Waziri Kangi Lugola ameipindua Bendera ya Taifa

Waziri Kangi Lugola ameipindua Bendera ya Taifa

Jamaaa kavaa hovyo hatari. Suruali over size. Suti na raba wapi na wapi
Hivi hiyo aliyovaa ni Suti?
Screenshot_2018-07-09-22-00-13-1.png


DICTIONARY
suit
suːt/
noun
1.
a set of outer clothes made of the same fabric and designed to be worn together, typically consisting of a jacket and trousers or a jacket and skirt.
 
Hivyo nani kawaambia wavae bendera ya taifa siku hizi? Aliyepigania uhuru hakuivaa vipi hawa?
 
Awamu.hii tuna mawaziri washamba wa kutupwa yaani mpaka dakika hii awamu ya JK bado inawapiga gap kwenye maeneo mengi, hata utanashati! Sijui kwa vile kiongozi wao naye shambaboy? Halafu Mimi nashangaa hivi karne hii bado kuna watu suti bado zinawakataa? Angalieni hiyo picha mtajua namaanisha nini!!
 
Akiwa smart kichwani basi hakuna tatizo, cha ajabu kaanza kuongea maneno ya ajabu ajabu
Sasa yuko rough kimavazi na inawezekana yuko rough kichwani
 
Back
Top Bottom