kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
Hivi sheria inasemaje kuhusu bendera ya TAIFA,unaweza kuigeuza sehemu ya kitambaa au Taulo??
Hapo kidogo naona Mchungaji walahu amevaa vizuri, wengine wote wameegesha tu nguo.Jamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi
Amevaa na suti hizo s au vazilake haliruhusu kuvalia hivyo?Na shehe naye kavaa Sandro's mbona hamumzemi
Ulitaka avae modo sasa jamani yeye sio fisadi siku akibadilika msiseme mmeibiwa akivaa mnavyotaka nyieSuruali lake sasa!
![]()
Kwani aliteuliwa kuja kulala?Nadhani toka ateuliwe hajalala huyu..........
Iddi Amini alikuwa akikutana waziri wake aliyevaa vibaya kama huyu anamtakia kabisa on camera "umevaa hovyo"Anatia aibu. Inawezekana hata kuoga hajaoga. Ana dirty look!
Kwani ile kesi ya tuhuma za kudai rushwa aliyofikishwa na mahakamani na wenzake umeisahau. Kutopatikana na hatia au kufutwa kwa kesi hakuna maana kuwa mtu hakufanya hatia moja kwa mojaUl
Ulitaka avae modo sasa jamani yeye sio fisadi siku akibadilika msiseme mmeibiwa akivaa mnavyotaka nyie
Eeee kumbe unakumbukumbuKwani ile kesi ya tuhuma za kudai rushwa aliyofikishwa na mahakamani na wenzake umeisahau. Kutopatikana na hatia au kufutwa kwa kesi hakuna maana kuwa mtu hakufanya hatia moja kwa moja
LinamtoaBrother K au
He sina chakuweka nihatariCheki swaga hizi
![]()
![]()
Naona fundi alikosea kushona koti watakuwa nimafundi wa mtaani haoCheki swaga hizi
![]()
![]()