rushwa, japo watazibatiza na kuzipa majina mengine kama michango au misaada.
 
Huo ni mgao wa kawaida,si mnaona mkutano umefanyika bila kibali cha geshi la polisi wajameni.

Yaani jeshilapolisi linaogopa kijani kuliko unavyofikiri. JAMBO LOLOTE OVU LIKIFANYWA NA KIJANI WAO WANAJIFANYA HAWAONI KABISA
 
Raha ya kuishi na wajinga huhitaji akili kubwa kuwadanganya.wananzega mmedharaulika sana ,mbunge wenu kawaona eti nyie ni wa phonex
 
Sasa hiyo tuiite takrima ama rushwa?
Je amekaidi maagizo ya chama chakeyaliyotolewa na katibu mwenezi - polepole?

Je wangekuwa chadema ndo wanafanya hayo kipindi hiki kabla ya kampeni wangeonekanaje?
Tungekuwa tunawahesabu wakiingia Takukuru kuhojiwa
 
Wana lumumba wakipewa khanga tu tayari ushawapata
Nchi hii kweli tuna miaka 500 kupata maendeleo ya kweli kwa hali hii.

Eti Karne ya 21 hii mtu anagawa baiskeli tena miezi michache kabla ya uchaguzi ili kuwarubuni watu. Na watu kweli watarubunika kwa baiskeli tena phonex.

Watanzania ni watu wajinga sana!
 
Umeonaeeeeee?
Rushwa hii. Kwa nini kipindi hiki ?Alikuwa wapi miaka minne iliyopita. Yaani huyu mimi ningekuwa mwananzega lazima nigegombea against him.Huyu mhutu huyu kazi kurubuni wananzengo tu.
 
Back
Top Bottom