Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Huyu mdada Mwamvita Makamba yupo wapi?,kitambo aliolewa na mzungu flani mwenye flying school pale airport Dar,na wakamwagana.
 
Watu wameamua kufukua makaburi.
Halafu makaburi yenyewe yalivyo na uvundo...ngoja tuendelee kuziba pua. Sijui ni wangapi wataopolewa kwenye hilo dampo (CCM)! Nawakumbuka wale masikini wanaotafuta hata kashati kwenye dampo wanavyofurahi wanapokuta walichokuwa wakikisaka humo. Nakuambia hilo shati litavaliwa hivyo hivyo huku mwenyewe akikata mitaa...shauri yako kama harufu huipendi, ziba pua!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hii nayo ilifunikwa!Nadhani ilifika mahali ufisadi ulikuwa mfumo wa chama.Haiwezekani ufisadi so grand ukafumbiwa macho!CCM ni lazima ifumuliwe,halafu baada ya kufumuliwa na chama kikakaa sawa tayari kwa uchaguzi 2020,Rais awaombe Watanzania radhi kwa uovu waliofanyiwa na viongozi wao waliopita for the past almost 50 years.In that way chama kitarudisha hadhi yake,na wananchi wataona kwamba kweli chama sasa kimedhamiria kuwatumikia.
2020 ilipita tena tuliambiwa atake asitake
 
Duuh wazee wa dili ndefu.

Who knows kinachoendelea behind the scenes wizara ya nishati.
 
Back
Top Bottom