Waziri Bashungwa Wimbo wa bia tamu upigwe marufuku. Unahamasisha ulevi na uzembe

Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.

Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.

Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara1
Acha ukuda

Kwani bia syo tamu

Mbona nyie mnajifanya malaikaa sana

Wakati watu kama nyie --- kabisa

Ova
 
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.

Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.

Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara1
Kunywa kulewa tufanye sisi
We unawashwawashwa kwani
Tukilewa tunakusumbua

Umenikata stim sana
Hapa yenyewe nko napiga vyombo

Ova
 
Wakifungia huo tunatoa mwingine
Tutauita
Chai tamu

Na huo pia utaomba waufungie sababu unahamasisha watu kunywa chai na watapata kisukari
Hivyo kiwanda cha mtibwa kifungwe

Mtoa mada kaa kwa kutulia acha unoko tushawahi kuja kukuomba hela ya Balimi?

Hiiiiiii bha ghoshaaaaa!

Bia oyeeeeeeeeeee!
 
Wewe badala ya kuhangaika na mwenyekiti wako Mbowe kwenye kesi yenu ya ugaidi! unaleta mawazo yako ya wivu na ya kiumasikini hapa bila aibu.

Usisahau kufungulia mbwa kabla haujalala.
Mmepata dhamana?
 
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.

Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.

Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara1
Hauna hela hata ya bia moja umepata ofa ya bando ndo unaingia jf na nongwa zako, SAUTI YAKO HAITOSIKIKA DAIMA acha tupige uwele ww
 
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.

Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.

Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara1

Hata Mama yako mzazi anatambua bia ni tamu, juzi tulipiga nae light sasa angalia usipate laana kupingana na wazazi wako, laana nyingine mnajitafutia wakati mngeweza kuziepuka
 
IMG_20210917_173840.jpg
 
Back
Top Bottom