Waziri Kangi Lugola ameipindua Bendera ya Taifa

Waziri Kangi Lugola ameipindua Bendera ya Taifa

Basi inatosha nikikwambia katokea kazini kwahiyo hakupata muda wa kwenda kubadilisha na kuvaa unavyotaka wewe
Jana ni Jumapili ilikuwa siku ya mapumziko mkuu labda useme alitokea kanisani sema nako atakuwa amesahau badala ya kubeba Biblia, misale ya waumini au kitabu cha nyimbo akabeba ilani ya chama
 
Jamani msemeheni bure, make wake alifariki, hana mshauri wa mavazi pale chumbani, manake hizi aibu ilikuwa wagawane na mke wake
 
Huu ndio uzi bora kwa siku[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Palikuwa na kazi gani zaidi ya kushangaa ndege. Kwani yeye ni rubani? Mwenye kazi alikuwa ni jiwe ndiyo maaana aliingia mpaka chumba cha rubani na kukalia kiti ingawa hakuisogeza hata hatua moja.
HIVI HAKURUHUSIWA HATA KUPIGA KICK (START) AU HONI
 
Tumuonee huruma huyu alipata msiba wa mkewe maana mkewe marehemu alikuwa ndo dressing table yake sasa hana tena. Pole sana Kambi ya Ugoro tafuta beib basi usiwe domo zegee maana nafahamu ukiwa na mke ata sound zinaisha
Mkubalie!
 
hahaaa huyu jamaa. suruali ilivyojikunja pale bila shaka hajavaa mkanda. atakua kaivuta kisha kaifunga na kamba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
HIVI HAKURUHUSIWA HATA KUPIGA KICK (START) AU HONI
Hakuna siyo mwendo kasi ile. Mwendokasi yenyewe ilimshinda kutoa handbreak sasa lile pipa si ndio angeligongelea mbali?
 
Uvaaji hauna kanuni, kuvaa ni kujistiri tu mkuu
basi waambie mapadri wavae kanzu zao misaraba iangalie chini HARAFU UJE NA HOJA YAKO. au alivyovaa vile chukulia kama rais siku ile angevaa vile!! Kanuni zipo hasa kwa viongozi
 
Jamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi
Ndugu Sigara Kali huwezi kuwahusisha watu wote wa kanda ya ziwa na uvaaji wa huyu mheshimiwa.
 
Back
Top Bottom