Mbona unatumia nguvu nyingi hivyo mkuu? Umetumwa kuweka mambo sawa?Huyo ana ugomvi wake binafsi na Mwamvita kwanini atoe izo siri baada ya kugombana? Hapa ndipo utajua kama ni majungu vyombo vya usalama awafanyii kazi majungu.
Sjawahi kusikia mu italiona akiongea kingereza cha KIAFRICA ..aliyeplay sehemu ya italiano alijitahidi lakin alifeli pale alipokuwa akiongea mengi anajisahau kuwa script unamuhitaji kuwa mu italiano
Mkuu sjakuelewa umeniacha dilema na italiona mmbantu na mu AsiaKama ni raia wa Italy awe mzungu, mbantu, wa Asia, wa wapi au wapi mwisho wa siku ni Italian.
Hata watanzania lafudhi zetu ni tofauti katika kiswahili. Sasa hiyo lafudhi ya bwana wako sio lazima iwe ya waitaliano wote sawa bibie!My dear i am have dated an Italian man for years and honestly the man recorded in the audio clips doesn't sound Italian at all. Ukimsikiliza vizuri he has a strong African accent although he's really trying to fake the Italian accent ila anajisahau. Hizi audio clips hazina mashiko kabisa.
****hiyo story ya mange kichaa imejibiwa n mhusika tayari.....mwamvita ameelezea mwanzo mwisho ngoja niitume