Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Tatizo mm huwa simwamini mange halaf issue ya kupanga deal kubwa kwny simu... Nasubiri mwisho wake
nayo voice note mwamvita kajibu nashindwa kuituma hapa kaelezea ni issue y 2010 na huyo muitaliano alikua bf wako but tapeli
 
Mkuu sjakuelewa umeniacha dilema na italiona mmbantu na mu Asia

Yaani kama mtanzania akipata uraia wa Italy basi anaweza kuitwa muitaliano sababu labda anatumia akiamua passport ya nchi hiyo na kwa documents anaandika uraia - Italian. So haijalishi mtu hata kama alizaliwa ndani ya kijiji kimoja cha ndani kwa ndani Africa au wapi...ni baada inakuwaje na uamuzi wake au mengine. Ila mtu akitaka kujua ulipozaliwa au kukulia maishani hayo mengine...na atakavyoulizwa atatoa jibu. Mie pia sijui waitaliano na kuongea kwao, nimesemea kiujumla maana hata wazawa na nchi yoyote utofautiana kama nchini kwetu.
 
Time will tell...kila kitu huanza na tetesi na waitaliano wana tabia za ku rekodi kila kitu BTW mwamvita na kakaake wana hizi tabia
Yeah... Kuna mahali flani tulituma waitaliano wakafanye financial auditing walirekodi kila kitu walichofanya kwa yule bursar mpaka alivyojaribu kuwahonga PESA wamsafishe na ile PESA ya hongo waliiatach kwenye report yao....
 
Hawa wote wana ccm wapiga dili ..yule Mange kimambi alinyimwa mshiko tu ndo maana anamlipua mwenzie....
 
Mpaka hapa Mh/January Makamba inabidi atimuliwe kazi..hana sifa ya kuwa kiongozi katika serikali hii...na kifuatacho sheria ichukue mkondo wake....
Hapan shaka mpaka sasa Mh.Rais taarifa hizi ziko mezani....
.....''NDUGU ZANGU WATANZANIA SINTA WA ANGUSHA''......
 
Ivi uhalisia wa hii habar ni nin hasa? Hiyo sauti unawezaje kuprove kwamba ni sauti ya mwamvita? Tuliwahi kuwekewa humu video yenye sauti kama ya rwakatare mwisho wa siku rwakatare alishinda kesi na video na sauti vipo hadi leo..!! Nauliza tu uhalisia wa hii habari ni nin?
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.

Jaribu kupitia..

(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)

005b63a5fa8710a5ceac0c39f51af7d0.jpg
hahahahahaha mange bado hajaacha tu kufuata fuata waume za watu, lol nimekuvulia kofia, umeshindwa kufanikiwa kumchafua january kwenye mengi, sasa umeamua katika hili. wewe na huyo tapeli wako mzungu na story yenu ya kusadikika msyuuuuuuu.
 
Magufuli kama kweli yuko siriaz kutumbua majipu atawamaliza wote na atajikuta kabaki peke yake.. Maana CCM yote ni jipu.. Ukoo wa panya huo.. Baba mwizi.. Mtoto naye mwiziiii
 
Ivi uhalisia wa hii habar ni nin hasa? Hiyo sauti unawezaje kuprove kwamba ni sauti ya mwamvita? Tuliwahi kuwekewa humu video yenye sauti kama ya rwakatare mwisho wa siku rwakatare alishinda kesi na video na sauti vipo hadi leo..!! Nauliza tu uhalisia wa hii habari ni nin?
swali la msingi sana, i second that.
 
Kama kuna mtu alitaka tenda ya ujenzi bandari ya bagamoyo kwa kufanya dili na Makamba tena kupitia simu huyo mtu ni mpuuuzi na anastahili kuibiwa. Hapo Makambas walitumia fursa. Hakuna mfanya biashara anaweza kuwa reckless kiasi hicho

Makamba akaupe tenda kama nani? Kuweka down payment ya 100mil USD kwa bandari ambayo itajengwa kwa over billion $$- kuna kitu hakipo sawa hapa. Bagamoyo port ipo wazi kwamba itajengwa na wachina tena kwa mkopo sasa hawa waitalinao ni wajinga kiasi gani kutojua kitu kama hicho kabla ya kuweka bid ya kutaka tenda halafu pesa mnawapa watu binafsi mtu na kaka yake!! Acha waibiwe kwa ujinga wao

Mtu aliyekuwa Katibu Binafsi wa Kikwete. Makamba Kwa Kikwete alikuwa ni Kama Alivyokuwa Mh. Mkapa kwa Mwalimu Nyerere. Msaidizi wa Karibu. (He can be of very big influence!)
 
Kama ushahidi umewekwa amtaje ili iwe nini,hayo mambo ndiyo hatuyataki,vyombo vyetu vifanye kazi,mtu anatoa taarifa badala ya wahusika kufanyia kazi munataka mtoa taarifa afanye kazi ya vyombo vya usalama wakati dondoo ametoa.wahusika wanalipwa mshahara kwa kazi gani,mafunzo waliyopata yamewasaidia nini
Kwa mtindo huu,watu hawatoi taarifa.
Zitto akisema kuna mabilioni uswis,wenye vitambi wanataka awaletee ushahidi,badala ya wao kufuatilia.
Je,mtu akitoa taarifa ya ujambazi pia watasema kamlete jambazi?
Eheeeee!ndio maana JF wako mahakamani dhidi ya hizo sheria za hovyo kabisa badala ya polisi kushukuru wanapata tip za wahalifu wao wanataka uwafanyie kila kitu ili wanenepeshe vitambi tu.
 
man
mange is a good player kwenye sakata la mitandao only few will know her game...baada ya kumchafua hoyce temu kwa mujibu wake kuna mpango uliokuwa unasukwa chinikwachini ili arudishwe na kushitakiwa hapa nchini sasa anachokifanya kwa sasa ni either kutoa siri ambazo pia ni mchezo mchafu kuichafua makambas ili wakimshtaki kuletwa hapa ionekane kama yeye hawezi kurudi nchini ama kurudishwa na serikali kwa kuhofia usalama wake ili marekani impe sapport ya usalama wake kwa kuwa ana watoto wenye uraia wa marekani but mtu mtaalamu anaweza kuunganisha all dots why now????so mange yupo verry smart ktk kucheza game hili na anybody akiwa fool will fall into her trap.
Kawadanganye watoto wenzako.Mange ni mburulaz kama wengine tu. Ni mtu ambaye hana impact kubwa kusema Tanzania itumie resources zake kwajili ya huyu mwendawazimu.
Hakuna kitu kama hicho. Sema akirudi Tanzania she can be arrested lakini sio kuwa deported na kwa taarifa yako anaweza kuwa ni raia wa marekani.
 
Back
Top Bottom