Huyu jamaa ni mchafu na Wala hayupo nadhifuSuruali lake sasa!
![]()
halafu hizo raba ni zile za mafungu zinazomwagwa pale karume , hajalipa zaidi ya elfu 3 .Suruali lake sasa!
![]()
Umenifanya niitazame tena hii picha..nimecheka mnoo, hawa wazee wetu bana shida sana!Mrema Lyatonga ana kiatu saizi 18 kama cha Nwako Kanu
Hahahhaha nikimcheki alivyovaa kweli yajayo yanafurahisha.Baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh Kangi Lugola amebuni vazi lake jipya ambalo amebandika bendera ya taifa kifuani upande wa kushoto, kulia na pia kwenye mikono na kama hiyo haitoshi anatembea na ilani ya CCM ambapo amenukuliwa akisema akifa azikwe na ilani ya chama hicho ya wakati huo kwakuwa kwake hakuna Ilani kama ya CCM na anapenda kutembea nayo katika utelelezaji wa shughuli za Kiserikali.
Lakini ukiangalia vizuri hilo vazi lake ni kuwa utagundua amegeuza mkao wa bendera ya taifa aliyoibandika upande wa kulia wa vazi lake ameipindua badala ya mistari ya njano na nyeusi kuelekea juu ikitokea kona ya chini upande wa kushoto kuelekea kona ya juu kulia yeye kaiweka ikitokea kona ya juu kushoto kuelekea kona ya chini kulia. Ile iliyopo upande wa kushoto ndio imekaa kwa usahihi hivyo hata hiyo ya kulia inapaswa aiweke kama hiyo ya kushoto. Haitakiwi kuigeuza hiyo bendera kwa namna yoyote ile. Amwambie fundi wake airekebishe vinginevyo anazidi kujiabisha
![]()
Halafu mbona kavaa viatu vya Reebok, Fila, Adidas au Nike!? Wataalamu wa suti mumshauri!! [emoji13]Baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh Kangi Lugola amebuni vazi lake jipya ambalo amebandika bendera ya taifa kifuani upande wa kushoto, kulia na pia kwenye mikono na kama hiyo haitoshi anatembea na ilani ya CCM ambapo amenukuliwa akisema akifa azikwe na ilani ya chama hicho ya wakati huo kwakuwa kwake hakuna Ilani kama ya CCM na anapenda kutembea nayo katika utelelezaji wa shughuli za Kiserikali.
Lakini ukiangalia vizuri hilo vazi lake ni kuwa utagundua amegeuza mkao wa bendera ya taifa aliyoibandika upande wa kulia wa vazi lake ameipindua badala ya mistari ya njano na nyeusi kuelekea juu ikitokea kona ya chini upande wa kushoto kuelekea kona ya juu kulia yeye kaiweka ikitokea kona ya juu kushoto kuelekea kona ya chini kulia. Ile iliyopo upande wa kushoto ndio imekaa kwa usahihi hivyo hata hiyo ya kulia inapaswa aiweke kama hiyo ya kushoto. Haitakiwi kuigeuza hiyo bendera kwa namna yoyote ile. Amwambie fundi wake airekebishe vinginevyo anazidi kujiabisha
![]()
Sheikh ana mbabe wake huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na shehe naye kavaa Sandro's mbona hamumzemi
Wewe vipi?au ndio wale wale? Sasa kanzu inavaliwa na nini??au ulitaka avae tafu buti!!!Na shehe naye kavaa Sandro's mbona hamumzemi
Yupo kikazi zaidi hajaenda kuuza sura pale
Hiyo kamba tunaiita mkwiji huku uswahilinihahaaa huyu jamaa. suruali ilivyojikunja pale bila shaka hajavaa mkanda. atakua kaivuta kisha kaifunga na kamba.
Daaah hii suruali ka mfuko wa mashineni
Mkuu sisi wahaya Hatuna ushamba wa hivyoJamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi