Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Wamempigia tena? Jaman mtauwa ndugu zangu kijana anataka kuja kuwa Rais mnamuwekea mawe ya fatuma
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.

Jaribu kupitia..

(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)

005b63a5fa8710a5ceac0c39f51af7d0.jpg
Hii nayo ilifunikwa!Nadhani ilifika mahali ufisadi ulikuwa mfumo wa chama.Haiwezekani ufisadi so grand ukafumbiwa macho!CCM ni lazima ifumuliwe,halafu baada ya kufumuliwa na chama kikakaa sawa tayari kwa uchaguzi 2020,Rais awaombe Watanzania radhi kwa uovu waliofanyiwa na viongozi wao waliopita for the past almost 50 years.In that way chama kitarudisha hadhi yake,na wananchi wataona kwamba kweli chama sasa kimedhamiria kuwatumikia.
 
Sikuwahi kuipenda hii familia ya Makambaz kutokana na kashfa zao za kila Mara!
Ndo maana Mwamvita anatamba sana kuwa ana pesa za kutosha! Huyu kakaake angekuwa Rais angepanya Ikulu kama njia ya kujilimbikizia mali.
Asante sana JPM
 
Sikuwahi kuipenda hii familia ya Makambaz kutokana na kashfa zao za kila Mara!
Ndo maana Mwamvita anatamba sana kuwa ana pesa za kutosha! Huyu kakaake angekuwa Rais angepanya Ikulu kama njia ya kujilimbikizia mali.
Asante sana JPM
Unamuamini Musiba?
 
Hatari hii ilinipita nilikua sijaingia JF wala Instagram
 
yaliyopita si ndwele tugange yajayo Makamba kijana yuko vizuri bado yuko kwenye learning curve ana muda wa ku ji adjust kama kuna eneo alichemka

Nadhani atakuwa serious kuwekeza kwenye future kuliko present kuwekeza kwenye maslahi ya muda mfupi!

Wanasiasa vijana wanatakiwa kuangalia future zaidi sio present kama akina Lowasa, Sumaye, Membe, Zitto Kabwe, Mbowe, Lisu nk kutaka utajiri wa haraka wa aibu wakati future wanaitaka

Kutengeneza future kunataka clean present ukicheza na present your future will be dark
 
Nenda Rudi , Rudi nenda ... Royal 👑 families zilezile ina maana hakuna mtu mwingine zaidi ya MAKAMBA,?
 
Back
Top Bottom