Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,121
- 5,066
huyu kamuiga yule kaongeza na maboresho yakehahaa hivi yule mwingine bado anavaa scarf
huyu kamuiga yule kaongeza na maboresho yakehahaa hivi yule mwingine bado anavaa scarf
Bendera ya Taifa inapashwa kuheshimiwa sana, mtu akichezea bendera ya taifa anakuwa ametenda kosa la jinai. Uzalendo wa Mhe. Kangi Lugola umeanza alipoteuliwa au kabla ya kuteuliwa? Pamoja na kwamba wanasema usihukumu ukaja ukahukumiwa; Mheshimiwa ni mnafiki kupita kiasi. Bendera ya Taifa hakuiona wakati anavaa kininja bungeni?Baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh Kangi Lugola amebuni vazi lake jipya ambalo amebandika Bendera ya Taifa kifuani upande wa kushoto, kulia na pia kwenye mikono na kama hiyo haitoshi anatembea na ilani ya CCM ambapo amenukuliwa akisema akifa azikwe na ilani ya chama hicho ya wakati huo kwakuwa kwake hakuna Ilani kama ya CCM na anapenda kutembea nayo katika utelelezaji wa shughuli za Kiserikali.
Lakini ukiangalia vizuri hilo vazi lake ni kuwa utagundua amegeuza mkao wa Bendera ya Taifa aliyoibandika upande wa kulia wa vazi lake ameipindua badala ya mistari ya njano na nyeusi kuelekea juu ikitokea kona ya chini upande wa kushoto kuelekea kona ya juu kulia yeye kaiweka ikitokea kona ya juu kushoto kuelekea kona ya chini kulia. Ile iliyopo upande wa kushoto ndio imekaa kwa usahihi hivyo hata hiyo ya kulia inapaswa aiweke kama hiyo ya kushoto.
Haitakiwi kuigeuza hiyo bendera kwa namna yoyote ile. Amwambie fundi wake airekebishe vinginevyo anazidi kujiabisha.
![]()
unawafahamu wasukuma wewe?Kavaaje sasa hapo? Hana mke?
Teh nawafahamu mkuu... ila huyu hapana aisee. Ngoja tu nikae kimya.unawafahamu wasukuma wewe?
Kumpa balance asianguke!Mrema Lyatonga ana kiatu saizi 18 kama cha Nwako Kanu
Hivyo wewe hujui kuwa sandals ( na sio sandros) ndio kiatu cha kuvalia kanzu au jokho?Na shehe naye kavaa Sandro's mbona hamumzemi
Ha ha haaa BujibujiMrema Lyatonga ana kiatu saizi 18 kama cha Nwako Kanu
Kwahiyo kavunja sheria yoyote?Halafu huyu ni ex policeman lkn hajui bendera ya Taifa inakaaje.
Vv
Hi wizara na bendera kweli ni sharti sio bureMasharti ya mganga tabu sana.
Raba na kaunda suti wapi na wapi.