Waziri Bashungwa Wimbo wa bia tamu upigwe marufuku. Unahamasisha ulevi na uzembe

Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.

Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.

Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
Ni suala la muda.Utachokwa na weye utaendelea kulima vinyungu.
 
Nenda kapate chanjo mkuu mambo yasiyokuhusu wewe ya nn maadili yanakuhusu nini wewe?kuna mtu una kadi yake ya clinic hapa jukwaani!!!
 
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.

Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.

Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
Asikwambie mtuuu bia tamu
 
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.

Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.

Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
Kwahiyo nini kinatangulia?
Mtu anaanza kuwa mlevi ndipo anasikiliza wimbo au wimbo ulianza na idadi ya walevi inaongeza?
Kila mnywaji amehamasishwa na huo wimbo?
Acha wivu wewe kila mtu atii kiu yake ....
 
Back
Top Bottom