Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,762
- 40,987
Waziri anayeshughulikia Utumishi Bi. Hawa Ghasia amesema kuwa kuanzia sasa vimini, vitopu n.k vinapigwa marufuku kwenye maofisi ya serikali. Amesema hayo akidai kuwa anatekeleza Waraka wa serikali wa 1961 ambao unapiga watumishi wake kuvaa mavazi ya aina fulani fulani. Nasubiri habari zaidi..!