The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,356
- 4,655
Itabidi avae buti sasa hivi..Masharti ya mganga tabu sana.
Raba na kaunda suti wapi na wapi.
Itabidi avae buti sasa hivi..Masharti ya mganga tabu sana.
Raba na kaunda suti wapi na wapi.
Mhhhhm Sasa mkuu hiyo suruali ina kuhusu nini mbona imempendeza tu? Ila ahsante kwa kutuonyeshaBaada ya kuteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh Kangi Lugola amebuni vazi lake jipya ambalo amebandika Bendera ya Taifa kifuani upande wa kushoto, kulia na pia kwenye mikono na kama hiyo haitoshi anatembea na ilani ya CCM ambapo amenukuliwa akisema akifa azikwe na ilani ya chama hicho ya wakati huo kwakuwa kwake hakuna Ilani kama ya CCM na anapenda kutembea nayo katika utelelezaji wa shughuli za Kiserikali.
Lakini ukiangalia vizuri hilo vazi lake ni kuwa utagundua amegeuza mkao wa Bendera ya Taifa aliyoibandika upande wa kulia wa vazi lake ameipindua badala ya mistari ya njano na nyeusi kuelekea juu ikitokea kona ya chini upande wa kushoto kuelekea kona ya juu kulia yeye kaiweka ikitokea kona ya juu kushoto kuelekea kona ya chini kulia. Ile iliyopo upande wa kushoto ndio imekaa kwa usahihi hivyo hata hiyo ya kulia inapaswa aiweke kama hiyo ya kushoto.
Haitakiwi kuigeuza hiyo bendera kwa namna yoyote ile. Amwambie fundi wake airekebishe vinginevyo anazidi kujiabisha.
![]()
Wallah hapa nilipo machozi yanatoka kwa kucheka yaani kila comment inaishinda nyingineUmenifanya niitazame tena hii picha..nimecheka mnoo, hawa wazee wetu bana shida sana!
Mie nimezungumzia hiyo bendera alivyoiweka visivyo. Hiyo suruali ndio kama ulivyoiona imemtoa fresh pamoja na raba zake ila ilani angemwachia polepole yeye adili na katiba na sheria za nchi. Ila kwa jinsi alivyoanza ameshachemsha. Yeye anamtimuaje mtendaji wake mkuu hadharani? Huko ni kudhalilishana kusikokuwa na sababu unless awe hajui matumizi ya ofisi. Hii yote ni kutokana na kufanya kazi kwa media kutafuta umarufu.Mhhhhm Sasa mkuu hiyo suruali ina kuhusu nini mbona imempendeza tu? Ila ahsante kwa kutuonyesha
Waziri na raba ofisini? Unajua vazi la ofisini kweli? Huyu anatakiwa azuiwe getini asiingie kabisa ofisini na kiatu hicho, mkuu kuna vazi la ofisini na la kijiwe cha kahawa sio kila vazi linavaliwa popoteKumbuka yeye ni Waziri wa mambo ya ndani usalama wa raia waliokusanyika kuipokea ndege unamuhusu na hata usalama wa Rais pia unamuhusu bado pia yeye km waziri wa Mambo ya ndani akitoka hapo anaelekea kazini kuendelea na majukumu mengine
Hapo ilikuwa ni wakati wa wimbo wa taifa. Waliokosea kusimama inavyotakiwa hapo ni Mengi, Mrema, mchungaji na mama kushoto kwa mchungaji anayeangalia chini. Wakati wa wimbo wa taifa kwa Tanzania mikono inakuwa usawa wa miguu kama alivyosimama Mwakyembe, Sheikh, Ninja mwenyewe na wengineo. Jinsi alivyosimama Mengi ni kama anaimba wimbo wa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote(patriotic song)Wallah hapa nilipo machozi yanatoka kwa kucheka yaani kila comment inaishinda nyingine
Baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh Kangi Lugola amebuni vazi lake jipya ambalo amebandika Bendera ya Taifa kifuani upande wa kushoto, kulia na pia kwenye mikono na kama hiyo haitoshi anatembea na ilani ya CCM ambapo amenukuliwa akisema akifa azikwe na ilani ya chama hicho ya wakati huo kwakuwa kwake hakuna Ilani kama ya CCM na anapenda kutembea nayo katika utelelezaji wa shughuli za Kiserikali.
Lakini ukiangalia vizuri hilo vazi lake ni kuwa utagundua amegeuza mkao wa Bendera ya Taifa aliyoibandika upande wa kulia wa vazi lake ameipindua badala ya mistari ya njano na nyeusi kuelekea juu ikitokea kona ya chini upande wa kushoto kuelekea kona ya juu kulia yeye kaiweka ikitokea kona ya juu kushoto kuelekea kona ya chini kulia. Ile iliyopo upande wa kushoto ndio imekaa kwa usahihi hivyo hata hiyo ya kulia inapaswa aiweke kama hiyo ya kushoto.
Haitakiwi kuigeuza hiyo bendera kwa namna yoyote ile. Amwambie fundi wake airekebishe vinginevyo anazidi kujiabisha.
![]()
Si ndio kawaida ya watu toka kanda maalum (mara)Masharti ya mganga tabu sana.
Raba na kaunda suti wapi na wapi.
Ukisema lake zone unatujumlisha na sisi tusiohuka, ww sema kanda maalum (mara), au unaogopa watakugecha?Jamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi
Hapo aliyefunika ni Mengi, nafikiri klyn kwenye swala la mavazi hataki kumwqngusha mzee wakeMrema Lyatonga ana kiatu saizi 18 kama cha Nwako Kanu
Jamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi
Penye wengi pana mengi, hata hii surual ni over size......View attachment 805893
Mkuu,ukimuona mtu kavaa Kanzu au Joho na buti au raba ujue huyu mshamba,hizo nguo zinakwenda na sandales,mitarawanda au unaweza kuvaa hata kanda mbili, lakini huwezi kuvaa raba au buti kama umevaa hizi nguo,Sheikh hajakosea,amevaa inavyotakiwaNa shehe naye kavaa Sandro's mbona hamumzemi
Wanaona wao ndio wazalendo halisi kumzidi hata Nyerere. Pia wao wanajifanya kukipenda chama na kukijua zaidi kuliko Nyerere ndio maana wanasema wanataka wazikwe na ilani ya chamaHivyo nani kawaambia wavae bendera ya taifa siku hizi? Aliyepigania uhuru hakuivaa vipi hawa?
Masharti ya mganga tabu sana.
Raba na kaunda suti wapi na wapi.
Msuruale oversizeSuruali lake sasa!
![]()