#COVID19 Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

Very simple
Pale stendi ya mbezi weka askari wahakiki cheti cha chanjo,
Asienacho achanje hapohapo au basi alilokuja nalo ndio hilo hilo arudi nalo alipotoka,
Mwezi tu watachanja wote
Nani asiyetaka kuja mjini🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyo mama me kunasiku nilimsikia akisema kua baada ya yeye kuchanjwa, mumewe alitest mitambo akakuta iko poa.

Tangu hapo huyo mama me namchukulia tofauti na mnavyo mchukulia wenzangu.
Mi nimechanja!
Natamani waziri atesti mitambo yangu, itavuka viwango.
 
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.

Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona.

Waziri wa Afya amesema kama Rais kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei msimamo wa Serikali

Tulisha liona hili huko nyuma: #COVID19 - Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

View attachment 2028866
Hela ishaletwa ya corona halafu watu hawachanjwi, walioleta pesa wanatazamia kuona lengo lao linatimia. Kipindi kibaya sana hiki katika historia ya dunia.
 
Hela ishaletwa ya corona halafu watu hawachanjwi, walioleta pesa wanatazamia kuona lengo lao linatimia. Kipindi kibaya sana hiki katika historia ya dunia.
Good argument.
Lakini unaweza ku argue vile vile kuwa wanaokufa kwa covid wanakwepa kulipa kodi.
 
Tena hili swala la chanjo limewatia haibu mpaka viongozi wa Chadema.
Maana kipindi serkali iliyo pita iligomea chanjo, wapinzani wake ambao ndio Chadema wao walikua wakiilazimisha serkali ilete chanjo.
Sasa chanjo imekuja na hatuoni msaada wowote kutoka kwenye hiyo chanjo.
Tena kama chadema wangeliitikia wito hata nusu chanjo zilizopo Nchini zingelikuwa zimeisha,tusingelisikia matamko haya ya kijinga 😀😄😃😃 Chadema tusaidieni kutekereza amri ya mwenyekiti wenu,kwamba kila mwanachadema kuchanjwa ni lazima,mzigo unadodea store, serikali ya Mama pendwa isije pata hasara.
 
Hili ni suala la muda tu kuchanjwa ni lazma na kla mtu lazma atachanja tunasahau juz tu tumetoka kupokea 1.5 trillion kwa ajiri ya Covid , hii inamaanisha tumekubaliana na masharti yote ya kupambana na covid ndo maana tukapewa iyo pesa
Ukatae ukubali kuchanja tutachanjwa tu na akuna anaeweza pingana na utawala ata bibli inasema
 
Naunga mkono hoja, hiki alichokisema Waziri Gwajima, ni kitu cha kweli, kama serikali yako imekubali chanjo na rais wako kachanja, wewe kiongozi wa umma, lazima uonyeshe uongozi kwa vitendo na kwa mfano, kwa viongozi wote wakuu wa umma lazima wachanje hadharani, ule uhiari, hauwahusu viongozi wa umma, kwa viongozi wa umma kuchanja ni lazima, asiyechanja aachie ngazi!.

Niliwahi kusema mahali, chanjo ya Korona japo inasemwa kuwa ni hiyari, hii ni hiyari ya lazima, kuna nchi mtu huruhusiwi kuingia bila cheti cha chanjo ya Corona. Hivyo sasa tunaanza mdogo mdogo kwa viongozi wa umma, chanjo sio hiyari ni lazima,
kama wewe ni kiongozi wa umma na huamini chanjo, achia ngazi!.
P.
P
Utachanja na wenzako wewe msukuma, mimi na wenzangu hatuchanji! Hatusafiri nje ya nchi, hatuji hospitali pia. Ninyi zuieni kila kitu hadi kutumia cash hadi uwe na chanjo, hatuchanji, Mbona kila kitu tunajua kinachokuja!!!
Mnaopenda mtereko chanjeni
Better to die being free, than living permanently slave to the tomb
 
Duuh! Mbona rais alisema kuwa NI HIARI? Viongozi hawana haki ya kutumia hiyo hiari?

Huyu waziri akiambiwa kuwa kauli yake ni NONSENSE atalalamika?
Waziri wa kuokoteleza huyu,sijui mamlaka za uteuzi zilimtoa wapi,ana mihemko Sana na uwaziri wàke utadhani akitolewa hapo hakuna mtanzania kuziba nafasi yake.

Nonsense minister!!!
 
Kulinda Cheo tu kinamfanya abwatuke hivyo.
Kama nchi ni ya babu yake wataachia.

Hajiulizi tu CCM Ina wanachama 8m. Chanjo zilikuwa 1m,hazikuisha mpaka zikaexpire.
Hatumii akili wenye chama wenyewe hawataki misumu,kisa kumfurahisha beberu kwa ajili mkopo.
Huo ndo ukweli,harafu huyu mama sidhani Kama atakuwemo kwenye cabinet ijayo,she is unfit and useless minister!!
 
Waziri wa Afya, Dmmmmorothy Gwajima karudi na rungu.

Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona.

Waziri wa Afya amesema kama Rais kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei msimamo wa Serikali

Tulisha liona hili huko nyuma: #COVID19 - Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

View attachment 2028866

Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.

Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona.

Waziri wa Afya amesema kama Rais kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei msimamo wa Serikali

Tulisha liona hili huko nyuma: #COVID19 - Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

View attachment 2028866
Gwajigirl yamekuwa hayo tenaaaa,mmmmm mwaka huu uishe haraka hee!
 
Watalii mkuje kuaangalia viumbe wa ajabu
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.

Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona.

Waziri wa Afya amesema kama Rais kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei msimamo wa Serikali

Tulisha liona hili huko nyuma: #COVID19 - Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

View attachment 2028866
 
Duuh! Mbona rais alisema kuwa NI HIARI? Viongozi hawana haki ya kutumia hiyo hiari?

Huyu waziri akiambiwa kuwa kauli yake ni NONSENSE atalalamika?
Hii Inaitwa Kick Ya Kufunga Mwaka 2021 Aliyoitoa Waziri
 
Tena kama chadema wangeliitikia wito hata nusu chanjo zilizopo Nchini zingelikuwa zimeisha,tusingelisikia matamko haya ya kijinga Chadema tusaidieni kutekereza amri ya mwenyekiti wenu,kwamba kila mwanachadema kuchanjwa ni lazima,mzigo unadodea store, serikali ya Mama pendwa isije pata hasara.
Aisee kweli..hawa CDM vipi hawajitokezi
 
Back
Top Bottom